Napenda kuwaeleza Hawa mashabiki na wanachama oya oya wa Simba pamoja na viongozi wao kwamba daraja aliloweka yanga kwa sasa na wao bado awajalifikia, bado yanga Wana ubora mkubwa ukilinganisha na Simba!
Ukiangalia ubora wa mchezaji Mmoja Mmoja pamoja na uzoefu kwa vikosi vyote viwili utagundua kwamba Simba bado kikosi chao kina wachezaji wasio na uzoefu wa kutosha kulinganisha na yanga!
Kimbinu na kiufundi kocha gamond ana uwezo wa kufanya chochote anachotaka kulingana na kikosi alichonacho kutegemea na mpinzani anayecheza nae tofauti na Simba ambao kikosi kinachoanza ikifanyika sub tu wanapoteana!
Mpira siku zote ni sayansi na sio ushirikina, ukiwa na kikosi Bora utapata matokeo na sio kutegemea nguvu za waganga wa kienyeji ndio wakupe matokeo!
Simba wanatakiwa wakubali kwamba yanga kawazidi ubora kwa sasa ivyo wawaheshimu na watafute njia Bora za kuwafikia pale walipo na sio kutafuta visingizio vya ovyo Kila siku wanapotandikwa!
Utafungaje goli wakati safu yako ya ushambuliaji ni butu? Mpira utaingiaje golini kwa stahili iyo?
Mnamtegemea atteba ambaye alikuwa mzururaji mzuri uwanjani, chance Moja aliyopata ya 1v1 na diarra ndio pekee akawekwa korokoroni na afande bacca!
Msipokubali ubora wa yanga mtaendelea kufungwa mpaka akili ziwakae sawa!
PIA SOMA
- FT: Simba 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Oktoba 19, 2024