255Clatus Chama
Member
- Sep 20, 2023
- 56
- 72
Ongezea Ecole..Se yo..Eternite...inshort Fally ni NYOKOSTI katika kuimba
Sent from my SM-N950U using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-N950U using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa 100 kilos sini Ferre gola yule100 Kilos ikipigwa Bar ushapiga vijiti vyako Jagérmeister kashakaa kichwani hapatoshi
Hio sio nyimbo ya Fally IpupaWewe weka 100 Kilos hapo isikie vizuri yaan vyumba vikishajaa kichwani alafu uwekewe hio Ngoma hapatoshi
Hivi unazijua Bequille, Vinaigre na Keroczene kweli?Achana na wimbo huo mmoja tu wa mazingaombwe mkuu,sasa ukisema 100 kilos na Ambao tunaujua ASSOCIE tusemeje!
Hivi unaujua ALLIANCE,MAYDAY au MARIA?
Ferre GoraHio sio nyimbo ya Fally Ipupa
Safi kabisa mkuu na umemaliza kila kitu na uzi ufungwe.Wadanganye wajinga wasiojua Rhumba , Fally hampati Ferre hata kwa namna gani , Kwanza Fally ana style moja tu ya kuimba kiasi ambacho amekwisha chuja vibaya sana , ferre gola ni mtaalam wa sauti na anaweza kuimba sauti ya mwanamuziki yeyote unayemjua dunia , mpangilio wa Rhumba ya Ferre gola ni wa kipekee , huyu ni fundi hasa wa Rhumba
Mama yake Fally Ipupa alifariki kabla ya Fally kua star, tena hii story nilipata kwa Mama wakicongo tukienda kahamaBwa mdogo,
Fally yuko vizuri,sawa.
Koffi olomide ni mjomba wake unajua walichogombana?
Hujui.
Kasikilize pharmacien.
Nakusimulia hapa.
Fally alikua na mjomba wake wakaenda kutafuta nyota.
Mopao akamtanguliza huko kwa sangoma.
Fally anashtuka kamuua mama yake.
Congo yote ikamkataa.
Kaja huku kueleza marafiki zake siri ikawa nje.
Quartier late ikafa ingawa ipo.
Waimbaji wote wakakimbia ukitaka list ntakupa.
Fally hajawai kuwa rapa wa koffi.
Rapa alikua korrosiene,fabrigado badae.
Ferre
Huyu kwasasa huwezi kumfananisha na Fally.
Yuko mbali sana.
Mziki anaimba na Show zake si za kitoto.
Fally yupo ila Ferre ni habari ingine.
Na humjui Ferre wewe kaanza kuimba na uchawa Wenge Becebejee(BCBJ)
Toka mwaka 94.
Kwasasa mziki wa Ferre ni unachezwa dunia nzima.
Google Ferre Rotana live2013
Ndio utajua hujui.
We lete story za kutafuna misukule.
Miziki tuachie tuliozaliwa humo.
Huyo mtoto cindy anasauti moja matata sana.Sema Ferre nae sio wa kispoti ni ngumu kuwalinganisha hawa malegend wa rhumba. Mi nina playlist yangu ya rhumba nadhani ngoma zote ni Koffi, Cindy, Fally na Ferre.
Bado hujapata album mpya ya Ferre GolaFere gola ...asee nikitulia huwa nasikil za
100kilos
Judgement
Chichiwash
Carte de rose
Functionaire
Ila fally ipupa ile ngoma yake ya AFLYE na Marie zimenikosha
😁ety 100 kilos na kamasutra tu mkuu naona umeanzisha huu uzi wako ukiwa upande wa fally ipupa, usichokijua kwenye Rumba na kuimba vizuri hakuna anayemsogelea ferre gola, hata kidogo hilo hata fally ipupa alishawahi kukiri. Ne'nda kasilikilize hizi nyimbo nyingine za ferre gola 👇👇👇Fere Golla nyimbo maarufu na nzuri ni hizo 2 tu (100 Kilos & Kamasutra) lakini Fally Ipupa nyimbo zote ni hatari na nusu!.
Uzuri wa fally ipupa nyimbo za taratibu na sebene ni gwiji
Dynastie,😁ety 100 kilos na kamasutra tu mkuu naona umeanzisha huu uzi wako ukiwa upande wa fally ipupa, usichokijua kwenye Rumba na kuimba vizuri hakuna anayemsogelea ferre gola, hata kidogo hilo hata fally ipupa alishawahi kukiri. Ne'nda kasilikilize hizi nyimbo nyingine za ferre gola 👇👇👇
1: Maboko pamba
2: Realite
3: Bizorbi
4:Mea culpa
5:Vita imana (kwa Congo ni wimbo wa taifa)
6: Pyromane
7😛oisson de avril
8:Toc Toc ft josey
9:liberte
10:3eme doigt
Umalizie na nyingine na zote ni kali hana nyimbo mbaya huyu kiumbe na huwa hakosei.
Ungesema kwenye masebene hapo sawa fally ipupa ndio mwenyewe. Ila pengine kazidiwa pakubwa mno na lepadre ferre gola.
Kila mtu na test yake, kama nilivyosema nakubali rhumba ya ferre. Pengine labda vijana wengi hawapendi rhumba, sijasema Fally simkubali ila mapenzi yangu yatabaki kwa gola. Napenda zaidi rhumba kuliko seben.Ingia tu hapo mtaani kwenu waulize Vijana wapatao 10 kati ya Fally Ipupa na Fere Golla wanamkubali nani halafu wakupe majibu!
Mkuu ila ferre gola kwenye bizorbi alitisha vibaya sana.Dynastie,
Hata kwenye sebene hamuwezi Ferre tena hapo ndo kabisaa.
Ukisikia akifwelele,tucheze na ile alichapa na Tutu caloudji huwezi fananisha na oriengo anayochezaga Fally