Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Hakuna kitu Kama hicho. Mwinyi si ndio alikuja na sera tofauti na nyerere. Mkapa ndio kabisaa yeye sera zake zikawa pia tofautiAliondoka madarakani alipozima mazima, ila 85 mpaka 98 bado aliwashwa washwa kwa sana tu
Tatizo la Tanzania Ni tatizo la nchi nyingi za Africa, huko napo Wana nyerere? Kenya nchi iliyokua na sera tofauti kabisa kwa miaka yote toka uhuru, bado wamekwama