King Loto
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 1,757
- 1,543
- Thread starter
- #41
😂😂😂 swali lako mzee kwani ukishakuwa na pesa ndio waje wale wakukuchuna aisee sasa hivi hata uwe na pesa lazima uwe makini sana maana wengine watajiegesha kwako kisa una hali nzuri, na wakati uko nazo wewe binafsi huwezi jua unaona unapendwa and life is good while days goes on sasa ngoja ziishe mkuu utalia na kusaga meno 😢😢Unahela
amini nakuambia if you have money and you have friends too kaa ukijua hizo pesa lazima ziishe yaani lazima mkuu asilimia kubwa ya matajiri wa hivo wenye marafiki unaa hawakai na pesa, wale wabinafsi zinakaa sana.