Nomadiq
JF-Expert Member
- Jan 5, 2025
- 8,572
- 22,926
- Thread starter
- #81
Haha kahasira mgando!Nafanya kazi kwa bidii kwa wakati uho kama nipo nyumban basi nitasafisha nyumba na kuweka vitu vizuri kama ni kazini basi nitafanya mwenyewe bila kuombaa msaada na sitoongea na mtu ukilazimisha niongee basi nitakujibu majibu ya mkato