Na switch I'd tu kama wewe tajiri.Mkuu wewe hasira unamalizia wapi 🙂
Mm nikipiga nyeto sipati Hata hamu ya kula, bora dunia iangamie kuliko kuacha nyeto 🔥CCM ilaaniwe sana imeharibu hawa vijana.🤣🤣 na hasira hamishia kula makande zaidi
Bangi ukiwa na hasira si inakututumua zaidi?Meditation
Maombi
Weed
Vuta pumzi taratibu, bana, shuha taratibu.Kwema wakuu.
Hasira ni miongoni mwa hisia tunazopatwa nazo wanadamu.
Kitu gani huwa unafanya ili kupunguza au kuondoa kabisa hasira
Yeye anafanyaga nini kutuliza hasira?😀 afadhali hata Poor Brain
Hilo tatizo siyo bure😁😁Hapana, ila nikiwa na hasira kweli mawazo ya ngono huongezeka maradufu.
Hapana babeHilo tatizo siyo bure😁😁
Hapo kwenye WEED 😂🙌🏾Meditation
Maombi
Weed