Huwezi Kukwepa Historia Hii na Ukabakia na Historia ya TANU

Kwahiyo wazee wako wa Bara walipigania Uhuru, halafu wazee wako wa Zanzibar wakaporwa Uhuru?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Historia haijafichwa. Ni kweli Nyerere alikuta vuguvugu la kudai Uhuru tayari limeanza hapo wa Dar es salaam. Kilichotokea ni Nyerere kuleta fikra mpya, ushawishi, usomi na kupeleka mbele gurudumu hilo la kudai uhuru na hatimaye uhuru ukapatikana.
Nyerere alikuja pishana fikra na wenyeji wake "Wazee wa mtoa mada" kwenye baadhi ya mambo ya kuendesha harakati zenyewe na badae taifa huru; hasa udini, kitu ambacho Nyerere hakuwa maono nacho.

Wazee hao walitaka Udini/Uislamu uendelezwe na uwe ajenda kitaifa; Nyerere aliikataa Udini/Uislamu kuwa ajenda ya kitaifa; kusema Nyerere aliwaficha wenzake, Nyerere hakuwapa nafasi ni fitna tuu.
 

Have you ever recognized theseπŸ‘†πŸΎ people who spearheaded our independence struggles? If not then explain your reasons.
 
Je unakubaliana na yaliyotokea Oktoba 29,yanatokana na Mh.Samia kutokubalika kwa Watanzania bara na ndani ya CCM au yanatokana na kasoro nyingi katika mfumo wa uchaguzi.
Naomba kupata maoni yako kuhusiana na hizo hoja mbili.
Econo...
Uzi huu ni wa historia ya TANU.
Ikiwa unataka tujadili October 29 fungua uzi mwingine tutajadili In Shaa Allah.
 
Monster,
Hao uliowataja wote nawafahamu na nimewataja katika kitabu cha Abdul Sykes ila Chief Paulo Kajiru huyu ndiyo leo namsikia.

Paul Bomani na Chief Thomas Marealle nimewasoma katika Nyaraka za Sykes.
Then fanya research zaidi ili ufahamu usiyoyafahamu au usiwe misled. Vipi kuhusu Cardinal Rugambwa, umewahi kuandika habari zake?
 
Then fanya research zaidi ili ufahamu usiyoyafahamu au usiwe misled. Vipi kuhusu Cardinal Rugambwa, umewahi kuandika habari zake?
Monster,
Kuandika habari zake katika kupigania uhuru wa Tanganyika?
 
Historia uliyoichimba ni nzuri na si ajabu ni ya kweli ila kuifanya ndio iwe ya kitaifa usitegemee hilo kutokea ikiwa unataka iwe kama ulivyoandika.

Umeegemea sana kuitukuza dini na sio utanganyika. Laiti kwenye historia ya sasa kila pahala Nyerere angetajwa kwa dini yake ili kuutukuza ukatoliki na hii pia isingelikua sawa.

Pamoja na dini zetu bado tunabaki na utanganyika wetu ambao inapaswa tujivunie zaidi ya hizi dini za wageni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…