Huwezi Kukwepa Historia Hii na Ukabakia na Historia ya TANU

Huwezi Kukwepa Historia Hii na Ukabakia na Historia ya TANU

Ninachoshukuru ni kwamba Nyerere alimshinda huyo Sykes wako kwa kura halali hapo ukumbi wa Anatoglou. Hapo ndipo pa muhimu mengine ni uongo.
 
Uislam, ukristo wote ni ukoloni.

Unasemaje ulipambana na kuupinga ukoloni wakati unakumbatia na kutukuza the results "dini" of colonialism?🚮
Real...
Kila mtu ana fikra zake.
Fikra zipi?
Dini zote zimeletwa na hawa wakoloni, slave traders waliotukondishen kuamini imani zao.

Dini zote ni matokeo ya ukoloni. Sasa unasemaje umepigania uhuru wakati wewe bado ni mtumwa ulie kumbatia na kutukuza matokeo ya ukoloni?🚮
 
Nakuombea ufe tu unatuchosha na uzee wako kama wasira .Haya yanayotokea na yaliyotokea October 29 sijui we ni mdini
Huyo ni mtaaluma kosa lake liko wapi? Ili upinge njoo na hypothesis yako fanya tafiti andika kitabu au makala… Maneno matupu si chochote
 
Back
Top Bottom