Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzuri ni msimamo wako ....sio wa kwangu wala wengine....so upo sawa!Vyovyote vile milioni 500 ni hela nyingi kwa Maisha ya Tanzania,
Kila nyumba ya aWahindi nao wachawi tu,nimefanya nao kazi,bora ungesema wazungu
Sio wewe una B ndani?M400 ni tuhela twa mboga. Watu wana B7 ndani.
Hapana mkuu.Sio wewe una B ndani?
Wewe Mkubwa endelea kuomba utajiri kwa mtu masikini kama sio udumavu ni nini?Wewe bado mtoto.
🤣🤣 Mapema tuKaka kama crown nayo utahitaji uchawi, you need to rethink your life 😂😂😂😂
Sijui kwanini kuna baadhi ya watu wanawaza ujinga ujinga tu, kila kitu unaweza kumiliki bila maagano wala ndumbaLC 300 and alike is not for everyone.
Sugua sana goti msikituni na makanisani, omba sana Mungu utaishia kwenye prado mchaga.
Huku kwa ma LC 300 ni dunia nyingine, dunia ya maagano, lazima uwe na nguvu za giza sio kulinunua tu hata kuliendesha, hakuna mjinga atakubabidhi milioni 400 uzurure nayo mitaani kwenye kila aina ya risk.
Hakuna washirikina kama madereva wa serikali na mabasi ya mikoani plus malori, hizo kazi huzipata kwa kuroga na kuhonga sana, mjinga nani ajukabidhi na milioni upige nayo misele.
Tanzania ukichukua fomu tu ugombee ubunge watakuja wazee wakulazishe kukupa hirizi au wakufanyie kisomo.
Ikulu ya Magogoni kila siku ni ubani udi na madawa yanafukizwa tu.
Ukija kwa wamiliki the same, Mungu wetu kuna limit ya mafanikio ametuwekea sisi waafrica, kuna level tukifika huwa tunamkufuru, ndio maana misikitini na makanisani wale waumini wa kweli wanamaisha ya chini au ya kawaida sana, wale matajiri ukiwafuatilia ndio wamiliki wa majini, washirikina wakubwa.
Waafrica ni wanafiki sana, bado hatujaacha dini zetu za asili, kuanzia ijumaa mpaka jumapili tutaenda misikitini na nakanisani, tukitoka hapo tunapishana kwa waganga.
Asilimia kubwa tuko hivyo.
Tuendelee kuendesha crown tu ili tufike mbinguni.
Mimi binafsi sijawahi kwenda kwa mganga ila nimefanya kazi na watu ni washirikina hatari na nusu,Na yanapanda vyeo tu wanachodekiver hukioni.
Africa tukifika maendeleo kama ya ulaya makanisa ya kiroho ya akina mwamposa an a like yatafutika,tutabaki na yale madhehebu yetu makuu,Kuna watu wanajifanya kuombewa wakishafanikiwa huwaoni tena kanisani,
Pata picha unaamka asubuhi maji bombani hayakatiki,umeme haukatiki,ada ya watoto haisumbui,wakimaliza masomo wanaoata ajira,ukiumwa una uwezo wa kujitibia Agha khan,unadrive gari kalina una nyumba yako ya kuishi,??Mwanposa atabaki na wale wateule wachache wanaotaka kwenda mbinguni,na sio wapenda miujiza
It sad unawaza uganga kupata mafanikio to this day, ambu rudi tena kitaa
Halaf ikawajeAmenikumbusha familia moja hivi miaka ya nyuma kijana wao alipambana akanunua gari mbili za maana ndani ya mwaka mmoja na akajenga nyumba. Mwaka uliofuata dada katika familia hiyo akaugua, ile familia ikamuweka kikao yule kijana na kumwambia dada yako akifa utamla nyama mpaka ummalize.
Halaf ikawaje
Za kuamini ili ufanikiwe lazma utumie miujiza na ugangaImani potofu ni zipi?
HUo ndio uafrica sasa,Dada hakufa, kijana alimpambania dada yake licha ya ndugu na wazazi wake kumzuia hata kutumia pesa zake kumtibu (ziliitwa pesa za kifreemason). Wao waliamini anataka kumtoa kafara dada yake maana ndio dada na kaka waliokuwa wameshibana zaidi katika familia.
Katika familia za kimaskini, ukifanikiwa kuishika pesa nyingi, omba sana asife mtu kwenye familia yenu.
Hiyo ndio nature ya waafrika mkuuSijui kwanini kuna baadhi ya watu wanawaza ujinga ujinga tu, kila kitu unaweza kumiliki bila maagano wala ndumba
Ni uamuzi wako, bidii na kujituma kwako nakumtanguliza Mungu mbele
Vingine vyote ni fikra zako tu