Huwa sivutiwi na mwanamke mwenye hizi tabia

Upo sahihi alafu usipende kufosi mapenzi ndo mambo yanayopelekea Ndoa kuvunjika mapema
 
Wanapatikana vijijini hao btw wanawake wenye tabia nzuri mjini pia wapo
 
Pole, nahisi labda umekulia kwenye familia ambayo ilikua ina struggle financially, therefore bado una feelings of insecurity..i might be wrong...
Haya ni ndio maneno yenu na vingereza vyenu vya ugoko.eti Familia ina struggle financially.....wakati hoja ya jamaa inaeleweka.
 
Poleni endeleeni kujifariji lakini muelewe mwanamke ni kama pesa hata itupwe chooni itaokotwa😃😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…