Huwezi amini lakini ukweli bila NATO, Marekani anaiogopa Sana Urusi

Nakubaliana na wewe Mia kwa Mia.
Na siku zote Russia hua Hana Nia ya Vita na nchi yoyote,shida ni Marekani anataka kwa nguvu kujitanua kuelekea east kwa mgongo wa NATo Sasa Urusi sio wajinga was malengo na mipango yote ya Marekani, na ndii maana wanakua very aggressive.
Katika hali ya kawaida Urusi ni taifa lisilotaka ugomvi na jirani zake,chokochoko ziaanzishwa na Marekani tu.
Mfano nitajie ni nchi gani Europe zinaihitaji Ukraine ijiunge na NATO?
 
ngoja nisome majibu ya warusi wa bonyokwa na waamerika wa uyole[emoji16][emoji16]
Mambo yanayojadiliwa hapa na wadau ndio yanavyojadiliwa kwenye social media na TV zote kubwab kote duniani.
Watu wamegawanyika hivihivi unavyosoma hapa,Sasa wewe kwa uvivu wako wa kusoma social media za dunia na TV kubwa endelea kuleta dharau.
 
nato anajua urusi kushinda vita anahitaji tu kulipua satellite za ku guide missiles na huo uwezo anao. but ujue all big mainstream media ziko owned na western countries na zinatumiwa kama propaganda tools sikiza DW,CNN,BBC,FOX NEWS utaskia tu upande mmoja ukiskiliza RT news ama CGTN utaskia upande wa pili.Having lived in America two years americans number one fear is Russia
rejea hapa
 
Mkuu baadhi ya nchi kama yenu ndio mnaletewa baadhi ya vitu fake ila ukienda hapo Rwanda kifaa kutoka China ni quality, jamaa wanatabaka ww ukitaka hata kiatu cha dola 1 utakioata China na ukitaka kiatu cha dollaer 1000 hichohicho utakipata
Kumbe unaweza kujenga hoja, achana na matusi ni ushamba mkuu
 
ngoja nisome majibu ya warusi wa bonyokwa na waamerika wa uyole
Mambo yanayojadiliwa hapa na wadau ndio yanavyojadiliwa kwenye social media na TV zote kubwab kote duniani.
Watu wamegawanyika hivihivi unavyosoma hapa,Sasa wewe kwa uvivu wako wa kusoma social media za dunia na TV kubwa endelea kuleta dharau.
Halafu kuna watu wanaamini NATO wanaweza kuishurutisha Urusi.
 
Unamwaga nondo zote izi watakuelewa waswahili wewe?

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Huyo mumeo US yuko wapi mkuu, ulisema awapige Ukraine tuone. na kawapiga, haya unasemaje na huyo mumeo US
Siku ya tisa hatuoni chochote zaidi ya vikwazo.
Nimesoma mtandao mmoja kuwa warudi wamejuandaa kwa vikwazo.
Hakafu warusi wanatumua sana physocal money kuliko digital money.
Kingine wana mfumo wao q pisa waliouungsnisha na SISP wa wachina hivyo kuna biashara zitafanyika hata bika SWIFT.
Ngoja tuone kama Russia itafilisika au la.
Russia ikifilisika wazungu watatupelekesha watakavyo atbaki mchina peke ake ambae hatawaweza wazungu.
 
Hapo vp mkuu...mziki mnene..unateseka ukiwa wapi muda huu??
 
Kuna kitu hujakielewa mkuu. sio kwamba marekani hawezi kuingilia hii vita kijeshi big no.J biden na hata putin mwenyewe wameshaweka wazi kuwa marekani akisema aingilie kati kijeshi huu mzozo hiyo ni vita ya tatu ya dunia. na hakuna taifa lililo tayari kwa vita ya tatu ya dunia, siyo Russia wala USA na heshima yote hii unayoiona inatokana na uwepo wa silaha za nyuklia. ipo wazi Incase kutatokea kwa WIII basi silaha za nyuklia ni lazima zitumike na hakuna aliye tayari kwa hili. kwa namna yoyote ile marekani hawezi kuingilia kati hii vita zaidi ya kuweka vikwazo tu na hii haimaanishi kuwa hana uwezo la hasha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi wewe jamaa sasa hivi unajisikiaje maana jamaa kavamia kule na abamiza na huyo wifi yako USA kaufyata. Muwe mnasoma historia ya nchi mbalimbali Urusi ni mahala pengine hasa unapogusa vita na urusi
 
Wewe kafue chupi huko hayo mkaongee huko USA lakini kwa wanaume wa urusi utaishia kupakuliwa
 
Uvyojiosha ndugu yangu wa kwa mpalange hakika sasa hivi utakuwa unaishi kwa taabu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…