Huwezi Pinga Kuwa Dini (madhehebu yote) yamegeuka kuwa biashara zinangonya waumini. Kama una hoja utasikilizwa na kujibiwa

Niliwahi uliza sehemu kwanini Watoto wa wachungaji wanasoma Bure? Mzee wa kanisa lile akaanza kuwatetea Eti wachungaji Wana kazi kubwa mno ya utumie!! Ili Hali wa kwakwe hawasomi hizo shule wanasoma kayumba lakini michango Hadi anauza vitu vyake binafisi nilisitikika mno hii Hali ila yeye aliona ni sawa kabisa.

Ukweli lazima usemwe hao Watoto wa wachungaji Wana bima za afya na washiriki ndo wananyonywa kulipia hata gari ikiharibika iwe ya paroko ama mchungaji waumini lazima mpambane kutengeneza haijarishi imeharibika akiwa kwenye mashamba yake au misele waumini mtatengeneza.


Hii kama sio biashara ni Nini? Tuamke tupinge hata kama wakituona tumekuwa wafedhuri ni Bora mara100 lakini ukweli waupate kuwa tumezinduka!

Hospital mnajunyimaa mnajenga Hadi inakamilika lakini ukienda kutibiwa gharama zipo pale pale. Kwani lakini?
 
Mi binafsi nilijua huo mchezo mda mrefu sana kua hawajamaa wananufaika kupitia sisi.
 
Mi binafsi nilijua huo mchezo mda mrefu sana kua hawajamaa wananufaika kupitia sisi.
Nina miaka kadhaa Kwa Sasa nikipata nafasi ya chochote kitu natoa Kwa wahitaji direct sipeleki kitu kanisani otherwise nimependa. Shida Kwa wanawake anakwambia ataonekanaje Kwa wenzie na hapa unajua hatoi Kwa ajiri ya Mungu Bali Kwa watu watamchukuliaje
 
Mi ninaposali Viongozi wakanisa walishawai kuniiliza mbona haueleweki, nikajua wanacholenga, nikawajibu, Mtanielewa ni swala la muda tu.
 
Mi ninaposali Viongozi wakanisa walishawai kuniiliza mbona haueleweki, nikajua wanacholenga, nikawajibu, Mtanielewa ni swala la muda tu.
Mimi walisusa kuleta ibada ya jumuiya kisa sitoi michango. Na wakawa wanasema hadharani eti huyu akipata matatizo atakuwa umuhimu wa michango na nguvu ya jumuiya.


Nikaamua nimuulize mwenyekiti wa jumuiya nakosea wapi kuwapa wahitaji msaada? Na wengine nimewaleta Hadi kanisani je kosa lipo wapi?


Akajiuma wee badae akasema usikililize ya watu kabisa na wewe unachofanya ni sahihi.

Nikamwambia kama nikipata tatizo Wala msihangaike kuja kama mtaona sisitahili kupatiwa hiyo Huduma na Imani jamii naishi nayo vizuri hivyo watabisaidia wao.
 
mkuu ulichoandika ni kweli tupu, ni heri wajasiriamali uliowataja kuliko padre analazimisha anunuliwe prado na asiyechanga familia yake ikifiwa hawatapa huduma ya ibada ya mazishi kutoka kwa padri
 
mkuu ulichoandika ni kweli tupu, ni heri wajasiriamali uliowataja kuliko padre analazimisha anunuliwe prado na asiyechanga familia yake ikifiwa hawatapa huduma ya ibada ya mazishi kutoka kwa padri
Huku ndo tulikofikia mkuu. Yaani mnafanyiww harambee ya kununu gari Tena la gharama kubwa.Lakini mle mle kanisani Kuna wahitaji wengi wanahitaji msaada.
 
Michango makanisani itaendelea kurindima hadi pale Yesu Kristu atakapo rudi, ndio ponea yetu.

Asilimia zaidi ya 70 ya Makanisa, wako after michango ya waumini.

Kuna baadhi ya Makanisa ukienda Ibadani J2, kuna kuwaga na Utitiri wa sadaka zaidi ya 5. Hapo bado hujauziwa Vijitabu vya Maono ya Mchungaji, gazeti la kanisa, vitini vya utaratibu wa undeshaji wa Ibada siku hiyo kanisani, kumshika Mkono mchungaji mgeni aliyekuja kuwasalisha ibada siku hiyo, kumshika mkono Mchungaji anayeenda Seminar nje ya kanisa kwa wiki kadhaa, shukrani kwa kuvushwa wiki, malimbuko, sadaka ya kujimaliza/kumjaribu Mungu uone kama hatakutendea yaliyo makuu, sadaka ya kulinda upako wako, sadaka ya kujilinda na Wachawi, sandaka ya ujenzi wa kanisa, kupeleka injili magazetini/Radioni, na nyiniginezo lukuki.

Tuimbe sana ili tuweze kuwa na Macho ya rohoni. Ili Mungu aweze kutuepusha na huu ulaghai. Sababu haileti maana, church member anapagwa na Shida ya Ada ya Mwanae halafu anashindwa kusaidika katika ministry/huduma/kanisa analo pata huduma ya kiroho. Hii ni ajabu sana. Hata Yesu akirejea leo, pepo itakuwa ni kwa wachache sana, na usishqngae hata kumuona yule unayemuita Kiongozi wako wa kiroho naye mko kundi moja la kwenda njia ya πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯
 
Japo utapingwa vikali na wafia dini lkn huo ndio ukweli wenyewe.
 
Kanisa limekulea au wazazi wako ndio wamekulea
 
Saivi makanisa hatupumui tena kama zamani ni stress tupu hata akija kiongozi wa dini kwako unawaza kaja kudai michango
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…