πππ swali lako mzee kwani ukishakuwa na pesa ndio waje wale wakukuchuna aisee sasa hivi hata uwe na pesa lazima uwe makini sana maana wengine watajiegesha kwako kisa una hali nzuri, na wakati uko nazo wewe binafsi huwezi jua unaona unapendwa and life is good while days goes on sasa ngoja ziishe mkuu utalia na kusaga meno π’π’Unahela
ile si inaonekana kabisa live mubashara.kabla ya kuoa /kuolewa chukua mida was kutosha kupima akili ya huyo anarkuita bebi au unayemwita bebi. .wapo hata wanaume wanaofata wanawake wenye pesa kwa swaga zote za kujifanya wanajua kupenda ili tu wapate kitonga flanii. .mfano .mama ake Na Diamond na yule jamaa ππ€π€π€ukinikoti mi simo
Amen Amen
Pole sana mkuuu...!!Mwaka 2014 kuna mwanamke nilimtongoza tulikuwa tumepiga nae interview na kazi tukaanza pamoja. Siku hiyo tumepumzika saa 4 kama kawaida story zikawa zianendelea huku narusha ndoano. Yule mwanamke mbele ya jamaa tuliokuwepo pale na Dada mmoja, kaka huna pesa,gari hata masters huwezi kuwa na mimi.
Tangu hapo jamaa zangu wakawa wananitania mzee baba pesa au gari hujapata umfate bibie. Ila baada ya wiki wanaume wenye magari walispend nae kadri ya uwezo wao, maana kipindi hicho Tumbaku ilikuwa Tumbaku kweli ela ilikuwepo mtu kumiliki gari 3 za kutembelea ilikuwa kawaida.
Mjumbe,, huyu jamaa anaonekana anataka kuwala "Kimasihara" bila kutumia nguvu ya hela eti?Pole sana mkuuu...!!
Huyu mjumbe anakwama sana ila hakuna namnaa...!! Kama huna hela mwanamke anaeweza kukukubali alafu demu awe mzurii bhasi shukuru Mungu..jamaa nahisi hawezi sahau hii dharau mileleMjumbe,, huyu jamaa anaonekana anataka kuwala "Kimasihara" bila kutumia nguvu ya hela eti?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787],, unapenda Sanaa mbogamboga wew Mjumbe!!Sku hz navutiwa zaidi na vile vibinti vinavyouza michicha,maandaz au matunda
Mkuu muunde wa peke yako uepukane na hizo tabia
Toeni hela acha kulalamika[emoji4]Hapa hutawaona wale "viwavi jeshi" wale wanafosi kuhudumiwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!!
Yani bila chambi chambi haupati penzi mkuu! Ndio slogan yao watoto wa mjini.
Hiyo aya ya mwisho umeiandika vizuri Sana [emoji122][emoji122]Mi nilikuwaga na demu mmoja yeye ndo alisema anataka kufanya maisha na Mimi nikamkubalia kwa wakati ule alikuwa na jamaa mmoja alikuwa ana hela kimtindo, akaachana na jamaa akaja kuishi kwangu[emoji848]
Lakini nikaja kushtuka bado ana mawasiliano ya kwenye simu na yule jamaa. Niliumia sanaaaaaaa
Nikamkalisha Mara ya kwanza Kwamba sitaki uwasiliane na huyu bwana akajibu jamaa ndo anamtafuta. [emoji848]
Baada ya week nikakuta bado wanawasiliana yaani demu anapigiwa na ile namba anapokea ukichek call log 4minutes and 35seconds nikamwambia sitaki hizi mambo , akakiri hawatoongea tena.
Wakaendelea tena kuwasiliana , nikagundua lakini awamu hi akaomba msamaha , na laini yake akaivunja nikajip moyo labd ndo mwisho[emoji17][emoji17] akatafuta laini mpya kabisa lakn ndani ya week nikakuta ile namba bado wanaongea.
Nikanyoosha mikono nikakiri nikasema mwanamke asipoamua kwa dhati yake kubadilika hata uwe na milioni 800 habadiriki.
Pesa sio kigezo Cha kupendwa kwa dhati, Wala umasikini sio kipimo Cha kupima mapenzi ya mtu juu yako.
Hutaki kuombwa usitongoze mkuu baki na hamu zakowanawake mnapenda sana hela za bure basi mjue kuzitafuta, hakuna hela tu kama hela yako binafsi, ukiomba omba sana unakuwa kama omba omba tu tofauti inakuwa wewe unaomba kisayansi [emoji1787][emoji1787]