Huwa unafanya nini kupunguza au kumaliza hasira?

Kwema wakuu.

Hasira ni miongoni mwa hisia tunazopatwa nazo wanadamu.

Kitu gani huwa unafanya ili kupunguza au kuondoa kabisa hasira
Naskiza ndombolo ya solo ya wana bakongoleee, wacongo wanakuambia
"Azenga luketu biso bana congo"
"Azenga luketu biso bana brazza"
"Azenga luketu biso bana tanzamiee"
 
Naskiza ndombolo ya solo ya wana bakongoleee, wacongo wanakuambia
"Azenga luketu biso bana congo"
"Azenga luketu biso bana brazza"
"Azenga luketu biso bana tanzamiee"
Imekaa poa sana mkuu mimi huwa namsikiliza Madilu "ngayo ngayo oh ngayo ngayo mawa"na Oliver Ngoma
 
Road trip alone, huku nakula miziki, ninayopenda. Naenda sehemu nakaa huko siku moja au mbili, nakula bata nageuza. Hasira kwisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…