Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lete hoja ubovu wake ulikuwa wap na sisi tukupe hoja ya ubora wake
Swala Muungano alikosea vibaya Taifa Bora na tajiri watu million 60 kujiunga na watu Million 2 maskini ni aibu kubwa
View attachment 3089373Ni ngumu kunishawishi kuwa Nyerere alikuwa kiongozi bora ngumu sana.
Mtu aliyetengeneza taifa la misukule kamwe hawezi kuwa kiongozi bora.
Propaganda kubwa imefanyika kumchora Nyerere mtakatifu na genius taifa halijawahi kupata mtu wa hivyo.
Indoctrination imefanyika toka utotoni Nyerere kuonekana bora kila upande.
Jinsi watanzania tulivyo ni masikitiko akili zimeoza.
Huwezi kuwa bora kama unageuza watu wako misukule ili uwatawale vyema.
Baadhi ya mabaya au ubovu wa Mwl. Nyerere:-Lete hoja ubovu wake ulikuwa wap na sisi tukupe hoja ya ubora wake
Misingi ya ubovu wa katiba tuliyo nayo,yeye ndo muasisi. Usisahau hiloTo me he was the best president ever.. The rest ni majanga tupu
Wanaofikiria kumpa utakatifu wana vigezo na sababu zao binafsi.View attachment 3089373Ni ngumu kunishawishi kuwa Nyerere alikuwa kiongozi bora ngumu sana.
Mtu aliyetengeneza taifa la misukule kamwe hawezi kuwa kiongozi bora.
Propaganda kubwa imefanyika kumchora Nyerere mtakatifu na genius taifa halijawahi kupata mtu wa hivyo.
Indoctrination imefanyika toka utotoni Nyerere kuonekana bora kila upande.
Jinsi watanzania tulivyo ni masikitiko akili zimeoza.
Huwezi kuwa bora kama unageuza watu wako misukule ili uwatawale vyema.
Hakuna umoja wala niniWanaofikiria kumpa utakatifu wana vigezo na sababu zao binafsi.
Tanzania ni moja na inaongea lugha ya kiswahili. Huwezi ukaenda sehemu ya nchi hii usikute watu wanaozungumza kiswahili, Mwalimu alileta umoja wa kitaifa.
Nigeria wamejaa ukabila na udini. Cameroon wana misuguano mingi ya ndani. Mataifa mengi ya afrika yamejaa fitina na kuoneana. Majirani zetu tu hapo Kenya kila siku vijana wadogo wanauliwa kwa sababu ya siasa.
Yupi aliyetengeneza misukule kati ya Tanzania na Kenya ambayo vijana wadogo wanasababisha baraza zima la mawaziri livunjwe?.
Nyota ya Mwalimu Nyerere bado inawaka miaka 25 tangu aage dunia.
Mtoto mdogo wewe ndio maana huwezi kuelewa kazi aliyoifanya Mwalimu hapa TZ.Hakuna umoja wala nini
NI UOGA TU tumejazwa na huyo mwalimu
Amini kabisa pamoja na ukubwa wako, the so called mwalimu hajafanya lolote zaidi ya udikteta tuMtoto mdogo wewe ndio maana huwezi kuelewa kazi aliyoifanya Mwalimu hapa TZ.
Hakuwa na nguvu ya wasomi wengi kama waliopo miaka ya sasa, hili ndilo mnaloshindwa kulifikiria kwa kina.Amini kabisa pamoja na ukubwa wako, the so called mwalimu hajafanya lolote zaidi ya udikteta tu
Na kujaza watu uoga
Tupo hapa sababu ya sera zake? Huo ni uongo mkubwa na hutumiwa na watu waliokata tamaa ya kusonga mbele, na ndio hutafuta wa kumuanvushia lawamaPamoja na mazuri yake mengi sana kwa Taifa lakini hakuna jambo alichemka kama kueneza sera za kishamba na kinafiki kama ujamaa. Tupo hapa tulipo kwasababu ya sera zake za ujamaa
hakuna haja ya USHAWISHI awowote,View attachment 3089373Ni ngumu kunishawishi kuwa Nyerere alikuwa kiongozi bora ngumu sana.
Mtu aliyetengeneza taifa la misukule kamwe hawezi kuwa kiongozi bora.
Propaganda kubwa imefanyika kumchora Nyerere mtakatifu na genius taifa halijawahi kupata mtu wa hivyo.
Indoctrination imefanyika toka utotoni Nyerere kuonekana bora kila upande.
Jinsi watanzania tulivyo ni masikitiko akili zimeoza.
Huwezi kuwa bora kama unageuza watu wako misukule ili uwatawale vyema.
Hizi narratives huwa sizikubali. Sababu zipo nchi zilichelewa kutimua hao so called wazungu lakini bado zipo hovyo hadi leo, na zipo nchi ambazo ziliwahi kuwatimu na zipo vizuri. Unajua nahisi bado hatujajua tatizo letu ni Nini na linaondoka vipiAlifanya makosa mengi lakini kubwa kuliko kitendo cha kuwatimua wazungu mapema kabisa baada ya uhuru wakati hatukuwa na watu wenye uelewa kuhusu viwanda alichemka sana. Tukabaki na kilimo chetu na mazao yetu hatuna pa kuyapeleka.
Huna lolote nyie mlikua misukule wa Nyerere sababu mlikua hamna akili ni makubwa jingaHakuwa na nguvu ya wasomi wengi kama waliopo miaka ya sasa, hili ndilo mnaloshindwa kulifikiria kwa kina.
Miaka ya 60 mwanzoni mwenye diploma aliheshimiwa na kuitwa maofisini miaka ya 2020 mwenye shahada ya pili anakosa kazi, nadhani kama ukiwa ni mkubwa kiumri utaelewa ugumu wa kuongoza nchi wakati wa awamu ya kwanza.
Huna lolote nyie mlikua misukule wa Nyerere sababu mlikua hamna akili ni makubwa jinga
True and Fact!Ametuingiza kwenye muungano wa ovyo,nchi na wananchi tumekuwa na maisha duni kwa kuendekeza uswahiba kwa kuwapigania marafiki zake kina Obote,Mugabe na wengineo huko kusini mwa Afrika ili washike madaraka kwa visingizio mbalimbali, rasilimali zetu nyingi zimetumika bila manufaa yoyote!
Tumia lugha za kistaarabu hata kama umri wako bado ni mdogo, jukwaa ni la great thinkers huwa hawatukani kama vitoto vya visivyo na malezi.Huna lolote nyie mlikua misukule wa Nyerere sababu mlikua hamna akili ni makubwa jinga
Aliondoka madarakani alipozima mazima, ila 85 mpaka 98 bado aliwashwa washwa kwa sana tuNyerere kaondoka madarakani miaka 40 iliyopita. Kama hii miaka haitoshi kutoka hapo unaposema basi tatizo sio nyerere
Tatizo ni sisi wenyewe tumejawa na hulka mbovu za ubinafsi, ufisadi kila taasisi.Tupo hapa sababu ya sera zake? Huo ni uongo mkubwa na hutumiwa na watu waliokata tamaa ya kusonga mbele, na ndio hutafuta wa kumuanvushia lawama
Nyerere kaondoka madarakani miaka 40 iliyopita. Kama hii miaka haitoshi kutoka hapo unaposema basi tatizo sio nyerere
Lakini zipo nchi zilikua na ujamaa na bado zikapiga hatua kubwa tu na hatufanani nazo hata kidogo. Pia zipo nchi hazikua na ujamaa tena nchi nyingi tu huku Africa, lakini nazo hazina maendeleo yoyote, je nazo tuseme sababu ni nini? Tutafute sababu ya kweli