Huwezi Kupata Kamwe Picha Kama Hii kutoka CHADEMA ya Stephen Wasira Akisalimiana Na Protase Kardinali Rugambwa hii Leo.

Huwezi Kupata Kamwe Picha Kama Hii kutoka CHADEMA ya Stephen Wasira Akisalimiana Na Protase Kardinali Rugambwa hii Leo.

Umechanganyikiwa dogo. Wahi Mirembe uchomwe sindano kama ndefu kama ya ng'ombe mpaka akili zikukae sawa.
Vijana wapumbavu kama wewe ndiyo wanafanya CCM inaendelea kufanya recycling ya viongozi kama huyu hapa chini maana hamna akili kabisa
 

Attachments

  • FB_IMG_1743955210578.jpg
    FB_IMG_1743955210578.jpg
    32.6 KB · Views: 12
Ndugu zangu Watanzania,

Ukiwa na heshima na kuheshimika ni jambo la kawaida kukutana na kukutanishwa na watu wenye heshima kubwa katika jamii. Ni kawaida kwa mtu anayeheshimika kuona akifanya mazungumzo na majadiliano na watu wenye heshima kubwa .

Ni kawaida kwa chama kinachoheshimika kama CCM kuona viongozi mbalimbali na katika ngazi mbalimbali wakifanya mazungumzo na viongozi wenye heshima na kuheshimika katika jamii kama vile watumishi wa Mungu na viongozi wa Dini.

CCM imekuwa ikifanya mazungumzo na viongozi mbalimbali wa Dini na kupata ushirikiano wa kutosha na mzuri .kwa sababu hata viongozi wa Dini wanatambua mchango mkubwa wa CCM katika Amani na utulivu wa Taifa letu. Wanajua ni CCM pekee iwezayo kuiongoza nchi yetu kwa mafanikio makubwa.

Wanajua ni CCM pekee ndio chama kilichobeba matumaini ya mamilioni kwa mamilioni ya watanzania na ni chama chenye uwezo na dhamira njema na Taifa hili. Na chama chenye uwezo wa kuwaongoza watanzania wote kwa usawa na haki pasipo ubaguzi wa aina yoyote ile na kwa misingi ya aina yoyote ile. Ndio maana viongozi wa Dini wamekuwa na furaha na imani kubwa na CCM na kuwaombea viongozi wake maisha marefu yenye Heri na Baraka.

Kwa sababu wanajua ni CCM pekee iwezayo kutunza na kuendeleza na kuifanya Tanzania kuendelea kuwa kisiwa cha Amani na utulivu na kimbilio la wanyonge. Wanajua CCM ndio Bima ya Maisha ya watanzania na yenye uwezo wa kuleta matumaini kwa maisha ya watanzania.

Sasa vyama kama CHADEMA haviwezi kupata ushirikiano kutoka kwa watu wenye kuheshimika na wenye kujitambua. Kwa sababu ya maneno machafu ,ya Hovyo , uchochezi na kibaguzi ambayo yamekuwa yakitoka katika vinywa vya viongozi wake katika ngazi mbalimbali. Kama ambavyo tumekuwa tukishuhudia lissu akitoa lugha za ubaguzi ,kutweza na kumdhalilisha Rais wetu kwa chuki binafsi tu.

Kwa hakika CCM itaendelea kuongoza Taifa letu mpaka mwisho wa Dunia. Kwa sababu CCM ni mpango wa Mungu Mwenyewe.

Embu endelea kusoma hapa chini
👉WASIRA AKUTANA NA PROTASE KARDINALI RUGAMBWA.

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amekutana na kufanya mazungumzo na Muadhama Kadinali Protase Rugambwa katika Jimbo Kuu Katoliki la Tabora.

Wasira amekutana na Protase Kardinali Rugambwa. leo Aprili 16, 2025 katika Jimbo Kuu Katoliki Tabora akiwa katika ziara ya kukagua uhai wa Chama na utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020-2025 mkoani Tabora.

Katika mazungumzo yao viongozi hao wamejadili mambo mbalimbali kuhusu umuhimu wa kudumisha amani na ustawi wa Tanzania.

Aidha, baada ya mazungumzo yao Wasira ametembelea Shule ya Sekondari ya St Marrys (Mihayo) iliyopo mjini Tabora.

Shule ya Sekondari ya St. Mary's imebeba historia kubwa kwani ndiyo Shule ya kwanza ambayo Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alifundisha kwa miaka mitatu.View attachment 3306466

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hussein Bashe alisalimiana na baba mtakatifu Papa mwenyewe 😂
 
Back
Top Bottom