Huwa sielewi watu wanatoa wapi Uhalali wa kumfananisha Mwanamuziki Fally Ipupa na Feregola!

Huwa sielewi watu wanatoa wapi Uhalali wa kumfananisha Mwanamuziki Fally Ipupa na Feregola!

Asilimia 90 humu wanamshabikia fally kwasababu hawamjui ferre golla si ajabu hata nyimbo zake hamzijui kiufupi nyie ni mashabiki maandazi, fally anafunbase kubwa bongo kuliko ferre gola sasa nyie ambao nyimbo za rhumba mnazisikilizia bar tuu lazima mseme fally ni mkali kwasababu nyimbo zake mnazisikia sana ila sisi tunaoufatilia mziki wa ferre golla vizuri aisee ni TAHIRA tuu ndio atasema fally ni mkali kuliko ferre gola. By the way fally ni msanii mzuri ila sio wa kumlinganisha na ferre gola.
 
Wadanganye wajinga wasiojua Rhumba , Fally hampati Ferre hata kwa namna gani , Kwanza Fally ana style moja tu ya kuimba kiasi ambacho amekwisha chuja vibaya sana , ferre gola ni mtaalam wa sauti na anaweza kuimba sauti ya mwanamuziki yeyote unayemjua dunia , mpangilio wa Rhumba ya Ferre gola ni wa kipekee , huyu ni fundi hasa wa Rhumba
Safi kabisa mkuu na umemaliza kila kitu na uzi ufungwe.
 
Kazi yangu ni kufurahia mziki mzuri nimeacha kuwalinganisha,
Fally Ipupa
Mayday
Seyo
Original
Maria PM
Aflacie
Centieme dossier
Bakanja

Ferre Gola
Visas
100 kilos
Marathon
Vita imana
C'est Pasca
Daniere dense
 
Bwa mdogo,
Fally yuko vizuri,sawa.
Koffi olomide ni mjomba wake unajua walichogombana?
Hujui.
Kasikilize pharmacien.
Nakusimulia hapa.
Fally alikua na mjomba wake wakaenda kutafuta nyota.
Mopao akamtanguliza huko kwa sangoma.
Fally anashtuka kamuua mama yake.
Congo yote ikamkataa.
Kaja huku kueleza marafiki zake siri ikawa nje.
Quartier late ikafa ingawa ipo.
Waimbaji wote wakakimbia ukitaka list ntakupa.
Fally hajawai kuwa rapa wa koffi.
Rapa alikua korrosiene,fabrigado badae.
Ferre
Huyu kwasasa huwezi kumfananisha na Fally.
Yuko mbali sana.
Mziki anaimba na Show zake si za kitoto.
Fally yupo ila Ferre ni habari ingine.
Na humjui Ferre wewe kaanza kuimba na uchawa Wenge Becebejee(BCBJ)
Toka mwaka 94.
Kwasasa mziki wa Ferre ni unachezwa dunia nzima.
Google Ferre Rotana live2013
Ndio utajua hujui.
We lete story za kutafuna misukule.
Miziki tuachie tuliozaliwa humo.
Mama yake Fally Ipupa alifariki kabla ya Fally kua star, tena hii story nilipata kwa Mama wakicongo tukienda kahama
 
Fere gola ...asee nikitulia huwa nasikil za


100kilos

Judgement

Chichiwash

Carte de rose

Functionaire


Ila fally ipupa ile ngoma yake ya AFLYE na Marie zimenikosha
Bado hujapata album mpya ya Ferre Gola
Visas
Daniere dense
C'est Pasca
Wait and see
 
Fere Golla nyimbo maarufu na nzuri ni hizo 2 tu (100 Kilos & Kamasutra) lakini Fally Ipupa nyimbo zote ni hatari na nusu!.


Uzuri wa fally ipupa nyimbo za taratibu na sebene ni gwiji
😁ety 100 kilos na kamasutra tu mkuu naona umeanzisha huu uzi wako ukiwa upande wa fally ipupa, usichokijua kwenye Rumba na kuimba vizuri hakuna anayemsogelea ferre gola, hata kidogo hilo hata fally ipupa alishawahi kukiri. Ne'nda kasilikilize hizi nyimbo nyingine za ferre gola 👇👇👇

1: Maboko pamba
2: Realite
3: Bizorbi
4:Mea culpa
5:Vita imana (kwa Congo ni wimbo wa taifa)
6: Pyromane
7😛oisson de avril
8:Toc Toc ft josey
9:liberte
10:3eme doigt
Umalizie na nyingine na zote ni kali hana nyimbo mbaya huyu kiumbe na huwa hakosei.

Ungesema kwenye masebene hapo sawa fally ipupa ndio mwenyewe. Ila pengine kazidiwa pakubwa mno na lepadre ferre gola.
 
We katafute youtube,
Ferre Gola live stade de matrys 2023.
Kasome humo ujue unaongea kitu gani.
Fally si anakata kata viuno tu kaachwa mbali sana na Ferre.
 
😁ety 100 kilos na kamasutra tu mkuu naona umeanzisha huu uzi wako ukiwa upande wa fally ipupa, usichokijua kwenye Rumba na kuimba vizuri hakuna anayemsogelea ferre gola, hata kidogo hilo hata fally ipupa alishawahi kukiri. Ne'nda kasilikilize hizi nyimbo nyingine za ferre gola 👇👇👇

1: Maboko pamba
2: Realite
3: Bizorbi
4:Mea culpa
5:Vita imana (kwa Congo ni wimbo wa taifa)
6: Pyromane
7😛oisson de avril
8:Toc Toc ft josey
9:liberte
10:3eme doigt
Umalizie na nyingine na zote ni kali hana nyimbo mbaya huyu kiumbe na huwa hakosei.

Ungesema kwenye masebene hapo sawa fally ipupa ndio mwenyewe. Ila pengine kazidiwa pakubwa mno na lepadre ferre gola.
Dynastie,
Hata kwenye sebene hamuwezi Ferre tena hapo ndo kabisaa.
Ukisikia akifwelele,tucheze na ile alichapa na Tutu caloudji huwezi fananisha na oriengo anayochezaga Fally
 
Ingia tu hapo mtaani kwenu waulize Vijana wapatao 10 kati ya Fally Ipupa na Fere Golla wanamkubali nani halafu wakupe majibu!
Kila mtu na test yake, kama nilivyosema nakubali rhumba ya ferre. Pengine labda vijana wengi hawapendi rhumba, sijasema Fally simkubali ila mapenzi yangu yatabaki kwa gola. Napenda zaidi rhumba kuliko seben.
 
Back
Top Bottom