secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Nshakufahamu vizuri.Ushanifahamu
Nshakufahamu vizuri.Ushanifahamu
Wajenzi Halisi" wa Tanganyika
- "Harakati hizi za kudai uhuru zimeanza Dar es Salaam Kariakoo Gerezani... na walioanzisha hizi harakati ni wazee wangu."
- "Mbona hizi historia zimepishana hivi?" (Swali la kijana aliyesoma historia shuleni dhidi ya maelezo ya Mohammed Said).
- "Mbona mnaweka historia ambayo haiko sawa na ndio tunawasomesha watu wetu? Tutakuwa nchi gani ambayo haina historia, nchi gani haina shujaa?"
- "Historia unayoandika ni historia ya udini... hapana... Hii katika lugha ya kisomi ni 'field of inquiry.' Ni somo ambalo linataka lifanyiwe utafiti."
- "Historia kama hii kama kuisema ndio itapotea... Sasa inarejeshwa kuelezwa watu wajue historia TANU ilikuwa vipi."
- "Kama hawakuiandika ni kuwa sasa basi iandikwe."
View: https://youtu.be/3wtUPB6hgYs?si=IQcau2BQFqf3JSkh
😁😁😁😁Nakuombea ufe tu unatuchosha na uzee wako kama wasira .Haya yanayotokea na yaliyotokea October 29 sijui we ni mdini
Wajenzi Halisi" wa Tanganyika
- "Harakati hizi za kudai uhuru zimeanza Dar es Salaam Kariakoo Gerezani... na walioanzisha hizi harakati ni wazee wangu."
- "Mbona hizi historia zimepishana hivi?" (Swali la kijana aliyesoma historia shuleni dhidi ya maelezo ya Mohammed Said).
- "Mbona mnaweka historia ambayo haiko sawa na ndio tunawasomesha watu wetu? Tutakuwa nchi gani ambayo haina historia, nchi gani haina shujaa?"
- "Historia unayoandika ni historia ya udini... hapana... Hii katika lugha ya kisomi ni 'field of inquiry.' Ni somo ambalo linataka lifanyiwe utafiti."
- "Historia kama hii kama kuisema ndio itapotea... Sasa inarejeshwa kuelezwa watu wajue historia TANU ilikuwa vipi."
- "Kama hawakuiandika ni kuwa sasa basi iandikwe."
View: https://youtu.be/3wtUPB6hgYs?si=IQcau2BQFqf3JSkh
Sykes!🤣🤣
Yaani ukilala, ukiamka, "Sykes"🤣🤣
Imetosha!😂
Manipulating, distorting and selectively presenting facts to change how people perceive reality can never work if people are intelligent and do their own researches.
Hakika.Manipulating, distorting and selectively presenting facts to change how people perceive reality can never work if people are intelligent and do their own researches.
Spinning and twisting the truth is same as scamming.
Cannabis,
Labda nikuulize kwa nini unataka maoni yangu.
Sikiliza video hii nazungumza yaliyotokea October 29:
View: https://youtu.be/B68BFgj9rXI?si=a4D7bvwLX3J4BeIw
Vishnu,Historia uliyoichimba ni nzuri na si ajabu ni ya kweli ila kuifanya ndio iwe ya kitaifa usitegemee hilo kutokea ikiwa unataka iwe kama ulivyoandika.
Umeegemea sana kuitukuza dini na sio utanganyika. Laiti kwenye historia ya sasa kila pahala Nyerere angetajwa kwa dini yake ili kuutukuza ukatoliki na hii pia isingelikua sawa.
Pamoja na dini zetu bado tunabaki na utanganyika wetu ambao inapaswa tujivunie zaidi ya hizi dini za wZageni.
Digaller,Kuna muda nafikiria kukubaliana na hoja zako ila kuna muda naona kama hoja zako hazina mashiko.
Nikikubaliana na hoja zako manake natakiwa kuwasaliti wapigania uhuru mbalimbali Nchini kote ambao walitoa uhai wao kwaajili ya Taifa letu.
Kupatikana kwa uhuru ulikuwa ni mchakato wa muda mrefu sana na mapambano ya muda mrefu sana, kusema kwamba wazee wa kariakoo ndio waliopigania uhuru hapo napata shaka na uelewa wako kwenye hoja hii.
Hatuwezi kufifisha au kudogosha mapambano ambayo wazee wetu walipambana dhidi ya wakoloni, Tukumbuke kuwa hata Mirambo, Isike, Mkwawa, Mangi Meri, Kinjekitile Ngwale, Songea Mbano, Abushiri bin Makunganya,Machemba na wengineo walichokuwa wanapambana ni kutaka uhuru wa jamii zao na Taifa kwa ujumla.
Yes wazee wa kariakoo wana mchango wao kwenye kupambania uhuru, Bibi titi, mzee Kleist, Aziz Ally, Mwapachu na wengineo.
Hata Abraham Lincoln hakupambana peke yake kwenye kuiunganisha marekani, alipambana akiwa na watu wengi ila credit kubwa sana zinaenda kwake likewise kwa Mwalimu Nyerere, tunatambua mchango wa watanganyika mbalimbali na wasio watanganyika walipambana kwenye mapambano ya kudai uhuru wa Nchi yetu
Kwa mzee wangu Mohamed Said nadhani maandiko na tafiti zako zingejikita kutupa baadhi ya watu waliosahaulika as wapigania uhuru wetu na uwa-address kama wapigania uhuru wa tanzania bila kuweka imani zao za kidini.
Hao wote waliopigania uhuru wa Nchi yetu hawakufanya hivyo kwaajili ya dini bali walifanya ili kuondoa udhalimu wa kikoloni..
Kumpachika mtu mazuri yake au mabaya yake kwa kuangalia dini yake hapo ndipo unapokosea mzee wangu.
Hao wazee wako walipambana kwaajili ya Tanganyika na sio kwaajili ya imani zao.
Eli...😁😁😁
Umeona eeh, kumbe unamjua😁
Huyu mzee nishamwambiaga kuwa hakuna chochote alicho nacho cha maana zaidi ya itikadi ya dini yake iliyovaa utashi na logic yake sasa anakaa kuhimiza udini na uongo dhidi ya utanganyika ili tu afurashishe nafsi yake iliotekwa na dini yake ambaye babu yake alilazimishwa tena kwa mboko
Mini ...Mzee hizo mada zako hazisaidii Taifa kwasasa. Lete mada amabazo zitwasaidia Gen Z kuondokana na tatizo la ajira, changamoto za mfumuko wa bei, kuimarika kwa mifumo ya utoaji haki na ustawi wa haki za Binadamu, matumizi mabaya ya madaraka na wizi wa fedha za umma.
Hizi ndiyo mada za kuliponya Taifa na kujikwamua dhidi ya umasikini. Achana na hizo ngonjera zako ambazo ni outdated na hazina tija kwasasa
Hapana. Ila kuna kanuni inahimiza matumizi sahihi ya kalamu ya mwandishi katika kuleta mabadiliko chanya kwenye jamii. Hii ni pamoja na kuakisi mahitaji ya jamii kwa wakati husika.Mini ...
JF kuna masharti katika kuandika uzi?
Mikoa mingine huku Tanganyika hawakuwahi kuwa na hizo harakati?....Harakati hizi za kudai uhuru zimeanza Dar es Salaam Kariakoo Gerezani... na walioanzisha hizi harakati ni wazee wangu."
Dini zenyewe zote tumeletewa na firauni!🚮😁😁😁
Umeona eeh, kumbe unamjua😁
Huyu mzee nishamwambiaga kuwa hakuna chochote alicho nacho cha maana zaidi ya itikadi ya dini yake iliyovaa utashi na logic yake sasa anakaa kuhimiza udini na uongo dhidi ya utanganyika ili tu afurashishe nafsi yake iliotekwa na dini yake ambaye babu yake alilazimishwa tena kwa mboko
Uislam, ukristo wote ni ukoloni.Vishnu,
Matukio ndiyo hivyo yaliyotokea.
Uislamu na Waislamu ilikuwa sehemu ya mapambano dhidi ya ukoloni.
Mimi...Hapana. Ila kuna kanuni inahimiza matumizi sahihi ya kalamu ya mwandishi katika kuleta mabadiliko chanya kwenye jamii. Hii ni pamoja na kuakisi mahitaji ya jamii kwa wakati husika.
Ni matarajio yetu kuona watu wenye uzoefu kiumri na maarifa kuja na maandiko yatakayosaidia katika kuikomboa jamii kwa matatizo yanayoikabili. Ukitupa rejea za Great Depression, mapinduzi ya viwanda huko ulaya, tawala za kinazi, mikakati ya kufufua uchumi iliyotumika kuzinusuru nchi za ulaya baada ya vita kuu za Dunia na namna tunavyoweza kujifunza kujenga uchumi wetu na mambo kadhaa kama hayo.
Hizo mada za kupata uhuru ni irrelevant kwakuwa tayari uhuru tunao ila tuna changamoto kadhaa katika Taifa ambazo zinatakiwa kuwa addressed.