Huwezi Pinga Kuwa Dini (madhehebu yote) yamegeuka kuwa biashara zinangonya waumini. Kama una hoja utasikilizwa na kujibiwa

Alafu Mrogaji Kama Si Jirani Yako Basi Ndugu Yako Wa Karibu,,Rafiki n.k Kwanini Vita Visizuke?Wanachonganisha Watu Huku Mitaani,,Wajitahidi Kuhubiri Upendo Na Kuchapa Kazi Zaidi
Ukienda kwenye hayo mahubiri yao utashangaa kama kweli ni kanisa au genge la majambazi.

Kila kitu eti ndugu yako usimwamini.......wapuuzi kweli.
 
Mkuu umeandika vingi sana kwa upande wako unaweza kuwa na hoja but kwangu hainiingii akilini,miaka ya nyuma Kanisa Katoliki lilikuwa linapata misaada kutoka nje ila toka 2000s misaada ikakatwa so waamini wenyewe sisi ndiyo tunapaswa kulisimamia,kutoa sadaka hakufilisi kama unatoa kwa akili ulizojaaliwa na Mungu,watu hela tunahonga,tunakula beers michango ya harusi tunachanga vitu vya hovyo kabisa lakini kuiheshimu imani tunashindwa.

Lengo siyo kujisifia,hapo chini nimeenda leo kununua column speakers kwa ajili ya Kanisa lililonilea kijijini kwetu baada ya kuhudhuria ibada mwezi august nikasikia moja ya mipango ya Paroko ni kubadilisha spika zilizokuwepo (za radio) hazifai zinunuliwe nyengine,nimewiwa tu kushiriki ktk hilo.picha nilizipiga kwa ajili ya kumbukumbu zangu ila bahati mbaya sana nazitumia hapa naweza kuonekana kama najivuna but sivyo lengo langu ni ili watu wajue hata kama imani zao zimelala wapo bado zipo hai.View attachment 3178197View attachment 3178198
Pesa zenyewe sasa ulizonunulia unakuta unauza bar au unamiliki danguro au ni.mbunge uliyepata kura za wizi baada ya kuua mawakala wa uchaguzi.

Simanishi ni wewe mkuu ni mfano tu.

In any way Dini na madhehebu ni chanzo cha vifo, umaskini na taabu nyingi
 
Mtoa hoja una hoja nzito ingawa kuna mambo ndani yake ilibidi nicheke

Nawazu tu kipumbavu hivi waumini wakiamua wagome kwenda kanisani kama miezi mitatu hv itakuwaje?

Je viongozi wa dini watawabembeleza waumini na kufikia muafaka wa kupunguza michango au niaje?

Yan hata sijui nimeandika nini😂😂
 
Mkuu umeandika vingi sana kwa upande wako unaweza kuwa na hoja but kwangu hainiingii akilini,miaka ya nyuma Kanisa Katoliki lilikuwa linapata misaada kutoka nje ila toka 2000s misaada ikakatwa so waamini wenyewe sisi ndiyo tunapaswa kulisimamia,kutoa sadaka hakufilisi kama unatoa kwa akili ulizojaaliwa na Mungu,watu hela tunahonga,tunakula beers michango ya harusi tunachanga vitu vya hovyo kabisa lakini kuiheshimu imani tunashindwa.

Lengo siyo kujisifia,hapo chini nimeenda leo kununua column speakers kwa ajili ya Kanisa lililonilea kijijini kwetu baada ya kuhudhuria ibada mwezi august nikasikia moja ya mipango ya Paroko ni kubadilisha spika zilizokuwepo (za radio) hazifai zinunuliwe nyengine,nimewiwa tu kushiriki ktk hilo.picha nilizipiga kwa ajili ya kumbukumbu zangu ila bahati mbaya sana nazitumia hapa naweza kuonekana kama najivuna but sivyo lengo langu ni ili watu wajue hata kama imani zao zimelala wapo bado zipo hai.View attachment 3178197View attachment 3178198
The church incubates poverty with the promise of a better tomorrow while they puncture your pockets for their better today.

Wake up man.

Religion is a programming system for collecting money from lazy thinkers who are unable to think for themselves.
 
Kwenye uislamu hizi mambo hakuna nakumbuka kuna kioindi Nilipata ajali nukasalimika nilienda kutoa sadaka ya Shukrani kanisani 300k sijui ile sadaka ilifanyiwa nini ?

Hakika tuzinduke Vijana hizi dini hasa ukristo kwa sasa zinaonekana ni mawazo ya binadamu kutengeneza pesa tu.
Mkuu Hela yangu Kwasasa sipeleki kanisani Huwa napeleka Kwa wahitaji Moja Kwa Moja ukinunua hata mfuko wa sembe ukampa muhitaji hata kama uupeleke usiku wa manane. Lakini habar zako asubhi zitaenea mtaa mzima na utasemwa vizuri mno. Huko kanisani hata ukitoka m1 utaambiwa Mungu akujazie ulipo toa wanakula Hela Yako kizembe sana.

Acha kabisa kupeleka Hela wape wahitaji mimi ndo kanuni yangu hii inaenda miaka kadhaa Sasa.

Unajua laramu za 70k unagawa shule nzima na kubaki? Na Kwa sadaka hiyo hawatakaa wakusahau hao wadogo zetu popote ukipita watakuambia uliwahi kuja shule ukatupa karamu shule nzima!.
 
Well
 
Safi safi safi.

The church deserves nothing.

When all people shall be full awaken about religion, Those bogus religious leaders who feed on the ignorance of the multitude will go HUNGRY..!!
 
Dizain yako kuandika uwongo jambo lionekane zuri ni chap tu,hakuna mtu labda awe mwendawazimu atauza roho yake kwa issue ndogo kama hiyo.

Muulize mleta mada akikaa kimya bila kutoa hiyo anayoiita michango kuna mtu anamfata kumuamsha akatoe?
Ukiwa kwenye umoja flani na likatokea tamko flani mfano kama hii michango na wewe usichangie huoni kuwa utaonekana haupo pamoja na wenzio halafu ukizingatia wanakutisha Kwa maandiko? Ukweli ndo huu lazima usemwe wewe kama una mradi acha hii biashara
 
Dini ni Utapeli, dini ni.uzwazwa, dini ni chanzo cha ubaguzi
Kwenye dini na madhehebu ndio maficho ya majambazi, wauaji, watekaji. Waizi na wazinzi.

Dini ni chanzo cha vita, dhambi nyingi zimejificha humo.

Ewe Mtanzania epuka hu utapeli wa mchana kweupe.
Hiyo Mbingu wanayokuhubiria wao hawaitaki? Mbona wanazini na wake za watu, mbona wanaroga, wanazaa nje?
Tujikite kwenye maanda. Maana hata wasio Sali na wasio na dini Wana zini vilevile na majambazi yapi yasiyo na dini.
 
Sisi tunaongelea Dinizimegeuka kuwa biashara wewe umekuja kivyako kudai Mungu hayupo Huwa una matatizo Gani kijana?
Nakwambia hivi, dini zilikuwa biashara za kumuuza Mungu ambaye hayupo tangu awali.

Mlikuwa hamjaelewa tu na mpaka sasa mkipinga dini kugeuka biashara wakati tangu zinaanza zilikuwa biashara, mnajionesha ujinga tu.

Kilichobadilika ni wingi wa watu kuzidi, vurugu kuzidi, uroho kuzidi, biashara kuzidi, lakini dini ni biashara tangu mwanzo.
 
Mtoa hoja una hoja nzito ingawa kuna mambo ndani yake ilibidi nicheke

Nawazu tu kipumbavu hivi waumini wakiamua wagome kwenda kanisani kama miezi mitatu hv itakuwaje?

Je viongozi wa dini watawabembeleza waumini na kufikia muafaka wa kupunguza michango au niaje?

Yan hata sijui nimeandika nini😂😂
Mkuu wako makini mno kuangalia faida iwapo itaonekana mchungaji fln sehemu aliyepo waumini matoleo yameshuka atatakiwa kujieleza ama kuhamishwa kituo.

Kani la AIC limemuhamisha mchungaji wakewezi 8 mwaka huu Kwa sababu hiyo.
 
Nakwambia hivi, dini zilikuwa biashara za kumuuza Mungu ambaye hayupo tangu awali.

Mlikuwa hamjaelewa tu na mpaka sasa mkipinga dini kugeuka biashara wakati tangu zinaanza zilikuwa biashara, mnajionesha ujinga tu.

Kilichobadilika ni wingi wa watu kuzidi, vurugu kuzidi, uroho kuzidi, biashara kuzidi, lakini dini ni biashara tangu mwanzo.
😅😅
 
Ukiwa kwenye umoja flani na likatokea tamko flani mfano kama hii michango na wewe usichangie huoni kuwa utaonekana haupo pamoja na wenzio halafu ukizingatia wanakutisha Kwa maandiko? Ukweli ndo huu lazima usemwe wewe kama una mradi acha hii biashara
Wewe bro imani yako imekufa,kama Kanisani unaenda uonekane umeenda lakini huendi kwa sababu nafsi imejitakia kwenda na sadaka unatoa uonekane which is kiimani unapata hasara tu sadaka yoyote inatakiwa kununewa sasa wewe kwa majuto haya nafasi hiyo huipati.

Hela haina mshirika haupo kwenye mfuko wa W wala B wala X ili na wewe ulazimike kutoa kwanini usisimame wewe kama wewe kwamba huna?watakulazimisha?hata kama juzi ulitoa ndiyo leo huna na ibaki hivyo huna hata kama unazo mfukoni utatoa kesho,kuwa na msimamo kiimani ukitoa uonekane unapata tu hasara
 
Mfumo mzima wa maisha umejaa unyonyaji leo hii tunalipa Kodi, tunanunua mabando, tunalipa vingamuzi, unafanya kazi kunufaisha kampuni uliyoajiriwa, wanamuziki na mechi za soka wanatoza viingilio. Kwa ujumla mifumo ya kidunia ni follower anamfaidisha leader, consumer anamfaidisha producer
 
Back
Top Bottom