Kuwaambia polisi wawapige wanaoniudhi.Kwema wakuu.
Hasira ni miongoni mwa hisia tunazopatwa nazo wanadamu.
Kitu gani huwa unafanya ili kupunguza au kuondoa kabisa hasira
Naskiza ndombolo ya solo ya wana bakongoleee, wacongo wanakuambiaKwema wakuu.
Hasira ni miongoni mwa hisia tunazopatwa nazo wanadamu.
Kitu gani huwa unafanya ili kupunguza au kuondoa kabisa hasira
La maanaNice unapiga diko kabisa 🙂
Imekaa poa sana mkuu mimi huwa namsikiliza Madilu "ngayo ngayo oh ngayo ngayo mawa"na Oliver NgomaNaskiza ndombolo ya solo ya wana bakongoleee, wacongo wanakuambia
"Azenga luketu biso bana congo"
"Azenga luketu biso bana brazza"
"Azenga luketu biso bana tanzamiee"