Huwezi kumiliki/ kumilikishwa/ kuendesha LC 300 kama hutumii nguvu za giza

Kuchimba madini bila ushirikina hata 2M haupati.
Hivyo mtoa mada yuko sahihi kwa kiwango kikubwa.

Kuna kundi dogo mno miongoni mwa waliofanikiwa kumiliki zaidi ya Tsh 400M pengine chini ya 10% ambalo halina hisa kwa waganga.
Aende geita na kahama aone kwa macho yake,akitoka hapo aende kwa wavuvi ajionee,wanafanya ushirikina waziwazi
 
Vyovyote vile milioni 500 ni hela nyingi kwa Maisha ya Tanzania,
 
hapo sawa.
maana mimi nishaapa siwezi aga dunia bila kuliburuza hilo kwakua nishakua na watu ambao nawaona kabisa hustles zao mpaka wanazinunua hizo na sio wanga wala majambazi
Pambana mkuu nina maana kuandika hivi,mwakani lazima niliburuze tu bila kwenda jwa waganga japo jasho litanitoka kweli kweli
 
"Mwanposa atabaki na wale wateule wachache wanaotaka kwenda mbinguni,na sio wapenda miujiza"


Bonge moja la point

"Utafuteni kwanza ufalme wa mbinguni na Hayo Mengine yote mtazidishiwa"

Wengi wanafanya viseversa ndio maana ni kipengele kutoboa.
 
Kwa niaba ya wanajf wapenda story, tunaomba utuandalie uzi special wa story yako mkuu
 
Inawezekana hakuna nalolijua kweli Mkuu ila hakuna ulichopewa hapo zaidi ya kudanganywa kwa sababu ya Ujinga wako ukiuliza mafanikio yenyewe chenga tu...
Maisha ni kupambana hao wajinga hakuna kitu wanawapa zaidi ya masharti ya kijinga jinga kama sasa unasimulia kabisa eti kichaa kufa hela zikapungua...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…