dosho12
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 4,965
- 13,552
Ushawahi kusema wewe ni jitu la miraba minne😁😁😁Kwamba mimi ni chuma 😂
Ushawahi kusema wewe ni jitu la miraba minne😁😁😁Kwamba mimi ni chuma 😂
Unazingua I’m out 🚶🏼♀️au naongopa my friend 🙂
Wewe nae 😂😂 hujasahau tuUshawahi kusema wewe ni jitu la miraba minne😁😁😁
ngoja nikupe scenario moja: Mwana kacheatiwa na dem wake, akawapakiza kwenye ndinga yake, katika kuongea anasema kwa hasira "yaani Esta nikamlipia ada ya chuo, nikamnunulia macho matatu..." huku anaongeza speed. Ndio maana nikauliza unawezaje mkuu? Too risky!Bila shida.... @ my own risk.
Basi kuanzia leo nasahau 😆😆Wewe nae 😂😂 hujasahau tu
Hahaha 😂Mm Hua napiga nyeto ili kupunguza hasira 🔥
BWANA ni mwema kama katika hasira unamkumbuka ni jambo jema sana.Nikiwa na hasira huwa napunguza kwa,
1. Kuhamisha mawazo ya kile nimeuziwa na kugeukia mawazo chanya.
2. Kujisemea kimoyo moyo, "Mungu nitie nguvu/nisaidie au najisemea "Mungu nivushe katika hili" pia huwa nafikilia mistari ya biblia zaidi inayonitia nguvu.
Hasira ni instinct yaani Kila mwanadamu ana hasira. Hauwezi kumfundisha hasira.secretarybird hasira ni kipaji ama 🙂
Kukaa peke yangu kwa mudaKwema wakuu.
Hasira ni miongoni mwa hisia tunazopatwa nazo wanadamu.
Kitu gani huwa unafanya ili kupunguza au kuondoa kabisa hasira
Mkuu kumtag huyo binti utagombanisha watu humu 🙂Hasira ni instinct yaani Kila mwanadamu ana hasira. Hauwezi kumfundisha hasira.
Mimi nikiwa na hasira huwa dushelele inasimaa kwa ushupavu wa hali ya juu kwani dushelele ndiyo silaha niitumiayo kuwachapa wale wote wanipandashao hasira.
Hili Binti Sayunii analifahamu fika kabisa.
That's me!
ngoja nikupe scenario moja: Mwana kacheatiwa na dem wake, akawapakiza kwenye ndinga yake, katika kuongea anasema kwa hasira "yaani Esta nikamlipia ada ya chuo, nikamnunulia macho matatu..." huku anaongeza speed. Ndio maana nikauliza unawezaje mkuu? Too risky!