Huwa unavaa mavazi ya aina gani pale unapoenda kukutana na mpenzi wako mpya?

any way ntaenda na elfu 50 ya akiba

maana hawa huwa na magonjwa nyemelezi mara kodi, nauli, mama anaumwa, baba kapaliwa na Wali yani mambo kibao..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Navaa Dela na pens ndani Ili likitokea mvurugano wa kuagiza na kupokea bidhaa tofaut nianze mbio hapo hapo tutapokutana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shangaziii mie sitakiii.
 
Umenikumbusha mbali Sana,Kuna roommate wangu enzi nasoma alipata boyfriend,so kila akimpa date watoke out dada anakimbilia kkoo kununua nguo mpyaπŸ€£πŸ€£πŸ˜‚kumbe alisahau kuwa mtu mpya na nguo zako zote kwake Ni mpya
πŸ˜‚πŸ˜‚ akili
 
Hebu semaa unavaaje wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈ!! Nina nguo za maana Shougaaangu!!
Hata thijuiiiiπŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…