Huwa sielewi watu wanatoa wapi Uhalali wa kumfananisha Mwanamuziki Fally Ipupa na Feregola!

Huwa sielewi watu wanatoa wapi Uhalali wa kumfananisha Mwanamuziki Fally Ipupa na Feregola!

umepanic gentleman 🤣

bas sawa,

kula chuma hicho,
vitamin music 100kilos uondoe msongo na ghadhabu kidogo za kukwama maokoto ya leo

Hizi ndizo nyimbo mnazojidai nazo!


1.Vita iman
2.100 kilos
3.Kamasutra



Tofauti na hapo hakuna kitu!,Sasa msanii wenu mwenye singo 3 tu unawezaje kumlingamisha na msanii mwenye singo zaidi ya 100 halafu zote KALI?
 
Wewe utakuwa na matatizo ya kiakili siyo bure mkuu!
umepanic gentleman 🤣

bas sawa,

kula chuma hicho, vitamin music 100kilos uondoe msongo na ghadhabu kidogo za kukwama maokoto ya leo
Hizi ndizo nyimbo mnazojidai nazo!


1.Vita iman
2.100 kilos
3.Kamasutra



Tofauti na hapo hakuna kitu!,Sasa msanii wenu mwenye singo 3 tu unawezaje kumlingamisha na msanii mwenye singo zaidi ya 100 halafu zote KALI?
narudia tena wimbo moja wa feregolla ni sawa nusu ya nyimbo zote za fally pupa.

Vionjo vyote, tone na mashairi yaliyojaa hisia mbalimbali zinaishi maskioni na mioyoni mwa waskizaji hata kama hawajui maana ya kinachoimbwa
 
umepanic gentleman 🤣

bas sawa,

kula chuma hicho, vitamin music 100kilos uondoe msongo na ghadhabu kidogo za kukwama maokoto ya leo

narudia tena wimbo moja wa feregolla ni sawa nusu ya nyimbo zote za fally pupa.

Vionjo vyote, tone na mashairi yaliyojaa hisia mbalimbali zinaishi maskioni na mioyoni mwa waskizaji hata kama hawajui maana ya kinachoimbwa
Sawa Msukuma😃😃
 
poisson d'avril (April fool) binafsi hapa ferre aliimba, pia vita imana nadhani ndo wimbo ambao nilianza kufahamu japo kidogo kuhusu ferre. Ni kweli Fally enzi akiwa kwa Koffi sauti yake utaisikia tu masikioni hata waimbe wengi, hata sasa bado ni fire. Binafsi nina mkubali ferre ni mapenzi tu kuwa shabiki wa msanii furani.
 
Fere gola ...asee nikitulia huwa nasikil za


100kilos

Judgement

Chichiwash

Carte de rose

Functionaire


Ila fally ipupa ile ngoma yake ya AFLYE na Marie zimenikosha
 
Sawa Msukuma😃😃
Fally Pupa afananishwe wasanii kama vile akina Bhudagala Mwanamalonja wa huku Meatu lakini sio Feregolla 🤣

Na hata hivyo sio rahisi, Bhudagala pia ni level nyiningine kabisa
 

Attachments

  • maxresdefault-2-1-730x411.jpg
    maxresdefault-2-1-730x411.jpg
    45.2 KB · Views: 13
Associe
May day
Maria Pm
Eloko Oyo
Nidja
Service
Nzoto
Sweet life
De- la Renta
Afsana
Ecole
Originally
Aime- moi
A flye
Un coup
Bloque'
Amore
Juste une dance


Fally ipupa ### Ducap lamervaile,Eagle,,,,kitokosss

Ni noma Sana [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji109][emoji123]
 
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!

Hivi huwa mko Serious au huwa mnatania?,yaani Mwanamuziki Fally Ipupa mnamfananisha na Fere Golla?

Sijajua aliyeanzisha huu mpambano kama yuko timamu kichwani.

Koffi olomide amewahi kukaliliwa akisema "Moja kati ya waimbaji na wana jumuia wangu wa bendi ya QUARTIER LATIN ambao sitoweza kuwasahau ni Fally Ipupa,huyu mtu amebarikiwa kipaji cha aina yake katika muziki,bila shaka ukimtoa Marehemu Papa Wemba na mimi,basi atakuwa anafuata yeye"

Kwa maneno hayo ya Mkongwe na Gwiji la muziki wa Dansi na Rhumba kutoka Africa bila shaka Fally Ipupa ni Habari nyingine kabisa!.Vijana huyu Fally Ipupa uenda mtakuwa mmejua juzi tu baada ya kutoa wimbo wa Bakandja,Maria na Mayday!.

Lakini mimi mkongwe na wakongwe wenzangu tunaomfahamu Fally Ipupa toka Enzo hizo akiwa Stage Show na Singer wa Koffi Olomide kutoka bendi ya QUARTIER LATIN wala hatushangai namna alivyo hatari!

Vijana niwapendekezee tu,kama humfahamu Fally Ipupa hebu nendeni karudieni show aliyoifanya Dar es salaam mwaka 2009 ndo mtaelewa ni mtu wa aina gani!(Nendeni YouTube huko mtaikuta hii show)

Kwenye ile show walipanda wasanii wenu mnaowaaminia Amini & Barnaba wakaimba wimbo unaoitwa KIDIAMFUA,aiseee nilicheka sana maana wale wasanii wenu ni kama walikuwa wanaigiza siyo kuimba[emoji23],hapa ndipo nilijua hakuna msanii kitoka Tanzania anayejua kuimba bali huwa ni wababaishaji tu!

FALLY IPUPA acheni kabisa kumlinganisha na watoto wadogo katika muziki!
Sisemi Fally hajui, ila unamjua Ferre wewe?

Unarefer maneno ya Koffi akizungumzia wanamuziki walikuwa kwenye bendi yake, unajua Ferre angekuwa kwenye bendi yake, Koffi angesemaje?

Ndo maana huwa naishia kuwasikiliza wote, kuna watu si wa kupambanisha
 
Wewe utakuwa na matatizo ya kiakili!,Hivi unakijua chanzo cha FALLY IPUPA kutoka QUARTIER LATIN?

Halafu hiyo Congo iliyomkataa fally Ipupa ni Kongo Ipi?,Unajua kwamba Fally Ipupa Tarehe 29/10/2022 amepiga Show siku ya Jumamosi na watu kufa kwa kukanyagana waking'ang'ania wamuone mfalme wa Rhumba?

Yaani wakongo wamkatae Fally Ipupa na bado wajazane na kukanyagana kwenda kumuona?,Kama hamjui mambo mengine ya kiburudani semeni tuwaeleze kinagaubaga muelewe!,Siyo kubwabwaja tu!
Umewai kusikia watu wanakufa kwa Ferre,Werra anasimamisha mtu 65 000 hapo Fally alipotoa kafara watu.
Hajawai kufa hata mmoja
Bcbg wamepiga siku si nyingi hajafa mtu na ukumbini wamejaa mpaka nje.
Fally anawika kiasi tu,
Parazullia Ferre ndio king wa rhumba kwa sasa Congo.
Fanya utafiti.
 
Umewai kusikia watu wanakufa kwa Ferre,Werra anasimamisha mtu 65 000 hapo Fally alipotoa kafara watu.
Hajawai kufa hata mmoja
Bcbg wamepiga siku si nyingi hajafa mtu na ukumbini wamejaa mpaka nje.
Fally anawika kiasi tu,
Parazullia Ferre ndio king wa rhumba kwa sasa Congo.
Fanya utafiti.

Huo utafiti nadhani inapaswa uanze wewe kwa hapo mtaani kwenu kama kuna mtu anamjuq huyo Fere
 
Hapa kuna unazi tu na wala watu hawaongelei kutusua au kukiki kama wanavyosema watu wengi.
Waliomjua Ferre Gora kabla ya Farii wao humuona Ferre ni Bora zaidi kwa kuwa aliwaburudisha au anaendelea kuwabilurudisha kwa kipindi kirefu.

Hawa huwa nawafananisha na mashabiki wa Fid Q hapa bongo. Yaani ukiwaambia kuwa Fid hamuwezi Uno the incredible wanasema hata huyo Uno hawamjui sijui mtoto wa juzi. Lakini hao hao ukiwapeleka America wanakwbia kwa lyric Lil Wayne na Cedrick wapo karibu na Makaveli. Au ukiwabia Nick Minaj kawazidi Remy Ma na Lil Kim wanabisha eti kisa hao ni wazamani so kigezo uzamani huwa kinawafanya watu wengi wasiwe fair ktk judgement zao. So, vigezo vyao havina usawa.

Kwa maana hiyo, kofii kawazidi hai wote si kwasababu ya kuwa ktk fame muda mrefu ila ni kwa kipaji, utunzi, ushehereshaji, game na jinsi anavyoweza ku channel vipaji vichanga ili yeye aendelee kuwa juu. Hivyo, nionavyo kwa sasa Farii amemzidi Ferre Gora ktk fame na kuendana na soko la vijana wa Sasa au niseme ana kiki zaidi ya FereGora.
 
Hata mimi nilishangaa sana kuona huo mjadala, fally yuko vizuri mara elfu zaidi ya ferre golla, miaka zaidi ya 10 kuna mahala nilikuta cd yenye nyimbo zao ila za fally niliziwekea repeat si mnajua tena akili za balehe
 
Back
Top Bottom