Huwezi Kupata Kamwe Picha Kama Hii kutoka CHADEMA ya Stephen Wasira Akisalimiana Na Protase Kardinali Rugambwa hii Leo.

Ndugu zangu Watanzania,

Ukiwa na heshima na kuheshimika ni jambo la kawaida kukutana na kukutanishwa na watu wenye heshima kubwa katika jamii. Ni kawaida kwa mtu anayeheshimika kuona akifanya mazungumzo na majadiliano na watu wenye heshima kubwa .

Ni kawaida kwa chama kinachoheshimika kama CCM kuona viongozi mbalimbali na katika ngazi mbalimbali wakifanya mazungumzo na viongozi wenye heshima na kuheshimika katika jamii kama vile watumishi wa Mungu na viongozi wa Dini.

CCM imekuwa ikifanya mazungumzo na viongozi mbalimbali wa Dini na kupata ushirikiano wa kutosha na mzuri .kwa sababu hata viongozi wa Dini wanatambua mchango mkubwa wa CCM katika Amani na utulivu wa Taifa letu. Wanajua ni CCM pekee iwezayo kuiongoza nchi kwa mafanikio makubwa.

Wanajua ni CCM pekee ndio chama kilichobeba matumaini ya mamilioni kwa mamilioni ya watanzania na ni chama chenye uwezo na dhamira njema na Taifa hili. Na chama chenye uwezo wa kuwaongoza watanzania wote kwa usawa na haki pasipo ubaguzi wa aina yoyote ile na kwa misingi ya aina yoyote ile. Ndio maana viongozi wa Dini wamekuwa na furaha na imani kubwa na CCM na kuwaombea viongozi wake maisha marefu yenye Heri Baraka.

Kwa sababu wanajua ni CCM pekee iwezayo kutunza na kuendeleza na kuifanya Tanzania kuendelea kuwa kisiwa cha Amani na utulivu na kimbilio la wanyonge. Wanajua CCM ndio Bima ya Maisha ya watanzania na yenye uwezo wa kuleta matumaini kwa maisha ya watanzania.

Sasa vyama kama CHADEMA haviwezi kupata ushirikiano kutoka kwa watu wenye kuheshimika na wenye kujitambua. Kwa sababu ya maneno machafu ,ya hivyo , uchochezi na kibaguzi ambayo yamekuwa yakitoka katika vinywa vya viongozi wake katika ngazi mbalimbali. Kama ambavyo tumekuwa tukishuhudia lissu akitoa lugha za ubaguzi ,kutweza na kumdhalilisha Rais wetu kwa chuki binafsi tu.

Kwa hakika CCM itaendelea kuongoza Taifa letu mpaka mwisho wa Dunia. Kwa sababu CCM ni mpango wa Mungu Mwenyewe.

Embu endelea kusoma hapa chini
👎WASIRA AKUTANA NA PROTASE KARDINALI RUGAMBWA.

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amekutana na kufanya mazungumzo na Muadhama Kadinali Protase Rugambwa katika Jimbo Kuu Katoliki la Tabora.

Wasira amekutana na Protase Kardinali Rugambwa. leo Aprili 16, 2025 katika Jimbo Kuu Katoliki Tabora akiwa katika ziara ya kukagua uhai wa Chama na utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020-2025 mkoani Tabora.

Katika mazungumzo yao viongozi hao wamejadili mambo mbalimbali kuhusu umuhimu wa kudumisha amani na ustawi wa Tanzania.

Aidha, baada ya mazungumzo yao Wasira ametembelea Shule ya Sekondari ya St Marrys (Mihayo) iliyopo mjini Tabora.

Shule ya Sekondari ya St. Mary's imebeba historia kubwa kwani ndiyo Shule ya kwanza ambayo Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alifundisha kwa miaka mitatu.View attachment 3306466

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hujawahi kumsikiliza Padre Kitima? Maoni yake yana tofauti gani na ya Lissu? Umeshapitia waraka mbalimbali zinazotolewa na kanisa katoliki? Au na wewe hujameza vidonge leo?
 
Uchaguzi upo palepale na utafanyika kama ilivyopangwa .
Sasa mbona mnahaha kuomna msaada kwa maporiccm yenu? na bado mziki ndo kwaanza haujaanza bado...makoromeo yenu yatakauka mate kufikia October.
 
No reforms no election. Majamaa yameanza kuwasogelea watu wa dini ili pasaka yasile za uso. Waraka upo pale pale
 
Hujawahi kumsikiliza Padre Kitima? Maoni yake yana tofauti gani na ya Lissu? Umeshapitia waraka mbalimbali zinazotolewa na kanisa katoliki? Au na wewe hujameza vidonge leo?
Soma andiko uelewa vizuri na siyo kukurupuka
 
Kweli ccm imesheheni wajinga wanao hubiri Amani lakini wanaichukia HAKI hadharani
CCM ni chama kinacho ongoza kwa haki na kutenda haki kwa watu wote bila ubaguzi wa aina yoyote ile. Ndio maana kimeendelea kuungwa mkono na watanzania wote.
 
No reforms no election. Majamaa yameanza kuwasogelea watu wa dini ili pasaka yasile za uso. Waraka upo pale pale
Uchaguzi utafanyika na watanzania watashiriki kuchagua viongozi wao . Ambapo ni CCM pekee iliyo na uwezo wa kuwapatia watanzania viongozi wenye uchungu na maisha yao na wenye uwezo wa kuwaletea maendeleo watanzania.
 
Kuna mataqo kwanza. No reforms no election. Kaa kwa kutulia
 
Sasa mbona mnahaha kuomna msaada kwa maporiccm yenu? na bado mziki ndo kwaanza haujaanza bado...makoromeo yenu yatakauka mate kufikia October.
Kazi ya jeshi la polisi ni kudumisha amani na utulivu wa Taifa letu. Kwa hiyo ukileta vurugu na kuvunja sheria ni lazima uwajibishwe kwa kujibu wa sheria.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Ukiwa na heshima na kuheshimika ni jambo la kawaida kukutana na kukutanishwa na watu wenye heshima kubwa katika jamii. Ni kawaida kwa mtu anayeheshimika kuona akifanya mazungumzo na majadiliano na watu wenye heshima kubwa .

Ni kawaida kwa chama kinachoheshimika kama CCM kuona viongozi mbalimbali na katika ngazi mbalimbali wakifanya mazungumzo na viongozi wenye heshima na kuheshimika katika jamii kama vile watumishi wa Mungu na viongozi wa Dini.

CCM imekuwa ikifanya mazungumzo na viongozi mbalimbali wa Dini na kupata ushirikiano wa kutosha na mzuri .kwa sababu hata viongozi wa Dini wanatambua mchango mkubwa wa CCM katika Amani na utulivu wa Taifa letu. Wanajua ni CCM pekee iwezayo kuiongoza nchi yetu kwa mafanikio makubwa.

Wanajua ni CCM pekee ndio chama kilichobeba matumaini ya mamilioni kwa mamilioni ya watanzania na ni chama chenye uwezo na dhamira njema na Taifa hili. Na chama chenye uwezo wa kuwaongoza watanzania wote kwa usawa na haki pasipo ubaguzi wa aina yoyote ile na kwa misingi ya aina yoyote ile. Ndio maana viongozi wa Dini wamekuwa na furaha na imani kubwa na CCM na kuwaombea viongozi wake maisha marefu yenye Heri na Baraka.

Kwa sababu wanajua ni CCM pekee iwezayo kutunza na kuendeleza na kuifanya Tanzania kuendelea kuwa kisiwa cha Amani na utulivu na kimbilio la wanyonge. Wanajua CCM ndio Bima ya Maisha ya watanzania na yenye uwezo wa kuleta matumaini kwa maisha ya watanzania.

Sasa vyama kama CHADEMA haviwezi kupata ushirikiano kutoka kwa watu wenye kuheshimika na wenye kujitambua. Kwa sababu ya maneno machafu ,ya Hovyo , uchochezi na kibaguzi ambayo yamekuwa yakitoka katika vinywa vya viongozi wake katika ngazi mbalimbali. Kama ambavyo tumekuwa tukishuhudia lissu akitoa lugha za ubaguzi ,kutweza na kumdhalilisha Rais wetu kwa chuki binafsi tu.

Kwa hakika CCM itaendelea kuongoza Taifa letu mpaka mwisho wa Dunia. Kwa sababu CCM ni mpango wa Mungu Mwenyewe.

Embu endelea kusoma hapa chini
👎WASIRA AKUTANA NA PROTASE KARDINALI RUGAMBWA.

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amekutana na kufanya mazungumzo na Muadhama Kadinali Protase Rugambwa katika Jimbo Kuu Katoliki la Tabora.

Wasira amekutana na Protase Kardinali Rugambwa. leo Aprili 16, 2025 katika Jimbo Kuu Katoliki Tabora akiwa katika ziara ya kukagua uhai wa Chama na utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020-2025 mkoani Tabora.

Katika mazungumzo yao viongozi hao wamejadili mambo mbalimbali kuhusu umuhimu wa kudumisha amani na ustawi wa Tanzania.

Aidha, baada ya mazungumzo yao Wasira ametembelea Shule ya Sekondari ya St Marrys (Mihayo) iliyopo mjini Tabora.

Shule ya Sekondari ya St. Mary's imebeba historia kubwa kwani ndiyo Shule ya kwanza ambayo Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alifundisha kwa miaka mitatu.View attachment 3306466

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wewe jamaa una usenge mwingi sana viongozi wa Chadema wakikutana na viongozi wa dini unaleta nyuzi kuwa Chadema ni chama cha kidini,nafikiri ubongo wako Umechanganyika na haja kubwa.
 
  • Thanks
Reactions: M45

Unatakiwa upewe cheo kikubwa sana na ujinga. Lakini kwa CCM wanaweza kukuchukulia kama mtu mwenye busara na mshauri wao 😂😂😂😂
 
Kama ni rahisi Embu na wewe nenda ukapige picha kesho halafu uilete hapa jukwaani.
Sitamani maana sioni kama ni jambo la maana hivyo. Ww ndio unatetemekea unadhani kila mtu anatetemekea kupiga picha na maaskofu, au tukiona waliopiga picha na maaskofu tunawaona ni watu wa maana sana.
 
Wewe jamaa una usenge mwingi sana viongozi wa Chadema wakikutana na viongozi wa dini unaleta nyuzi kuwa Chadema ni chama cha kidini,nafikiri ubongo wako Umechanganyika na haja kubwa.
Acha matusi kama kichaa au mwendawazimu. Hili jukwaa ni la watu wazima na siyo la watoto wenzio waliokosa malezi mazuri ya wazazi wao
 
Sitamani maana sioni kama ni jambo la maana hivyo. Ww ndio unatetemekea unadhani kila mtu anatetemekea kupiga picha na maaskofu, au tukiona waliopiga picha na maaskofu tunawaona ni watu wa maana sana.
Huwezi kupata nafasi hiyo .
 
Ndugu zangu Watanzania,

Ukiwa na heshima na kuheshimika ni jambo la kawaida kukutana na kukutanishwa na watu wenye heshima kubwa katika jamii. Ni kawaida kwa mtu anayeheshimika kuona akifanya mazungumzo na majadiliano na watu wenye heshima kubwa .

Ni kawaida kwa chama kinachoheshimika kama CCM kuona viongozi mbalimbali na katika ngazi mbalimbali wakifanya mazungumzo na viongozi wenye heshima na kuheshimika katika jamii kama vile watumishi wa Mungu na viongozi wa Dini.

CCM imekuwa ikifanya mazungumzo na viongozi mbalimbali wa Dini na kupata ushirikiano wa kutosha na mzuri .kwa sababu hata viongozi wa Dini wanatambua mchango mkubwa wa CCM katika Amani na utulivu wa Taifa letu. Wanajua ni CCM pekee iwezayo kuiongoza nchi yetu kwa mafanikio makubwa.

Wanajua ni CCM pekee ndio chama kilichobeba matumaini ya mamilioni kwa mamilioni ya watanzania na ni chama chenye uwezo na dhamira njema na Taifa hili. Na chama chenye uwezo wa kuwaongoza watanzania wote kwa usawa na haki pasipo ubaguzi wa aina yoyote ile na kwa misingi ya aina yoyote ile. Ndio maana viongozi wa Dini wamekuwa na furaha na imani kubwa na CCM na kuwaombea viongozi wake maisha marefu yenye Heri na Baraka.

Kwa sababu wanajua ni CCM pekee iwezayo kutunza na kuendeleza na kuifanya Tanzania kuendelea kuwa kisiwa cha Amani na utulivu na kimbilio la wanyonge. Wanajua CCM ndio Bima ya Maisha ya watanzania na yenye uwezo wa kuleta matumaini kwa maisha ya watanzania.

Sasa vyama kama CHADEMA haviwezi kupata ushirikiano kutoka kwa watu wenye kuheshimika na wenye kujitambua. Kwa sababu ya maneno machafu ,ya Hovyo , uchochezi na kibaguzi ambayo yamekuwa yakitoka katika vinywa vya viongozi wake katika ngazi mbalimbali. Kama ambavyo tumekuwa tukishuhudia lissu akitoa lugha za ubaguzi ,kutweza na kumdhalilisha Rais wetu kwa chuki binafsi tu.

Kwa hakika CCM itaendelea kuongoza Taifa letu mpaka mwisho wa Dunia. Kwa sababu CCM ni mpango wa Mungu Mwenyewe.

Embu endelea kusoma hapa chini
👎WASIRA AKUTANA NA PROTASE KARDINALI RUGAMBWA.

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amekutana na kufanya mazungumzo na Muadhama Kadinali Protase Rugambwa katika Jimbo Kuu Katoliki la Tabora.

Wasira amekutana na Protase Kardinali Rugambwa. leo Aprili 16, 2025 katika Jimbo Kuu Katoliki Tabora akiwa katika ziara ya kukagua uhai wa Chama na utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020-2025 mkoani Tabora.

Katika mazungumzo yao viongozi hao wamejadili mambo mbalimbali kuhusu umuhimu wa kudumisha amani na ustawi wa Tanzania.

Aidha, baada ya mazungumzo yao Wasira ametembelea Shule ya Sekondari ya St Marrys (Mihayo) iliyopo mjini Tabora.

Shule ya Sekondari ya St. Mary's imebeba historia kubwa kwani ndiyo Shule ya kwanza ambayo Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alifundisha kwa miaka mitatu.View attachment 3306466

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Attachments

  • afa324ad11e13100ecbde650d0c342b2_1743188102623.mp4
    5.9 MB
Back
Top Bottom