Huwa unavaa mavazi ya aina gani pale unapoenda kukutana na mpenzi wako mpya?

any way ntaenda na elfu 50 ya akiba

maana hawa huwa na magonjwa nyemelezi mara kodi, nauli, mama anaumwa, baba kapaliwa na Wali yani mambo kibao..
๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€
 
Mchuchu si anakuja gheto sasa twende wapi?

Track yangu nyeusi na T shirt ya kushindia form six safi safi. Labda uniulize namuandalia nini akifika gheto kwa maana ya mapochopocho na masapta sapta
Kwa nini uvae hizo nguo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ