Huwa unamuamini asilimia ngapi mwenyeji wako anapokwambia usiogope, Mbwa wake hang'ati?

Ni kama manzi anaeogopa muhogo huku unampa moyo naweka kichwa tuu.
 
Hahah
 
😂😂😂
 
kwanza mimi siwapendi mbwa. kubwa ni kwamba siwaamini kabisa
RIP mzee Kingunge Ngombari mwiru
 
kwanza mimi siwapendi mbwa. kubwa ni kwamba siwaamini kabisa
RIP mzee Kingunge Ngombari mwiru
Mbwa kwa upande mmoja ni mlinzi na rafiki mzuri sana kwa binadam, lakini kwa upande wa pili ni hatari na adui mkubwa sana kwa binadam.
 
Bata mzinga wanashida gan
Mimi ninachojua hawa bata tunaofuga ndo noma. Kuna bata ambao ni wakali, wakorofi na wagomvi. Unaweza kupita karibu yake ukashangaa anakufuata na kukurukia, na kila utapomfukuza ndo unamtuma aendelee kukufuata zaidi mpaka mtu mungine anaamua kutoka mkuku ili kuepusha shari 🤣🤣🤣
 
Hizi mambo ni kutafutiana lawama tu

View attachment 2453931
Uyu mbwa alikua anacheza sasa Mzee kakimbia kaona isiwe shida ngoja nipande juu ya gari alafu mweny mbwa ndio Kwanza anachukua video na kumwambia don't run ata Mie ningetimua mbio japo mbwa aoneshi action ya kung'ata mpaka anpanda kwenye gari angesha mvuta.
 
Heh nikajua wapole wanavodema na shingo zao
 
Wasingekuua ila chamoto ungekiona kwasababu wenyeji wako walikua karibu wangewahi kukuokoa[emoji28][emoji28]
 
Heh nikajua wapole wanavodema na shingo zao
Aisee sisi tushawahi kufuga bata nawajua vizuri. Ni wakorofi vibaya mno afu bata anaweza kudindishiana hata na mbuzi. Kwa watu ambao washafuga bata au kuishi karibu na wafuga bata nazani wanafaham ninachoandika.

Ila kama tulivyo binadam kuna bata wengine ni wazembe wazembe ukisogea linatoka nduki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…