Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,526
- 34,057
- Thread starter
-
- #61
Real...Uislam, ukristo wote ni ukoloni.
Unasemaje ulipambana na kuupinga ukoloni wakati unakumbatia na kutukuza the results "dini" of colonialism?🚮
Proved,Mikoa mingine huku Tanganyika hawakuwahi kuwa na hizo harakati?....
Hili liweke sawa...
Uislam, ukristo wote ni ukoloni.
Unasemaje ulipambana na kuupinga ukoloni wakati unakumbatia na kutukuza the results "dini" of colonialism?🚮
Fikra zipi?Real...
Kila mtu ana fikra zake.
Economist,Ninachoshukuru ni kwamba Nyerere alimshinda huyo Sykes wako kwa kura halali hapo ukumbi wa Anatoglou. Hapo ndipo pa muhimu mengine ni uongo.
Huyo ni mtaaluma kosa lake liko wapi? Ili upinge njoo na hypothesis yako fanya tafiti andika kitabu au makala… Maneno matupu si chochoteNakuombea ufe tu unatuchosha na uzee wako kama wasira .Haya yanayotokea na yaliyotokea October 29 sijui we ni mdini