MeditationKwema wakuu.
Hasira ni miongoni mwa hisia tunazopatwa nazo wanadamu.
Kitu gani huwa unafanya ili kupunguza au kuondoa kabisa hasira
Kwamba??Haha unaliaga na wewe!
It works perfectly😊nikimaliza kulia nalala.haha unalia tena but ni good technique! 🙂
na usingizi unakuja ?Nalia Halafu nalala
unatembea bila uelekeo kama zombi 😂😂Natembea bila mwelekeo, kama ni usiku sana naangalia clip za vichekesho
Haswa tena nalala muda mrefuna usingizi unakuja ?
Kwamba mimi ni chuma 😂Navoona unareact na kicheko automatically akili ikajuaga hulii 🙂
🚶🏼♀️sio chuma ila si huwa unachuma mboga kwenye yale mambo 🙂
unaweza kudrive ukiwa na hasira?