Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
- Thread starter
- #81
Hilo tamko utalitoa wewe.anajichekesha asubilie tamko la TEC
Hilo tamko utalitoa wewe.anajichekesha asubilie tamko la TEC
Siyo propaganda bali ni ukweli na uhalisia.
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...Siyo propaganda bali ni ukweli na uhalisia.
Wasira ni mshirikina atakuwa ameenda kujisafishaKwa hiyo unaona hapo amekutana na Yesu sio
Huyo UWT hajui hata kinachoendelea duniani yeye sahivi ni VEO lazima asifieAMA kweli wewe Lucas Mwashambwa ni andazi kabisa! Nyerere alifundisha Mihayo Sec? Una uhakika kwamba Mihayo Sec ndiyo hiyo ilikuwa ikiitwa St. Mary's enzi hizo za ukoloni?
Naona umekuja mbiombio kutoka kujifukiza zako moshi kama kawaida yako na sasa huelewi kitu . Maana hapo hakuna namba inayosoma kichwani mwakoWasira ni mshirikina atakuwa ameenda kujisafisha
Wewe unajifanya unaijua saana CCM,wenye chama chao wanakuona kama kinyesi tu na kamwe huwasikii wakipayuka payuka wanajipakulia minyama tu,wewe kapuku sasa kutwa kucha kuwasifia tu wenzako wanalia kivulini,masikini mna shida sana hasa umasikini wa mali na akili.Hatuna mwana CCM wa aina hiyo .kwani wewe huoni kuwa mnafanana hata akili
Naona mtu na Makopo yake akiruka ruka kama ndama.Huyo UWT hajui hata kinachoendelea duniani yeye sahivi ni VEO lazima asifie
Siwezi kumshukuru kapuku kama wewe mlalia ngozi ya mbuzi.Ipo siku utani shukuru tu pale utakapokuwa umepata matibabu na kupona kabisa
Ungeacha wenye akili Timamu wajadili hojaWewe unajifanya unaijua saana CCM,wenye chama chao wanakuona kama kinyesi tu na kamwe huwasikii wakipayuka payuka wanajipakulia minyama tu,wewe kapuku sasa kutwa kucha kuwasifia tu wenzako wanalia kivulini,masikini mna shida sana hasa umasikini wa mali na akili.
VEO nasikia pikipiki ako bado ipo polisi ulikamatwa ukiendesha huku umlewa na pikipiki haina taaNaona umekuja mbiombio kutoka kujifukiza zako moshi kama kawaida yako na sasa huelewi kitu . Maana hapo hakuna namba inayosoma kichwani mwako
Saizi najua siyo wewe unayezungumza. Ukipata matibabu na kupona utabakia unabubujikwa na machozi tuSiwezi kumshukuru kapuku kama wewe mlalia ngozi ya mbuzi.
Yeye amepewa cheo cha VEOSiwezi kumshukuru kapuku kama wewe mlalia ngozi ya mbuzi.
Acha ujinga dogo usifikirie wote ni walevi kama wewe.VEO nasikia pikipiki ako bado ipo polisi ulikamatwa ukiendesha huku umlewa na pikipiki haina taa
Mjinga wewe mshahara wa mwezi huu lazima unirushie hata bando aseeNaona mtu na Makopo yake akiruka ruka kama ndama.
Mimi ni mkulima na siyo VEOMjinga wewe mshahara wa mwezi huu lazima unirushie hata bando asee
Sura ya kichawi kabisa hii vizee kama hiki huku Usukumani tunapiga shoka la kichwa tuWasira ni mshirikina atakuwa ameenda kujisafisha
Haya endelea utakomaAcha ujinga dogo usifikirie wote ni walevi kama wewe.