Tupooooooo hapaHapa hutawaona wale "viwavi jeshi" wale wanafosi kuhudumiwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!!
Yani bila chambi chambi haupati penzi mkuu! Ndio slogan yao watoto wa mjini.
factNi kweli mkuu ndio maana hata biblia inasema tuishi nao kwa akili
sitakaa nisahau dharau nilizo pitia ninazo pitia nikiwa namtaka mwanamke afu yeye katanguliza pesa.Huyu mjumbe anakwama sana ila hakuna namnaa...!! Kama huna hela mwanamke anaeweza kukukubali alafu demu awe mzurii bhasi shukuru Mungu..jamaa nahisi hawezi sahau hii dharau milele
Pole mkuu ni mapito tu..sitakaa nisahau dharau nilizo pitia ninazo pitia nikiwa namtaka mwanamke afu yeye katanguliza pesa.
nimejifunza vitu vikubwa sana mkuu ipo siku itafika zamu yangu naamini hivo nitakaa kwa amani na hata walio nidharau na kunibeza watashangaa tu but i wont get back nimpende aliyenitenda zaidi ya kumind my own life.Pole mkuu ni mapito tu..
Hutaki kuombwa usitongoze mkuu baki na hamu zako
Hiyo dharau siwezi kusahau na jamaa zangu wakiniona huwa wananitania.Huyu mjumbe anakwama sana ila hakuna namnaa...!! Kama huna hela mwanamke anaeweza kukukubali alafu demu awe mzurii bhasi shukuru Mungu..jamaa nahisi hawezi sahau hii dharau milele
Pole mkuu.Hiyo dharau siwezi kusahau na jamaa zangu wakiniona huwa wananitania.
Kipindi hicho nilikuwa Young Boy, nilikuwa makuzi sana. Ila jamaa wa pili kutembea nae alikuwa jamaa yangu alikuwa anavimba na Toyota Chaser Gx 100.
Baada ya miaka kupita nikaambiwa bibie alipata Masters kutoka Jordan University na akaolewa. Na jamaa yangu akaniambia bado bibie ukiwa mtamu mfukoni akuachi upite mbali anakutunuku, jasiri haachi asili.
Tendo la ndoa ni kwa ajili ya wanandoa.ishue sio hamu, sex sio kila kitu duniani, yan wanawake pussy zenu mmezipa money value ndio tatizo sasa...Yan hiyo notion yako ya kwamba kumtongoza mtu mpaka uwe na hela ni mambo ya kuiweka pussy for sale, daah kweli nimeamini sikuiz tunauziwa kwa stail tofauti sana...
mkuu nshacomment pale juu ukiona mwanamke anatanguliza pesa mbele huyo n muuza nyapu kama wauzaji wengne kasoro anauza kwa stail tofautishue sio hamu, sex sio kila kitu duniani, yan wanawake pussy zenu mmezipa money value ndio tatizo sasa...Yan hiyo notion yako ya kwamba kumtongoza mtu mpaka uwe na hela ni mambo ya kuiweka pussy for sale, daah kweli nimeamini sikuiz tunauziwa kwa stail tofauti sana...
wanapita kmya kmyaaaaa kama mshale shaa shaaaaHivi wanawake hawasomi haya mambo mmu au tupo madume tu
aha kwa hyo mnakiri waz kwamba huwa mnauza s ndioTendo la ndoa ni kwa ajili ya wanandoa.
Ukimuomba binti kabla ya hapo unakuwa umekiuka masharti..kwanini wao wasiwauzie Kama ninyi tu mnataka kuonja onja mapema.
Toeni hela acheni kulalamika.
Kama mnakiuka misingi acha muuziwe tu.aha kwa hyo mnakiri waz kwamba huwa mnauza s ndio
mh, ipo namnaKama mnakiuka misingi acha muuziwe tu.
Hakuna dhambi isiyo na gharama.
Mkiacha uzinzi Hakuna atakayewauzia.
Namna ipi?mh, ipo namna
Hivi Tabia hizi hadi wanawake wa Dunia ya kwanza wapo hivi kweliNi kweli mkuu ndio maana hata biblia inasema tuishi nao kwa akili