Huwezi Kupata Kamwe Picha Kama Hii kutoka CHADEMA ya Stephen Wasira Akisalimiana Na Protase Kardinali Rugambwa hii Leo.

Huwezi Kupata Kamwe Picha Kama Hii kutoka CHADEMA ya Stephen Wasira Akisalimiana Na Protase Kardinali Rugambwa hii Leo.

Acha matusi kama kichaa au mwendawazimu. Hili jukwaa ni la watu wazima na siyo la watoto wenzio waliokosa malezi mazuri ya wazazi wao
Kichaa ni wewe unayeleta mada za kipumbavu. Wewe ndiye uliyekosa malezi ndiyo maana umechagua kuwa chawa.
 
CCM ni chama kinacho ongoza kwa haki na kutenda haki kwa watu wote bila ubaguzi wa aina yoyote ile. Ndio maana kimeendelea kuungwa mkono na watanzania wote.
Mkiambiwa ili kuleta usawa tufanye mabadiliko ya katiba na tume huru ya uchaguzi, mnawapa watu kesi za kijinga za uhaini. Wakati ccm ndio wahaini kwa kupinduwa chaguo la wananchi na kuweka kiongozi mnae mtaka
 
Mkiambiwa ili kuleta usawa tufanye mabadiliko ya katiba na tume huru ya uchaguzi, mnawapa watu kesi za kijinga za uhaini. Wati ccm ndio wahaini kwa kupinduwa chaguo la wananchi na kuweka kiongozi mnae mtaka
Acheni mambo ya kihaini. Hakuna atakaye wavumilia.
 
Kichaa ni wewe unayeleta mada za kipumbavu. Wewe ndiye uliyekosa malezi ndiyo maana umechagua kuwa chawa.
Ungejitajidi kuomba ndugu zako wakusaidie kupata matibabu ya haraka na dharura. Maana unakoelekea utashindwa kutibika kabisa.
 
Ungejitajidi kuomba ndugu zako wakusaidie kupata matibabu ya haraka na dharura. Maana unakoelekea utashindwa kutibika kabisa.
Wewe ndiye wa kutibiwa binadamu kuamua kuwa chawa ni dalili za uchizi hapo bado kuanza kula majalalani tu bwege wewe.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Ukiwa na heshima na kuheshimika ni jambo la kawaida kukutana na kukutanishwa na watu wenye heshima kubwa katika jamii. Ni kawaida kwa mtu anayeheshimika kuona akifanya mazungumzo na majadiliano na watu wenye heshima kubwa .

Ni kawaida kwa chama kinachoheshimika kama CCM kuona viongozi mbalimbali na katika ngazi mbalimbali wakifanya mazungumzo na viongozi wenye heshima na kuheshimika katika jamii kama vile watumishi wa Mungu na viongozi wa Dini.

CCM imekuwa ikifanya mazungumzo na viongozi mbalimbali wa Dini na kupata ushirikiano wa kutosha na mzuri .kwa sababu hata viongozi wa Dini wanatambua mchango mkubwa wa CCM katika Amani na utulivu wa Taifa letu. Wanajua ni CCM pekee iwezayo kuiongoza nchi yetu kwa mafanikio makubwa.

Wanajua ni CCM pekee ndio chama kilichobeba matumaini ya mamilioni kwa mamilioni ya watanzania na ni chama chenye uwezo na dhamira njema na Taifa hili. Na chama chenye uwezo wa kuwaongoza watanzania wote kwa usawa na haki pasipo ubaguzi wa aina yoyote ile na kwa misingi ya aina yoyote ile. Ndio maana viongozi wa Dini wamekuwa na furaha na imani kubwa na CCM na kuwaombea viongozi wake maisha marefu yenye Heri na Baraka.

Kwa sababu wanajua ni CCM pekee iwezayo kutunza na kuendeleza na kuifanya Tanzania kuendelea kuwa kisiwa cha Amani na utulivu na kimbilio la wanyonge. Wanajua CCM ndio Bima ya Maisha ya watanzania na yenye uwezo wa kuleta matumaini kwa maisha ya watanzania.

Sasa vyama kama CHADEMA haviwezi kupata ushirikiano kutoka kwa watu wenye kuheshimika na wenye kujitambua. Kwa sababu ya maneno machafu ,ya Hovyo , uchochezi na kibaguzi ambayo yamekuwa yakitoka katika vinywa vya viongozi wake katika ngazi mbalimbali. Kama ambavyo tumekuwa tukishuhudia lissu akitoa lugha za ubaguzi ,kutweza na kumdhalilisha Rais wetu kwa chuki binafsi tu.

Kwa hakika CCM itaendelea kuongoza Taifa letu mpaka mwisho wa Dunia. Kwa sababu CCM ni mpango wa Mungu Mwenyewe.

Embu endelea kusoma hapa chini
👎WASIRA AKUTANA NA PROTASE KARDINALI RUGAMBWA.

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amekutana na kufanya mazungumzo na Muadhama Kadinali Protase Rugambwa katika Jimbo Kuu Katoliki la Tabora.

Wasira amekutana na Protase Kardinali Rugambwa. leo Aprili 16, 2025 katika Jimbo Kuu Katoliki Tabora akiwa katika ziara ya kukagua uhai wa Chama na utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020-2025 mkoani Tabora.

Katika mazungumzo yao viongozi hao wamejadili mambo mbalimbali kuhusu umuhimu wa kudumisha amani na ustawi wa Tanzania.

Aidha, baada ya mazungumzo yao Wasira ametembelea Shule ya Sekondari ya St Marrys (Mihayo) iliyopo mjini Tabora.

Shule ya Sekondari ya St. Mary's imebeba historia kubwa kwani ndiyo Shule ya kwanza ambayo Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alifundisha kwa miaka mitatu.View attachment 3306466

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wapinzani wangeambiwa wanachanganya dini na siasa...
 
Nimehadithiwa zamani malori ya Fiat ndio yaliyokuwa na Injini za uhakika. Na ukitizama bodi zimejaa kutu.

Huyu mzee Wassira naona ameishinda hata hiyo Fiat ni li Tesla lile la chuma💥 Ila yeye ndie aliweza ku articulate vizuri.

Sema tu ni li CCM na kwa jicho lengine naona kana anahusika na siasa za Mh. Tundu A. Lissu lupango.

Ningempa maua yake.
 
Mdomo mchafu wa lissu ndio umemfanya awe ndani .kwa sababu ya kukosa kwake breki ya mdomo na kuropoka ropoka Hovyo hovyo tu.
 
Msikuze mambo Makamu wa CCM alienda kwenye graduation ya mjukui wake
Shule ya kanisa hiyo ndipo Kardinali akaenda kumkaribisha ofisini wasalimiane asingesalimiana naye barabarani yeye kama kardinali kiongozi mkubwa

Sio vizuri mleta mada kudakia tu ukiona picha unatafsiri utakavyo.

Hamtaki viongozi wakuu wasiende graduation za ndugu zao?

Mfano hata Waziri mkuu Majaliwa mkewe alipoenda chuo kikuu Mwenge singida Mkewe aki graduate alipewa nafaasi kama hiyo kusalimiana na viongozi wa shule
 
Wivu tu ndio unaokusumbua na uongo uongo. Kwanini wewe hukupewa nafasi kama hiyo? Acha uongo na unafiki
 
Wewe ndiye wa kutibiwa binadamu kuamua kuwa chawa ni dalili za uchizi hapo bado kuanza kula majalalani tu bwege wewe.
Ungepata kwanza matibabu ndio uje kuzungumza na mimi. Kwa sasa najua Huwezi kujijua hali yako mpaka utakapopata matibabu na kupona.
 
Wivu tu ndio unaokusumbua na uongo uongo. Kwanini wewe hukupewa nafasi kama hiyo? Acha uongo na unafiki
Huyo ni mwaccm mwenzako mwenye akili ya kujitegemea anakusahihisha wewe unamkoromea,ndiyo maana huwa unaadhirika humu kwa nyuzi zako za kimalaya malaya,kubali kukosolewa.
 
Huyo ni mwaccm mwenzako mwenye akili ya kujitegemea anakusahihisha wewe unamkoromea,ndiyo maana huwa unaadhirika humu kwa nyuzi zako za kimalaya malaya,kubali kukosolewa.
Hatuna mwana CCM wa aina hiyo .kwani wewe huoni kuwa mnafanana hata akili
 
Back
Top Bottom