Huwezi ukaongoza nchi kwa visasi ukafanikiwa. NEVER!

hv unahisi 1.5T ubahisi ni sawa na 41B , tuoneshen alichoacha huyo mzee chenye hata nusu thaman ya hiyo 1.5T ,mkiwa mnaitwa sokwe huko ughaibuni msilalamike , leo mnamsingizia USA kwa nyiny kumuua Ghadaf , the same hapa mnasema JPM aliiba 1.5T halaf hata nyumba yake haifiki thaman ya 500m na yule mzee hajaacha sheli za mafuta kila wilaya Tz nzima wala hajaacha share kweny UDA pia hana hisa huko kweny mwendokasi pia hana magari ya mizigo wala mabus ya mikoa , Sijui hizo 1.5T alipeleka wap maana hiyo ni bajet ya nchi nying sana kwa mwaka
 
kama Ndugai sio? hapo mama hajahusishwa ndio maana kaweka waz kama kuwapa onyo , ila angekuwa mzalendo asingekubalu kuwaacha kweny system watu wanaofikiria kupiga ela ndefu hivyo bila rais kujua
 
kwaiyo Assad ni muongo?
OK fine tufanye ni shutuma za mdomoni
bac na kichele ni muongo amejitungia case closed
 
Hebu niwekee majina ya walioletwa na Mama Samia na kiasi walichopiga kadri ya ripoti ya CAG.

Tusiandikie mate wakati wino upo!!
 
Utateseka sana kama ulitarajia lolote la maana kwenye awamu hii..
Nyerere aliongoza kwa kisasi? Dhidi ya nani? Tulifika wapi? Mwinyi je dhidi ya nani ? Tulifika wapi? Mkapa? Dhidi ya nani tulifika wapi? Jakaya je? Dhidi ya nani? Tulifika wapi? Jpm aliongoza kwa kisasi sana tu na Hatujafika popote pale msidanganye watu.
Mama aachwe affanye kazi yake mwenye malalamiko akalie chato
 
Kwann asad aliondolewa kuwa CAG?
 

Nenda kwenye account zake China na Malyesia ndo utajua ulikwapua au hajakwapua!!
 
Kazi yeyote ya utawala, especially anapoingia kiongozi mpya ni kuweka watu watakaoendana na matakwa ya huyo kiongozi mpya. Hivyo usishangae. Kila Rais mpya anapoingia madarakanu anakuja na team cream yake inayoendana na haiba na namna ya kuongoza. Hii hutengeneza loyalty kwa kiongozi husika
 
kwahiyo hz 41B walikuwa wanataka kuzitunza tu ? upo uozo mwing watu wanalinda usalama wao
Akina Chiembe wanaojidai leo ndio wanaamka usingizini na kuyaona ya wakati ileee😂
 
Sasa hivi ni kusugua magoti tu ndugu zangu, na Mwenye Enzi Mungu aingilie kati walahi [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Tanzania shamba la bibi ,wanavuna wasio panda,wawaonee huruma walipa kodi jaman

Kwa muda mchache tu maana siku yao ya kulamba mavumbi ina kuja walahi
Karma is a bitch[emoji2962][emoji2962][emoji2962]
 
Hovyo kabisaa..hovyo kabisa ..hovyoooo...
 
Halafu kuna msoga anashell kila kona ya nchi na share kibao kila kampuni Wabongolala hutasikia wanaongea!
 
Visasi vinaendelea kuliangamiza taifa. Tutaishije...!!..??

Ataefuata litakuwa ni Pigo kwa taifa . Then the whole of us will be shed ...
 

Mliivamia Zanzibar mkaifisidi , mkauwa maelfu ya watu na mnaendelea kutuuwa kila ufikapo uchaguzi. Dua ya mwenye kudhulumiwa hairudi, hii ni karma inaipiga Tanganyika chini ya Jinamizi CCM , hamna chengine , usitafute mchawi.
Hata mfanye nini mumuweke mama, Bibi , Babu , haitosaidia mpaka mtuwache huru na mtuombe msamaha.
 
Hehh..🥵🥵
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…