Huwezi Kukwepa Historia Hii na Ukabakia na Historia ya TANU

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
23,526
Reaction score
34,057
Wajenzi Halisi" wa Tanganyika
  • "Harakati hizi za kudai uhuru zimeanza Dar es Salaam Kariakoo Gerezani... na walioanzisha hizi harakati ni wazee wangu."
  • "Mbona hizi historia zimepishana hivi?" (Swali la kijana aliyesoma historia shuleni dhidi ya maelezo ya Mohammed Said).
  • "Mbona mnaweka historia ambayo haiko sawa na ndio tunawasomesha watu wetu? Tutakuwa nchi gani ambayo haina historia, nchi gani haina shujaa?"
  • "Historia unayoandika ni historia ya udini... hapana... Hii katika lugha ya kisomi ni 'field of inquiry.' Ni somo ambalo linataka lifanyiwe utafiti."
  • "Historia kama hii kama kuisema ndio itapotea... Sasa inarejeshwa kuelezwa watu wajue historia TANU ilikuwa vipi."
  • "Kama hawakuiandika ni kuwa sasa basi iandikwe."

View: https://youtu.be/3wtUPB6hgYs?si=IQcau2BQFqf3JSkh
 
Nakuombea ufe tu unatuchosha na uzee wako kama wasira .Haya yanayotokea na yaliyotokea October 29 sijui we ni mdini
Fbn,
Tunaweza tukajadili MO 29 hapana haja ya kunikashifu lete hoja tufungue uzi wake.

Hapana sababu ya kughadhibika na kunishambulia.
 
Living in the past while ignoring the present....tungeongelea modern history ya MO 29 hayo tanu sijui nini ndio yaliyotufikisha hapa. Katiba mpya for the people
Cannabis,
Tunaweza kujadili ya hivi sasa wala si jambo lisilowezekana.

Fungua uzi.
 
Nakuombea ufe tu unatuchosha na uzee wako kama wasira .Haya yanayotokea na yaliyotokea October 29 sijui we ni mdini
Fbn,
Kufa nitakufa wala hili si la mjadala.
Yaliyotokea tunaweza tukajadili.

Fungua uzi.
 
Fbn,
Kufa nitakufa wala hili si la mjadala.
Yaliyotokea tunaweza tukajadili.

Fungua uzi.
Je unakubaliana na yaliyotokea Oktoba 29,yanatokana na Mh.Samia kutokubalika kwa Watanzania bara na ndani ya CCM au yanatokana na kasoro nyingi katika mfumo wa uchaguzi.
Naomba kupata maoni yako kuhusiana na hizo hoja mbili.
 
Wajenzi Halisi" wa Tanganyika
  • "Harakati hizi za kudai uhuru zimeanza Dar es Salaam Kariakoo Gerezani... na walioanzisha hizi harakati ni wazee wangu."
  • "Mbona hizi historia zimepishana hivi?" (Swali la kijana aliyesoma historia shuleni dhidi ya maelezo ya Mohammed Said).
  • "Mbona mnaweka historia ambayo haiko sawa na ndio tunawasomesha watu wetu? Tutakuwa nchi gani ambayo haina historia, nchi gani haina shujaa?"
  • "Historia unayoandika ni historia ya udini... hapana... Hii katika lugha ya kisomi ni 'field of inquiry.' Ni somo ambalo linataka lifanyiwe utafiti."
  • "Historia kama hii kama kuisema ndio itapotea... Sasa inarejeshwa kuelezwa watu wajue historia TANU ilikuwa vipi."
  • "Kama hawakuiandika ni kuwa sasa basi iandikwe."

View: https://youtu.be/3wtUPB6hgYs?si=IQcau2BQFqf3JSkh

Uhuru upi wazee wako waliouleta??
 
Back
Top Bottom