Huwa sivutiwi na mwanamke mwenye hizi tabia

yule jamaa alipendewa pesa bravo shutuka so alikuwa ganda la ndizi mtelezo wake.
 
Aah wapi! mtu kama mi hanipati
Usawa wenyewe huu wa kulenga kwa manati
 
Heheh wale ambao hatuombwi hela mpaka tunajishtukia wenyewe tunatuma,wale tunaokopeshana na wapenzi wetu na tuko waaminifu kurudishiana hela siku tuliyoahidiana tupooo...
kama unatuma pesa bila kuombwa wewe wanakuita bwana wa mabwana yaani bonge la bwana.
 
poi
kweli you nailed it with points of facts
 
Aah wapi! mtu kama mi hanipati
Usawa wenyewe huu wa kulenga kwa manati
😂😂😂😂 Kanungila Karim samahani wewe dada uliyevaa shati la kaki hivi unaitwa nani
Demu: mi naitwa bahati
brother men : mbona kama nishawahi kukuona
Demu : acha longo longo sema una shilingi ngapi?
msela: kwani mazee nyie mpango wenu vipi ?
brother men: mi mbn mpango wangu safi.
mitungi R.I.P ngwea aseee mzee wa mikasi.
 
Mwaka 2014 kuna mwanamke nilimtongoza tulikuwa tumepiga nae interview na kazi tukaanza pamoja. Siku hiyo tumepumzika saa 4 kama kawaida story zikawa zianendelea huku narusha ndoano. Yule mwanamke mbele ya jamaa tuliokuwepo pale na Dada mmoja, kaka huna pesa,gari hata masters huwezi kuwa na mimi.

Tangu hapo jamaa zangu wakawa wananitania mzee baba pesa au gari hujapata umfate bibie. Ila baada ya wiki wanaume wenye magari walispend nae kadri ya uwezo wao, maana kipindi hicho Tumbaku ilikuwa Tumbaku kweli ela ilikuwepo mtu kumiliki gari 3 za kutembelea ilikuwa kawaida.
 
All these go down when
All these went kaput, eversince money came in between 🤣🤣🤣
 
Wajumbe sio watu mkuu...Pesa imefanywa kuwa na uhusiano na utu kwa kuwa zinakidhi tamaa zenu watoto wa kike. Thats why a man without cash looks worthless...sababu anashindwa kukidhi matamanio yenu juu ya material stuffs. Ila mwenye hela ni A+ shobo ni overflinch.
Wanaoushinda huo mtihani wanapewa pesa. Pesa na utu vinauhusiano wa moja kwa moja. Waulize wajumbe.
 
Haha ila JF bhana

Wanaume huwa tunawaambia wanawake wavumilie tunapochepuka maana huo ni udhaifu wetu

Wakati huo huo sisi hatutaki kuwavumilia na udhaifu wao wa kupenda pesa zetu

Ila mtoa mada pole sana aisee
 
Mkuu muunde wa peke yako uepukane na hizo tabia
 
kabla ya kuoa /kuolewa chukua mida was kutosha kupima akili ya huyo anarkuita bebi au unayemwita bebi. .wapo hata wanaume wanaofata wanawake wenye pesa kwa swaga zote za kujifanya wanajua kupenda ili tu wapate kitonga flanii. .mfano .mama ake Na Diamond na yule jamaa 😄🤗🤗🤗ukinikoti mi simo Amen Amen
 
laskaboza asante kwa mawazo mazuri na hata hivo nilisema let me get start kutafuta mwanamke ambaye siyo slay queen or slay mama.

yaan she is not living the modern life, she don't know club, lounge, class cars, she don't have idea with weekends, she don't wear fend, glasses, hair styles like peruvian, brazillian, she don't needs house for her own, she never sense the idea of vacay trip.

yaan kiufupi mwanamke ambaye hana utambuzi na malimwengu ya dunia ameridhika na hajui utamu wa dunia ulivo huyu yuko like dakika 1000 nyuma ya hawa wa sasa labda ndio nitasema huyo ndio mtii😕😕😕😕
Cha kuongezea ukiwa uko fit financially mwanamke wa hivo atakuboa kama uko naye yaan ushamba mwingi, kama unapenda maisha ya bata lazima umuache au uende na michepuko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…