Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Changamka babako kabla sijachukiaNgoja nikutafutie hapa.
Changamka babako kabla sijachukiaNgoja nikutafutie hapa.
Hahaha 😂. Haya.Changamka babako kabla sijachukia
Wajenzi Halisi" wa Tanganyika
- "Harakati hizi za kudai uhuru zimeanza Dar es Salaam Kariakoo Gerezani... na walioanzisha hizi harakati ni wazee wangu."
- "Mbona hizi historia zimepishana hivi?" (Swali la kijana aliyesoma historia shuleni dhidi ya maelezo ya Mohammed Said).
- "Mbona mnaweka historia ambayo haiko sawa na ndio tunawasomesha watu wetu? Tutakuwa nchi gani ambayo haina historia, nchi gani haina shujaa?"
- "Historia unayoandika ni historia ya udini... hapana... Hii katika lugha ya kisomi ni 'field of inquiry.' Ni somo ambalo linataka lifanyiwe utafiti."
- "Historia kama hii kama kuisema ndio itapotea... Sasa inarejeshwa kuelezwa watu wajue historia TANU ilikuwa vipi."
- "Kama hawakuiandika ni kuwa sasa basi iandikwe."
View: https://youtu.be/3wtUPB6hgYs?si=IQcau2BQFqf3JSkh
Yesu kristu ya kandaaa bongoooo MaaaaanHahaha 😂. Haya.
Fayaaa 🔥 bin fayaaa 🔥.Yesu kristu ya kandaaa bongoooo Maaaaan
Na utakufa kifo kibaya sana.Kwa chuki za kuona historia.Fbn,
Kufa nitakufa wala hili si la mjadala.
Yaliyotokea tunaweza tukajadili.
Fungua uzi.
Wajenzi Halisi" wa Tanganyika
- "Harakati hizi za kudai uhuru zimeanza Dar es Salaam Kariakoo Gerezani... na walioanzisha hizi harakati ni wazee wangu."
- "Mbona hizi historia zimepishana hivi?" (Swali la kijana aliyesoma historia shuleni dhidi ya maelezo ya Mohammed Said).
- "Mbona mnaweka historia ambayo haiko sawa na ndio tunawasomesha watu wetu? Tutakuwa nchi gani ambayo haina historia, nchi gani haina shujaa?"
- "Historia unayoandika ni historia ya udini... hapana... Hii katika lugha ya kisomi ni 'field of inquiry.' Ni somo ambalo linataka lifanyiwe utafiti."
- "Historia kama hii kama kuisema ndio itapotea... Sasa inarejeshwa kuelezwa watu wajue historia TANU ilikuwa vipi."
- "Kama hawakuiandika ni kuwa sasa basi iandikwe."
View: https://youtu.be/3wtUPB6hgYs?si=IQcau2BQFqf3JSkh
Usiniombeee mm sio FPCTFayaaa 🔥 bin fayaaa 🔥.
Econo...Je unakubaliana na yaliyotokea Oktoba 29,yanatokana na Mh.Samia kutokubalika kwa Watanzania bara na ndani ya CCM au yanatokana na kasoro nyingi katika mfumo wa uchaguzi.
Naomba kupata maoni yako kuhusiana na hizo hoja mbili.
Monster,View attachment 3641140View attachment 3641141View attachment 3641142View attachment 3641143
Have you ever recognized these👆🏾 people who spearheaded our independence struggles? If not then explain your reasons.
Cannabis,Nimefungua hoja, nikifungua uzi unaweza usiuone au ukaukwepa, ndugu Econometrician ameanzisha swali la kwanza, tupe maoni yako
Then fanya research zaidi ili ufahamu usiyoyafahamu au usiwe misled. Vipi kuhusu Cardinal Rugambwa, umewahi kuandika habari zake?Monster,
Hao uliowataja wote nawafahamu na nimewataja katika kitabu cha Abdul Sykes ila Chief Paulo Kajiru huyu ndiyo leo namsikia.
Paul Bomani na Chief Thomas Marealle nimewasoma katika Nyaraka za Sykes.
Monster,Then fanya research zaidi ili ufahamu usiyoyafahamu au usiwe misled. Vipi kuhusu Cardinal Rugambwa, umewahi kuandika habari zake?
Yeah, his contribution.Monster,
Kuandika habari zake katika kupigania uhuru wa Tanganyika?
😂Usiniombeee mm sio FPCT
Mbamizwa leo umedamka unaenda wapi??
Ndo namalizia kumbamiza mama bao la asubuhi.Mbamizwa leo umedamka unaenda wapi??
UshanifahamuNdo namalizia kumbamiza mama bao la asubuhi.