Huwezi kuwa tajiri namba moja duniani bila kusoma shule

Hivi Ronaldo kasoma shule ya digrii ?
Kwa uwekezaji wake haiwezi tokea akaja ajawa tajiri kipitia mtaji aliojikusanyia kwa miguu, kifua na kichwa
Miguu inaweza kuleta utajiri.
Nadhani Jordan ni bilionea .
Sio rahisi mkuu. Mbona tumekwambia kama hujasomea hesabu za integration huwezi kuwa Tajiri namba moja duniani.
 
Mkuu hujaroga hata kidogo
 
Angalia elimu ya Bakiresa, anatumia wasomi kumpigia mahesabu. Hao darasa la saba wanaowanunulia pombe maprofesa nani anawapigia mahesabu? Nakanusha uzi wako. Utajiri ni sawa na kucheza mpira, hesabu kidogo tu, unapiga chenga na kufunga goli.
 
Sio rahisi mkuu. Mbona tumekwambia kama hujasomea hesabu za integration huwezi kuwa Tajiri namba moja duniani.
Tuchukulie bongo. Bakhresa hajui intergration na aliwahi kuwa no1.
Waliosoma hesabu TZ ni maelfu ila hawamiliki bilions kasoro za kukwapua kwa wananchi. Pamoja na kuwaibia wananchi gawawi matajiri wa kutisha. Hio fomula inafanya kazi ulaya tu au hata kwetu.
Mahesabu ya quantum physics yanakusaidia nini Tanzania ? Wakati kuna mkinga anamiliki super feo kaishia darasa la 7 hajui hata set tu.
Tueleze vizuri mkuu.
 
Tumekwambia tajiri namba moja duniani. Huwezi kuwa Tajiri namba moja duniani kwa kuuza vyakula boss.
 
Mbunge msukuma ni nani anampigia mahesabu yake ya biashara? Hata kuongea bungeni ni hesabu, namna ya kupangilia maneno. Nimalizie kwa kusema "utajiri ni mchezo " cheza vizuri utajirike.
 
Kwanza aanze kuwa tajiri namba moja tandale. Kuna watu vichas sana, tatizo masikini akipata kidogo anaona kama wengine hawana ndio kinachomsumbua yule dogo
 
Muongo
 
Bakhressa kasoma?? Sio tajiri namba moja duniani ila hana elimu.

Kuna level ya pesa ikifikia inakuwa sio jitihada ama elimu yako inayokuongezea pesa. Bali ni aina ya watu unaoajiri kusimamia pesa zako.
 
Bakhressa kasoma?? Sio tajiri namba moja duniani ila hana elimu.

Kuna level ya pesa ikifikia inakuwa sio jitihada ama elimu yako inayokuongezea pesa. Bali ni aina ya watu unaoajiri kusimamia pesa zako.
Ulishawahi kuwa tajiri?
 
In shortly

"DIAMOND PLATNUMZ MADAWA YA KULEVYA YAMEMUATHIRI"

That's not his sense,but it seems is cock hen
 
mleta mada wewe umesoma intergration na differentiation? kama ndio ,basi tuoneshe utajiri wako



kazi kweli kweli/jobtruetrue
 
kama ana akili ameelewa. Doto magari anaweza kuwa na maisha mazuri kupita hata watu wenye masters nchini
 
Kuna utajiri wa kurithi
Kuna utajiri wa talent
Kuna utajiri wa bahati na sibu
Kuna utajiri wa kusoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…