Huwa sivutiwi na mwanamke mwenye hizi tabia

Huwa sivutiwi na mwanamke mwenye hizi tabia

King Loto

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Posts
1,757
Reaction score
1,543
Nachukia mwanamke wa kupendea mtu kisa ana pesa nachukia sana tena sana. yaani unapendwa sababu una hali bora,

Mwanamke wa hivi nawashauri wanaume muwe naye makini mimi binafsi inanitokea sana yaani kama nalala na bundi aiseee wanawake wote amna hata mmoja ambaye hajawahi kuniomba pesa at first time nimemtongoza zaidi ya 10 years i see the same scenario.

Wengine wanajibebisha kwako na sijawatokea afu unasikia nakupenda alafu ooh baby ninulie simu mpya aisee i hate this situtions, ukisema huna ndio utafutwi tena.

Nimekaa nimesoma tabia za wengi hazifai hata kusema unapata wife wa kuweka ndani.

Yupo mmoja alikujaga mwaka 2018 nikiwa na shughuli fulani nafanya akajibebisha ooh nataka kazi sijui nimepata mtu sahihi wewe basi tukawa na mazoea mara on the same day tumefahamiana akasema ooh ninahitaji pesa kadha daah nikasema fresh ngoja nkupe next day akaomba tena kiukweli niseme tu alinikera kutokana na kuforce nifanye anavotaka yeye.

Hii tabia siyo nzuri na nimeamua kama nitaoa nifiche uhusika na wasifu wangu nioe mwanamke wa hadhi ya chini anaye ridhika, maana siku hizi mabinti hawaeleweki asa kwenye suala la upendo.

Tabia nyingine ni mwanamke mwenye ubinafsi na mwenye dharau kupitiliza siwapendi wanawake wa hivi aisee yupo mmoja namfahamu alijifanya first time anadeka kwangu kumbe anataka kupiga kizinga nikamsoma mapema nikajifanya sina pesa hata mia nalia njaa kwa mama, naye akaona huyu boya tu. navokuambia sasa hivi hanitafuti akiniona ananiangalia kwa dharau wala salamu amna mpaka niseme mambo wakati ni mtoto kabisa kwangu daah sijui yuko vipi nakuzalishwa ashazalishwa yupo kwao.

Wanawake wanawake wanawake aiseee wakijua huna kitu aisee hizo nyodo utazopatiwa sio kawaida.

USHAURI:
Wanaume tusibabaike na hawa watu hasa kwenye swala la ndoa aisee utakuja umiaa hata kama ni demu wako wa mtoko angalia kama ana upendo at least. kama mwanaume leo unazo chapaa kuwa makini na hawa viumbe bora mara elfu 1 umnunue ule mzigo umtoe chake muachane kimjini mjini mambo yakusema ni mtu wako kuwa makini au unasema unazo unatafuta pia utalizwa.

Vile vile ukija tetereka kipato huna nyuma wala mbele mwanamke atakuruka futi 1000000, licha tu ya mimi nina mfano wa watu wanaokimbiwa na wanawake kisa kawa mlemavu au kaumwa.

Mwanamke wakumwamini ni mama tu ukiumwa kama yupo atakujali, yupo jamaa ameachwa na mpenzi wake kisa amekuwa kipofu haoni alipata pressure ya macho ghafla glaucoma yule demu alimpenda wakati jamaa anapambana kuleta matumizi na kumgharamia baada ya tatizo la jamaa familia wakauza nyumba zake mbili na mashamba pamoja na gari yake kumtibia india na kwingine sasa pesa hakuna demu kamkacha mazima.

daah so sad wakuu.
 
Mm binafsi
1.Mwanamke nikiona anaijua pesa zaid ya wallet huwa simchelewesh. yan mwanamke wa hvo huwa namchuki kabisaa mana huyo n sawa na wale wauza nyapu wa pale bugurun&riverside tu. utofaut n kwamba yy anauza kwa mtindo mwngne

2.Mwanamke mwenye dharau siwez dumu nae hata masaa mawili yan hua nadelete namba on the spot. kati ya vtu stakagi n kudharauliwa na mwanake mana najua apart from sex, she has nothing to offer in my life.


"Poverty made woman to think that,if yu dont give her money you dont love her"
 
Kama wakuamini ni mama tu
Jiulize utamuoa nani?
Jifunze kuamini hata kinafki' maana sahihi hupatikana baada ya makosa mengi
sawa sawa labda nitajitahidi kupenda mtu anayejua nina muda naye na upendo wake naona, kiufupi sitaki kujipendekeza tu.
 
Mm binafsi
1.Mwanamke nikiona anaijua pesa zaid ya wallet huwa simchelewesh. yan mwanamke wa hvo huwa namchuki kabisaa mana huyo n sawa na wale wauza nyapu wa pale bugurun&riverside tu. utofaut n kwamba yy anauza kwa mtindo mwngne

2.Mwanamke mwenye dharau siwez dumu nae hata masaa mawili yan hua nadelete namba on the spot. kati ya vtu stakagi n kudharauliwa na mwanake mana najua apart from sex, she has nothing to offer in my life.


"Poverty made woman to think that,if yu dont give her money you dont love her"
brother you just act like me wanaume tuwe na msimamo huu tusiwe na dhana ya kujipendekeza kwao its over kwa waelewa, congrats broh kwa mkakati mzuri juu ya hawa watu.
 
Kama vipi umba wako kijana umkuze na tabia zinazokuvutia. Kifupi hakuna mwanamke asiependa pesa.
 
Kama vipi umba wako kijana umkuze na tabia zinazokuvutia. Kifupi hakuna mwanamke asiependa pesa.
Ni sahihi, lakini kuna uwezekano wa kudhibiti tamaa ya pesa. Walioshinda huu mtihani wanajua kuwa utu ni tofauti na pesa.
 
Mi nilikuwaga na demu mmoja yeye ndo alisema anataka kufanya maisha na Mimi nikamkubalia kwa wakati ule alikuwa na jamaa mmoja alikuwa ana hela kimtindo, akaachana na jamaa akaja kuishi kwangu🤔
Lakini nikaja kushtuka bado ana mawasiliano ya kwenye simu na yule jamaa. Niliumia sanaaaaaaa
Nikamkalisha Mara ya kwanza Kwamba sitaki uwasiliane na huyu bwana akajibu jamaa ndo anamtafuta. 🤔

Baada ya week nikakuta bado wanawasiliana yaani demu anapigiwa na ile namba anapokea ukichek call log 4minutes and 35seconds nikamwambia sitaki hizi mambo , akakiri hawatoongea tena.

Wakaendelea tena kuwasiliana , nikagundua lakini awamu hi akaomba msamaha , na laini yake akaivunja nikajip moyo labd ndo mwisho😔😔 akatafuta laini mpya kabisa lakn ndani ya week nikakuta ile namba bado wanaongea.
Nikanyoosha mikono nikakiri nikasema mwanamke asipoamua kwa dhati yake kubadilika hata uwe na milioni 800 habadiriki.

Pesa sio kigezo Cha kupendwa kwa dhati, Wala umasikini sio kipimo Cha kupima mapenzi ya mtu juu yako.
 
Heheh wale ambao hatuombwi hela mpaka tunajishtukia wenyewe tunatuma,wale tunaokopeshana na wapenzi wetu na tuko waaminifu kurudishiana hela siku tuliyoahidiana tupooo...
 
Pole, nahisi labda umekulia kwenye familia ambayo ilikua ina struggle financially, therefore bado una feelings of insecurity..i might be wrong...
sorry una maana insecurity kivipi yaan nlikuwa napewa uangalizi mzuri or so naogopa kukutana na mtu asiye nijali jibu ya hii sentence ni Yes naogopa pata asiyenijali.
 
Kama vipi umba wako kijana umkuze na tabia zinazokuvutia. Kifupi hakuna mwanamke asiependa pesa.
pesa na utu ni vitu tofauti sasa nshawahi mtoa mwanamke offer nilikuwa na washikaji wawili sasa nao niliwapa offer likely at the end washikaji wakasema huyu manzi awezi kula vitu vyako vya bure hivi hivi lazima umle na mimi sikuwa na mawazo hayo kwenye akili kwamba nampa ili nimle, nliwakwepa lakini
 
Hapa hutawaona wale "viwavi jeshi" wale wanafosi kuhudumiwa 🤣🤣🤣!!!
Yani bila chambi chambi haupati penzi mkuu! Ndio slogan yao watoto wa mjini.
bado hawajafika kutoa mapovu mkuu, wapogo nawapata sana utasikia sasa limwanaume gani dume suruali tu.
 
21 SIGNS THAT YOU ARE IN THE RIGHT RELATIONSHIP

Singles or would be couples these days are facing serious challenge to know whether they are in the right Relationship or not, that is very necessary and important considering so many relationship woes and heartbreak we are been confronted with everyday of our existence. But to know if one is in the right relationship isn't rocket science. Though not magical, it is very possible to know. As I always say, we can all be right if we do the right thing.

Consider the following checklist;

1. God's will. This is very key. Its not about your will but His. Whether you chose him or her and bring him or her to God or you pray through to receive, you must be sure you are doing His will. God still speaks, we must discover the way He communicates, he's a dynamic God. In knowing His will neutrality and objectivity is very key. Neutrality is simple " ladies close your legs" and guys "zip up". Objectivity is when you are not biased or don't have a predetermined answer. Your relationship must be God oriented. It is dangerous to go into an institution neglecting the institutor (Evang. Tunde Olufunde, 2020). Don't take that risk.

2. God is the center of it. This is more than praying, it is about obeying the commandments of God concerning Relationship. Abstinence is still very valid till eternity. Avoid premarital sex!

3. Sound conviction. This should be mutual. A situation where both partners are deeply convinced to be together. Conviction shouldn't be one sided.

4. Mutual love. Where love is not one sided.

5. Well defined. The Relationship has a goal which is Marriage. Many are still living in the world of assumption concerning their relationship, ladies especially. If he or she is not coming out straight or using delay tactics please don't assume. Move on to avoid time wasting, see if all you lose is things like money, property etc you can still rise up but when you lose your time, it is a big loss because whatever steals your time, stole your destiny (AJS 2020). So avoid time wasters like plague.

6. Mutual commitment to the Relationship.

7. Mutual respect of each others decision.

8. The caring is mutual and not one sided.

9. There is high level of understanding between them. They understand the place of leisure time and time for serious spiritual exercise.

10. They are ready to talk about anything; their past, present and future.

11. Agreement concerning the matter of sex and the need to wait.

12. Both have a picture of how their Marriage would be and can't wait to get started.

13. They carry their parents and other concerned people along and most importantly, their pastors for guidance and counseling.

14. They both love God. No pretence.

15. They are intentional about personal development. They grow together. They read books, they attend seminars, conferences and workshops together.

16. There is mutual trust, no cheating or side chicks.

17. The two love birds demonstrate mutual tolerance for each other.

18. There is mutual agreement on important issues eg number of children in marriage, matter of sex, finance, career, extended family management, friends management etc.

19. They both knows how to settle their issues amicably when there is mistake.

20. The two are best of friends. No secrets, transparency is the watchword.

21. They are both responsible.

Dear singles, take a look at all these signs if your Relationship is lacking all of these, then you have a lot to do. It's not too late to make the necessary adjustments. Have a good foundation to avoid stories that touches the heart. The journey starts now!

You know I love you. Stay safe for me please.

A more impactful and responsible relationship is possible.

© Olajide Olawale Opeyemi, 2020
(Coach Triple O)
Relationship, Marriage and Spiritual Success Coach.

Photo credit: Facebook news feed
 
Back
Top Bottom