nyasangaboy
Senior Member
- Jul 14, 2020
- 127
- 58
Kama unapenda pesa solution n kufanya kaziKama vipi umba wako kijana umkuze na tabia zinazokuvutia. Kifupi hakuna mwanamke asiependa pesa.
Kama unapenda pesa solution n kufanya kaziKama vipi umba wako kijana umkuze na tabia zinazokuvutia. Kifupi hakuna mwanamke asiependa pesa.
Upo sahihi alafu usipende kufosi mapenzi ndo mambo yanayopelekea Ndoa kuvunjika mapemaMi nilikuwaga na demu mmoja yeye ndo alisema anataka kufanya maisha na Mimi nikamkubalia kwa wakati ule alikuwa na jamaa mmoja alikuwa ana hela kimtindo, akaachana na jamaa akaja kuishi kwangu🤔
Lakini nikaja kushtuka bado ana mawasiliano ya kwenye simu na yule jamaa. Niliumia sanaaaaaaa
Nikamkalisha Mara ya kwanza Kwamba sitaki uwasiliane na huyu bwana akajibu jamaa ndo anamtafuta. 🤔
Baada ya week nikakuta bado wanawasiliana yaani demu anapigiwa na ile namba anapokea ukichek call log 4minutes and 35seconds nikamwambia sitaki hizi mambo , akakiri hawatoongea tena.
Wakaendelea tena kuwasiliana , nikagundua lakini awamu hi akaomba msamaha , na laini yake akaivunja nikajip moyo labd ndo mwisho😔😔 akatafuta laini mpya kabisa lakn ndani ya week nikakuta ile namba bado wanaongea.
Nikanyoosha mikono nikakiri nikasema mwanamke asipoamua kwa dhati yake kubadilika hata uwe na milioni 800 habadiriki.
Pesa sio kigezo Cha kupendwa kwa dhati, Wala umasikini sio kipimo Cha kupima mapenzi ya mtu juu yako.
Wanapatikana vijijini hao btw wanawake wenye tabia nzuri mjini pia wapolaskaboza asante kwa mawazo mazuri na hata hivo nilisema let me get start kutafuta mwanamke ambaye siyo slay queen or slay mama.
yaan she is not living the modern life, she don't know club, lounge, class cars, she don't have idea with weekends, she don't wear fend, glasses, hair styles like peruvian, brazillian, she don't needs house for her own, she never sense the idea of vacay trip.
yaan kiufupi mwanamke ambaye hana utambuzi na malimwengu ya dunia ameridhika na hajui utamu wa dunia ulivo huyu yuko like dakika 1000 nyuma ya hawa wa sasa labda ndio nitasema huyo ndio mtii😕😕😕😕
Cha kuongezea ukiwa uko fit financially mwanamke wa hivo atakuboa kama uko naye yaan ushamba mwingi, kama unapenda maisha ya bata lazima umuache au uende na michepuko.
🤣🤣🤣🤣🤣Sku hz navutiwa zaidi na vile vibinti vinavyouza michicha,maandaz au matunda
Kama unapenda pesa solution n kufanya kazi
Wazamani hao ila wasikuizi wanajighulishaEeh, ndio maana wanawake wanapenda pesa kwa sababu ya majukumu yao nyumbani ni kazi pia.
Haya ni ndio maneno yenu na vingereza vyenu vya ugoko.eti Familia ina struggle financially.....wakati hoja ya jamaa inaeleweka.Pole, nahisi labda umekulia kwenye familia ambayo ilikua ina struggle financially, therefore bado una feelings of insecurity..i might be wrong...
Haya ni ndio maneno yenu na vingereza vyenu vya ugoko.eti Familia ina struggle financially.....wakati hoja ya jamaa inaeleweka.
wanaahndwa kutafta pesa kazi yaao kupiga vizinga tu dadeq hawaKama unapenda pesa solution n kufanya kazi
mkuu nshacomment pale juu ukiona mwanamke anatanguliza pesa mbele huyo n muuza nyapu kama wauzaji wengne kasoro anauza kwa stail tofaut