Huwa unafanya nini ukiwa na msongo wa mawazo na si mnywaji wa pombe?

Mkuu umenikumbusha wakati niko shule, nilikua naandika kila ninachokiwaza kwenye karatasi halafu nikimaliza nachana chana, nilikua naamini nikichana na stress zinachanikaπŸ˜ƒπŸ˜ƒ. Utoto raha sana aisee
 
Bora wewe ulipata na nguvu ya kuanika tena.. Niliziacha chini hadi siku ya pili asubuhi nikazikuta zimeoshwa na kuanika tena, sijajuaga nani ananionea huruma πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€¦β€β™€οΈ
πŸ˜‚ stress ni kitu ingine kabisa, ulishawahi kuwa na stress alafu ukajikwaa kidole cha mwsho cha mguu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…