Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 18,719
- 60,636
Weed /kush /bangi inaongeza akili hio ni kwa siri sanaMeditation
Maombi
Weed
Weed /kush /bangi inaongeza akili hio ni kwa siri sanaMeditation
Maombi
Weed
Kabisa😀 Noma
unkasirikable
Anhaa sawa mkuu noted!Mkuu stress haiwezi kukufanya ushindwe kuendesha gari! Itategemea na wewe hiyo stress umeipokea vipi na imekuathiri vipi kichwani mwako. Watu wanafiwa watu wa karibu, na wanabeba maiti kwenye magari yao.
Tofautisha kati ya hasira na ghadhabu. Adui mkubwa wa chombo cha moto ni Ulevi, mwendokasi na uzembe.
Mimi huwa naangalia Tom and JerryKwema wakuu.
Hasira ni miongoni mwa hisia tunazopatwa nazo wanadamu.
Kitu gani huwa unafanya ili kupunguza au kuondoa kabisa hasira
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ila mkuu, wewe unawazaga ngono tuHasira ni instinct yaani Kila mwanadamu ana hasira. Hauwezi kumfundisha hasira.
Mimi nikiwa na hasira huwa dushelele inasimaa kwa ushupavu wa hali ya juu kwani dushelele ndiyo silaha niitumiayo kuwachapa wale wote wanipandashao hasira.
Hili Binti Sayunii analifahamu fika kabisa.
That's me!
Ulijuaje?Haha nilijua tu 😀
Wakina nani hao atawagombanisha tena mkuu😁Mkuu kumtag huyo binti utagombanisha watu humu 🙂
Yap, nimetokea kuvutiwa sana na hivyo vidude sana, yaani nikiangalia stress zote kwishaAvatar yako 🙂
Huyu ndege anapenda sana utani😁😁Mimi wa kwanza 🙂 wa pili mubaba niwataje wote au basi
Anhaa sawa mkuu noted!
kumbe kuna
hasira - anger
ghadhabu - rage
Mbaga huwa anafanyaje akiwa na hasira?Afadhali unaangalia T&J kuliko ungekuwa kama Mbaga Jr
ningesikitika sana hasa hapo ambapo ungekuwa unajibaka
SAWA Mkuu hapo nimekupata hasira ni ghadhabu ambayo haijachangamka!Ndio unaweza kuwa na hasira bado usipoteze umakini, na unaweza kuwa na hasira ikakupelekea kupoteza umakini na ghadhabu.
Ndio maana utaona mtu kapata hasira anagonga meza, ni hasira imempelekea kughadhabika. Au akawa na hasira akaendesha gari kwa ghadhabu na kusababisha ajali.
Ukishindwa ku "control" hasira ndio unaghadhabika. Ndio maana mtu anaweza kupata hasira sana, akatulia asifanye lolote labda akalia tuu, au akatoa machozi na asilie.