hana dosari na msahama alioambiwa atasamehewa kwa makosa aliyokwisha yafanya na atakayoyafanya Allah alikuwa kalewa au??Mkuu tulejea kwenye Mada husika Mtume Muhammad (saw) hana dosari hata moja ni mja wa Mungu mwenye Enzi, kwahiyo huwezi kubadili kitu, tujikite hapa kwebye Isa bin Maryam.
Kama ni kweli basi HAKUNA MUISLAM hapa duniani!Kwa kweli, huwezi kuwa Muislamu ukiwa huwa umpendi na kumwaamini Malaika wote, Manabii na Mitume wote!
Qur'an (Surat Al-Baqarah 2:285):
“…Wote wanamwamini Mwenyezi Mungu, Malaika Wake, Vitabu Vyake na Mitume Wake. Hatubagui kati ya yeyote katika Mitume Wake…”
Uislamu ni dini ya imani kamili kwa mitume wote waliotumwa na Mwenyezi Mungu — akiwemo Yesu (Isa bin Maryam), Musa, Ibrahim, Nuhu na Muhammad (s.a.w) Waislamu Wanaamini Yesu Atarudi Kumpiga Dajjali.
Mtume Paulo ndo akaja akaharibu monotheism Gospel ya yesu akabadili muelekeo na kuunda Imani mpya ya kikuristo.
Surat Al-Ma'idah (5:116).Hii hapa tafsiri yake kwa Kiswahili:
“Na pale Mwenyezi Mungu atakaposema: Ewe Isa bin Maryamu! Je, wewe uliwaambia watu: Nifanyeni mimi na mama yangu kuwa miungu badala ya Mwenyezi Mungu?
Atasema: Subhanaka! (Utukufu ni Wako!) Hakuwa haki yangu kusema nisiyokuwa na haki nayo. Kama ningelisema, bila shaka ungalijua. Unajua yaliyo moyoni mwangu, wala mimi siyajui yaliyo moyoni Mwako. Hakika Wewe ndiwe Mjuzi wa mambo ya ghaib.
Aya hii inaonyesha wazi kuwa Yesu (Isa a.s) hakuagiza watu wamuabudu yeye wala mama yake. Badala yake, alifundisha kumwabudu Mwenyezi Mungu pekee. Aya hii ni hoja muhimu katika msimamo wa Kiislamu dhidi ya imani ya Utatu.
Ukija msikiti wetu kutuambia habari hii hakika tutakuchapa bakoraWaislamu Wanaamini Yesu Atarudi Kumpiga Dajjali.
hilo halimfanyi kuwa Mungu wa pili wala wa nne,linamfanya kuwa Mungu.Kwahiyo hilo ndo linamfanya kua Mungu wa pili baada ya Baba ake? Au sijakuelewa
Mkuu umeshawahi kukaa na waislamu kweli acha hao waswahili njaa?Kama ni kweli basi HAKUNA MUISLAM hapa duniani!
Kumpenda Yesu, ni kushika na kutenda mapenzi yake! Ni muislamu gani anayeyatenda mapenzi ya Yesu Kristo? Wakristo wenyewe wana upendo wa kinafiki dhidi ya Yesu Kristo ndiyo iwe muislamu? Anyway....
waisla wa kweli wanaishi wapi??wanavaaje?Mkuu umeshawahi kukaa na waislamu kweli acha hao waswahili njaa?
Mkuu acha comedy unavichekosho ulishawahi kuona Mungu anakufa? Mkuu au umelewa una hungerover ya jana.hilo halimfanyi kuwa Mungu wa pili wala wa nne,linamfanya kuwa Mungu.
maana Mungu hawezi kuwa na mtoto popo.
Niwe mkweli, hapana!Mkuu umeshawahi kukaa na waislamu kweli acha hao waswahili njaa?
wewe Mungu uliwahi kumwona wapi??mpaka ukaona hawezi kufa??Mkuu acha comedy unavichekosho ulishawahi kuona Mungu anakufa? Mkuu au umelewa una hungerover ya jana.
Shida yangu ni je, wanayafanya mapenzi ya Yesu Kristo? Huko ndiko kumpenda Yesu!Niwe mkweli, hapana!
Waislamu ni watu wenye upendo wanao penda amani wasio kua na makuu waamanifu huwezi kuamini ukiwapatia kuishi nao.... achana nahao waislamu wa CCM waswahili watupu.Niwe mkweli, hapana!
Abigael🥰😍Wewe ni imamu au kiongozi wa msikiti?
Maana hizi battle za udini unazimudu kwelikweli halafu huchoki yani..
Kama Mungu alijuua mwenyewe hiyo ni suicide mkuu Mtukufu hawezi kujiuua mkuu amka acha imani za upotoshaji tafuta nuru na imani ya haki.wewe Mungu uliwahi kumwona wapi??mpaka ukaona hawezi kufa??
sijasema kuhusu kujiua,hayo ni madai yako,ila kama unaabudu Mungu ambaye una wasi wasi akifa itakuwaje😁😁.hilo ni tatizo kubwa sana.Kama Mungu alijuua mwenyewe hiyo ni suicide mkuu Mtukufu hawezi kujiuua mkuu amka acha imani za upotoshaji tafuta nuru na imani ya haki.
Seriously habari za Yesu unazitafuta kwenye kurwan,nadhani utakua na mtindio wa ubongo,kurwani na mud ni wapinga kristo.Kwa kweli, huwezi kuwa Muislamu ukiwa huwa umpendi na kumwaamini Malaika wote, Manabii na Mitume wote!
Qur'an (Surat Al-Baqarah 2:285):
“…Wote wanamwamini Mwenyezi Mungu, Malaika Wake, Vitabu Vyake na Mitume Wake. Hatubagui kati ya yeyote katika Mitume Wake…”
Uislamu ni dini ya imani kamili kwa mitume wote waliotumwa na Mwenyezi Mungu — akiwemo Yesu (Isa bin Maryam), Musa, Ibrahim, Nuhu na Muhammad (s.a.w) Waislamu Wanaamini Yesu Atarudi Kumpiga Dajjali.
Mtume Paulo ndo akaja akaharibu monotheism Gospel ya yesu akabadili muelekeo na kuunda Imani mpya ya kikuristo.
Surat Al-Ma'idah (5:116).Hii hapa tafsiri yake kwa Kiswahili:
“Na pale Mwenyezi Mungu atakaposema: Ewe Isa bin Maryamu! Je, wewe uliwaambia watu: Nifanyeni mimi na mama yangu kuwa miungu badala ya Mwenyezi Mungu?
Atasema: Subhanaka! (Utukufu ni Wako!) Hakuwa haki yangu kusema nisiyokuwa na haki nayo. Kama ningelisema, bila shaka ungalijua. Unajua yaliyo moyoni mwangu, wala mimi siyajui yaliyo moyoni Mwako. Hakika Wewe ndiwe Mjuzi wa mambo ya ghaib.
Aya hii inaonyesha wazi kuwa Yesu (Isa a.s) hakuagiza watu wamuabudu yeye wala mama yake. Badala yake, alifundisha kumwabudu Mwenyezi Mungu pekee. Aya hii ni hoja muhimu katika msimamo wa Kiislamu dhidi ya imani ya Utatu.
Yesu hakufa siku tatu? Au hujui hilo.sijasema kuhusu kujiua,hayo ni madai yako,ila kama unaabudu Mungu ambaye una wasi wasi akifa itakuwaje[emoji16][emoji16].hilo ni tatizo kubwa sana.
kimsingi kwangu Mungu anaweza defeat kifo maana hakiwezi kumshikiria.
alikufa siku ngapi???Yesu hakufa siku tatu? Au hujui hilo.
KWa hiyo biblia za kiarabu Jina Yesu ni Isa?Mkuu ni lugha jina la Yesu hubadilika kulingana na lugha husika kwa mfano:
Haya ndiyo majina ya Yesu katika lugha mbalimbali:
1. Kiarabu: عيسى (ʿĪsā)
2. Kiebrania (Hebrew): יֵשׁוּעַ (Yeshua)
3. Kigiriki (Greek): Ἰησοῦς (Iēsous)
4. Kilatini (Latin): Iesus
5. Kiingereza: Jesus
6. Kihispania: Jesús
7. Kifaransa: Jésus
8. Kijerumani: Jesus
9. Kirusi: Иисус (Iisus)
10. Kichina (Mandarin): 耶稣 (Yēsū)
11. Kihindi: यीशु (Yeshu)
12. Kiswahili: Yesu
13. Kituruki: İsa
14. Kipersia (Farsi)*: عیسی (ʿĪsā)
Jina linabadilika kulingana na fonolojia ya lugha, lakini linarejea mtu ni yuleyule –Nabii Isa au Yesu.
Tena Qur’an ndo kitabu peke kilio bakia bila muingilio wa binaadamu Injili ilisha halibiwa kabisa imejaa na mkanganyiko kibao, Muhammad (saw) ndo Mtume wa mwisho na kitabu chake ndo cha mwisho japo washirkina hawatamkubali ila hilo sio shida Mungu alisha lisema.Seriously habari za Yesu unazitafuta kwenye kurwan,nadhani utakua na mtindio wa ubongo,kurwani na mud ni wapinga kristo.
Kasome Injili zote tatu na nyaraka za Mtume paulo.
kwenye uislam danyanya uwezavyo mradi uwe unamtetea Allah na kitume chake.Kwwhi
KWa hiyo biblia za kiarabu Jina Yesu ni Isa?
Kwadanganye wapuuzi wenzio wa madrasta