Huwa sielewi watu wanatoa wapi Uhalali wa kumfananisha Mwanamuziki Fally Ipupa na Feregola!

Andiko lako limeanza vizur ilaimeishia kihuni. Au maneno ya hoja yameisha? [emoji3]

Rabda tu niseme Ferre Gola ni the voice of Congo. Amebarikiwa kwa aina yake ya kipekee mashair na saut yake sio yakubeza hata kidogo. Nampenda sana Fally Ipupa... Na namjua kuliko unavyodhani maana mim naongea had ki congo licha yenu ni washabik wapenz wa huo mziki pasipo hata kuelewa lugha vizur...

Hivyo ukiniwekea Ferre gola na Fally Ipupa kura yangu kwa Le padre Ferre Gola... Nasio mimi tu wengi wanaojua huu mziki ukimwekea Fally Ipupa atasema anajua lakin ki uimbaji kuna vingi sana amebarikiwa, na huyo ndiye mrithi wa Papa wemba sijaona copy ya papa wemba zaid ya Ferre gola [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Tofaut yao ndhan ni koo wanazotoka. Fally ipupa anahusishwa na uanaChama wa freemason ni superStar wa maagano nyota yake imekuzwa zaid na zaid huko, nadhan wote tunafahamu freemason ina impact gan kwny sanaa... Sijui km ferre gola angekuwa masonic kindaki ndaki fally ipupa angeonekana kias hiki ...( Hii ni nyiongeza )))[emoji120][emoji3]
 
Kila mtu na test yake, kama nilivyosema nakubali rhumba ya ferre. Pengine labda vijana wengi hawapendi rhumba, sijasema Fally simkubali ila mapenzi yangu yatabaki kwa gola. Napenda zaidi rhumba kuliko seben.
Sio ww tu... Ni dunia nzma. Kw anayewajua wakal hawa lazma atasema maneno yko. Na kura itabak kwa ferre gola ......
Hii research nimeifanya mda sn Ferre gola the best
 
Dynastie,
Hata kwenye sebene hamuwezi Ferre tena hapo ndo kabisaa.
Ukisikia akifwelele,tucheze na ile alichapa na Tutu caloudji huwezi fananisha na oriengo anayochezaga Fally
Le padre the best
 
[emoji16]ety 100 kilos na kamasutra tu mkuu naona umeanzisha huu uzi wako ukiwa upande wa fally ipupa, usichokijua kwenye Rumba na kuimba vizuri hakuna anayemsogelea ferre gola, hata kidogo hilo hata fally ipupa alishawahi kukiri. Ne'nda kasilikilize hizi nyimbo nyingine za ferre gola [emoji116][emoji116][emoji116]

1: Maboko pamba
2: Realite
3: Bizorbi
4:Mea culpa
5:Vita imana (kwa Congo ni wimbo wa taifa)
6: Pyromane
7😛oisson de avril
8:Toc Toc ft josey
9:liberte
10:3eme doigt
Umalizie na nyingine na zote ni kali hana nyimbo mbaya huyu kiumbe na huwa hakosei.

Ungesema kwenye masebene hapo sawa fally ipupa ndio mwenyewe. Ila pengine kazidiwa pakubwa mno na lepadre ferre gola.
Ferre gola le padre the voice of congo... Anachana nyuzi za kinanda huyu ... Sio poa
IMG_20231214_165828.JPG
 
Andiko lako limeanza vizur ilaimeishia kihuni. Au maneno ya hoja yameisha? [emoji3]

Rabda tu niseme Ferre Gola ni the voice of Congo. Amebarikiwa kwa aina yake ya kipekee mashair na saut yake sio yakubeza hata kidogo. Nampenda sana Fally Ipupa... Na namjua kuliko unavyodhani maana mim naongea had ki congo licha yenu ni washabik wapenz wa huo mziki pasipo hata kuelewa lugha vizur...

Hivyo ukiniwekea Ferre gola na Fally Ipupa kura yangu kwa Le padre Ferre Gola... Nasio mimi tu wengi wanaojua huu mziki ukimwekea Fally Ipupa atasema anajua lakin ki uimbaji kuna vingi sana amebarikiwa, na huyo ndiye mrithi wa Papa wemba sijaona copy ya papa wemba zaid ya Ferre gola [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Tofaut yao ndhan ni koo wanazotoka. Fally ipupa anahusishwa na uanaChama wa freemason ni superStar wa maagano nyota yake imekuzwa zaid na zaid huko, nadhan wote tunafahamu freemason ina impact gan kwny sanaa... Sijui km ferre gola angekuwa masonic kindaki ndaki fally ipupa angeonekana kias hiki ...( Hii ni nyiongeza )))[emoji120][emoji3]

Pia Swagaaaaaa Faly ipupa mnyamwez sana ....km vile Mond kwa Kiba lakin sio kuimba mzeee hyo sahau ...... Ferre gola the best kokote uendako watakwambia [emoji2][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Andiko lako limeanza vizur ilaimeishia kihuni. Au maneno ya hoja yameisha? [emoji3]

Rabda tu niseme Ferre Gola ni the voice of Congo. Amebarikiwa kwa aina yake ya kipekee mashair na saut yake sio yakubeza hata kidogo. Nampenda sana Fally Ipupa... Na namjua kuliko unavyodhani maana mim naongea had ki congo licha yenu ni washabik wapenz wa huo mziki pasipo hata kuelewa lugha vizur...

Hivyo ukiniwekea Ferre gola na Fally Ipupa kura yangu kwa Le padre Ferre Gola... Nasio mimi tu wengi wanaojua huu mziki ukimwekea Fally Ipupa atasema anajua lakin ki uimbaji kuna vingi sana amebarikiwa, na huyo ndiye mrithi wa Papa wemba sijaona copy ya papa wemba zaid ya Ferre gola [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Tofaut yao ndhan ni koo wanazotoka. Fally ipupa anahusishwa na uanaChama wa freemason ni superStar wa maagano nyota yake imekuzwa zaid na zaid huko, nadhan wote tunafahamu freemason ina impact gan kwny sanaa... Sijui km ferre gola angekuwa masonic kindaki ndaki fally ipupa angeonekana kias hiki ...( Hii ni nyiongeza )))[emoji120][emoji3]
Mkuu nishajiapiza Mungu akinibariki uwezo mkubwa wa kifedha yule ferre gola lazima nimlete kwenye harusi yangu kwa gharama yoyote ile, just imagine mda wa kula ule awe anapiga goma la 100kilos au vita imana yani acha kabisa.
 
[emoji16]ety 100 kilos na kamasutra tu mkuu naona umeanzisha huu uzi wako ukiwa upande wa fally ipupa, usichokijua kwenye Rumba na kuimba vizuri hakuna anayemsogelea ferre gola, hata kidogo hilo hata fally ipupa alishawahi kukiri. Ne'nda kasilikilize hizi nyimbo nyingine za ferre gola [emoji116][emoji116][emoji116]

1: Maboko pamba
2: Realite
3: Bizorbi
4:Mea culpa
5:Vita imana (kwa Congo ni wimbo wa taifa)
6: Pyromane
7😛oisson de avril
8:Toc Toc ft josey
9:liberte
10:3eme doigt
Umalizie na nyingine na zote ni kali hana nyimbo mbaya huyu kiumbe na huwa hakosei.

Ungesema kwenye masebene hapo sawa fally ipupa ndio mwenyewe. Ila pengine kazidiwa pakubwa mno na lepadre ferre gola.
Iyo namba ,10 Ina balaa
 
Asilimia 90 humu wanamshabikia fally kwasababu hawamjui ferre golla si ajabu hata nyimbo zake hamzijui kiufupi nyie ni mashabiki maandazi, fally anafunbase kubwa bongo kuliko ferre gola sasa nyie ambao nyimbo za rhumba mnazisikilizia bar tuu lazima mseme fally ni mkali kwasababu nyimbo zake mnazisikia sana ila sisi tunaoufatilia mziki wa ferre golla vizuri aisee ni TAHIRA tuu ndio atasema fally ni mkali kuliko ferre gola. By the way fally ni msanii mzuri ila sio wa kumlinganisha na ferre gola.
kwa kuongezea ni kwamba fally ameshakuja bongo na amefanya colabo fere hajawahi kuja bongo watu hawamjui lakini pia fere anaimba traditional rlumba na fally anaimba modern rlumba wote ni wakali ila feregola amemzidi fally ipupa
 
Huyo kijana wa kuitwa fere ana balaa,ukimsikia kwenye koffi ayina utaumia sana kwanini hujabarikiwa sauti ya kuimba kama yeye.

Miaka ya karibuni fally amenyanyuka sana hasa uwanja wa youtube kiasi unawezahisi anajua zaidi kama usipokuwa makini.

Lakini sio hivyo.
 
Mama yake Fally Ipupa alifariki kabla ya Fally kua star, tena hii story nilipata kwa Mama wakicongo tukienda kahama
Yah km ukielewa kilingala phamacien album danger de mote kaeleza kila kitu mule kwa uchungu sana na ndio wakaparaganyika.
Waliambiwa watunge nyimbo kila mmoja yake ziwekwe kwenye album.
Fally akaimba ukweli kifo cha mamaake kilivotokea,walikua wanaloga.
Ni ile km bongo tu choma kisu hapo kumbe unamchoma mamaako.
Ye anavodai alidanganya hakujua km ilikua kutoa kafara mama yake.
 
kwa kuongezea ni kwamba fally ameshakuja bongo na amefanya colabo fere hajawahi kuja bongo watu hawamjui lakini pia fere anaimba traditional rlumba na fally anaimba modern rlumba wote ni wakali ila feregola amemzidi fally ipupa
Sikupingi mkuu, fally bongo kaja sana na ngoma zake zinapigwa sana kushinda za ferre gola ila tunaowafatilia wote wawili hawa ferre gola ni hatari kwa rhumba kuliko fally ipupa. Tho fally ipupa nimkali sana pia ila sio kwa kumlinganisha na ferre gola.
 
Hizi nyimbo zamani nilikuwa sizielewi ila baada ya kuishi pamoja na wakongo hapa dsm.

Nimegundua ni nyimbo nzuri sana all in all wote wapo vzr sema fally ana promo nyingi
 
kumbe wewe wa juzi tu?

wimbo mmoja wa Ferre Gola ni sawa na taarabu kumi za Fally Ipupa.

Namna hii ...🎵
 
Attachments

  • Screenshot_20231214_203848.jpg
    Screenshot_20231214_203848.jpg
    185.9 KB · Views: 8
Mi sijui kucheza kabisa ila nyimbo za huyu mwamba huwa zinaniinua kitini ni kuzirudi tu step,tena niwe nimeweka na mizizi ya babu.Utafikiri natembea juu ya godoro.Chilamwina.
 
Back
Top Bottom