Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,526
- 34,057
Fbn,Nakuombea ufe tu unatuchosha na uzee wako kama wasira .Haya yanayotokea na yaliyotokea October 29 sijui we ni mdini
Cannabis,Living in the past while ignoring the present....tungeongelea modern history ya MO 29 hayo tanu sijui nini ndio yaliyotufikisha hapa. Katiba mpya for the people
Fbn,Nakuombea ufe tu unatuchosha na uzee wako kama wasira .Haya yanayotokea na yaliyotokea October 29 sijui we ni mdini
Je unakubaliana na yaliyotokea Oktoba 29,yanatokana na Mh.Samia kutokubalika kwa Watanzania bara na ndani ya CCM au yanatokana na kasoro nyingi katika mfumo wa uchaguzi.Fbn,
Kufa nitakufa wala hili si la mjadala.
Yaliyotokea tunaweza tukajadili.
Fungua uzi.
Mzee mwenzangu huyu. Mwanahistoria nguli hapa nchini 🔥Shikamoo babu wa secretarybird
Nawe ni kubazi dogo sioMzee mwenzangu huyu. Mwanahistoria nguli hapa nchini 🔥
Nimefungua hoja, nikifungua uzi unaweza usiuone au ukaukwepa, ndugu Econometrician ameanzisha swali la kwanza, tupe maoni yakoFbn,
Kufa nitakufa wala hili si la mjadala.
Yaliyotokea tunaweza tukajadili.
Fungua uzi.
Mi Roman 🔥Nawe ni kubazi dogo sio
Bwana aaah awe nanyi,,Mi Roman 🔥
Awe rohoni mwako/awe pia nawe 😎.Bwana aaah awe nanyi,,
Jesuuu odiiiili ndo alikupeleka pale kigango cha narumu kusali kwao na min -meAwe rohoni mwako/awe pia nawe 😎.
Mimi ni padre ujue. OHOOO!Jesuuu odiiiili ndo alikupeleka pale kigango cha narumu kusali kwao na min -me
Audio dg vip lkn hujanitumia Yesu kristu by Kanda bongo aseeh namis hiki kibaoMimi ni padre ujue. OHOOO!
Uhuru upi wazee wako waliouleta??Wajenzi Halisi" wa Tanganyika
- "Harakati hizi za kudai uhuru zimeanza Dar es Salaam Kariakoo Gerezani... na walioanzisha hizi harakati ni wazee wangu."
- "Mbona hizi historia zimepishana hivi?" (Swali la kijana aliyesoma historia shuleni dhidi ya maelezo ya Mohammed Said).
- "Mbona mnaweka historia ambayo haiko sawa na ndio tunawasomesha watu wetu? Tutakuwa nchi gani ambayo haina historia, nchi gani haina shujaa?"
- "Historia unayoandika ni historia ya udini... hapana... Hii katika lugha ya kisomi ni 'field of inquiry.' Ni somo ambalo linataka lifanyiwe utafiti."
- "Historia kama hii kama kuisema ndio itapotea... Sasa inarejeshwa kuelezwa watu wajue historia TANU ilikuwa vipi."
- "Kama hawakuiandika ni kuwa sasa basi iandikwe."
View: https://youtu.be/3wtUPB6hgYs?si=IQcau2BQFqf3JSkh
Ngoja nikutafutie hapa.Audio dg vip lkn hujanitumia Yesu kristu by Kanda bongo aseeh namis hiki kibao
Uhuru wa kuvunja katiba bila uwajibikajiUhuru upi wazee wako waliouleta??