Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
Lake zone na kanda ya ziwa ni maeneo mawili tofauti?Lake zone,Western Zone na Kanda ya Ziwa Hawa watu wako wengi sana wamegeuza ni kwao ,na hisi watu wa uhamiaji wanachukua mlungula.
Ninge never come twice, it's sadNgoja tubinafsishe kwanza bandari, DP world wakiingia ndio utajua kwa nini DP world haohao wamejenga bandari kavu kigali, hapo utaona nguvu ya waasi mashariki mwa DRC haitotulia maana supply ya silaha itakua ya uhakika lakini ndugu zetu tukitumia code ya vipi usalama ukoje? Hawajibu wanatoa sababu za kitoto, kagame kawafahamu DP world kabla yenu na kuna madirector wa DP world kwa bongo watakua ma senior spies from rwanda, tunza hii kumbukumbu
sialewi zaidi yako, ila nafahamu mbali mno kuliko wewe.Unahisi unaelewa zaidi yangu mkuu?
Ametenda jinai gani? Si anaingia kwa njia halali?Hadi Mpeta? Duu Sasa sijui Tiss Wetu wanalielewa hili au inakuaje
Wanyarwanda wote niliowahi fahamiana nao huwa wanajikuta wao ndio mabingwa wa Afrika Mashariki na kujisifia nchi yao ya maana sana. Kuna huyo mmoja baba yake Msukuma na mama ndio Rwandese ila ajabu jamaa anajiita Mnyarwanda wakati Kisukuma anaongea na kilugha chao hajui.Kila nchi ina maspy kwenye nchi nyingine kwa Rwanda lazima awepo zaidi Tanzania maana ana maslahi mapana sana na nchi hii na zaidi pia Congo DR lazima asambae sana , ukumbuke kila mnyarwanda utaemuona Tanzania hata kama kazaliwa karagwe , muleba, biharamuro, geita, runzewe, nyakanazi, akivuka rusumo anakua na haki sawa na mnyarwanda aliezaliwa rwanda kura anapiga na documents nyingine nyingi anapata bure kabisa, na ndio maana kagame ana uraia wa uganda kamili na rwanda maana aliwahi kua head of intelligence wa uganda mapema kabisa kipindi museveni anaingia madarakani
Kwamba hata ramaphosa ni Ramso wa mbagala!!?😂😂😂😂Tunza Siri kamanda.
Wanyarwanda wote niliowahi fahamiana nao huwa wanajikuta wao ndio mabingwa wa Afrika Mashariki na kujisifia nchi yao ya maana sana. Kuna huyo mmoja baba yake Msukuma na mama ndio Rwandese ila ajabu jamaa anajiita Mnyarwanda wakati Kisukuma anaongea na kilugha chao hajui.
Rwandese hasa Tutsi haijalishi kazaliwa Tanzania na baba yake kazaliwa Tanzania, haijalishi maisha yake yote hajawahi kanyaga Rwanda ila utaona anajiita Mnyarwanda na anaichukia Tanzania.
Tujiulize kwanini Banyamurenge wachukiwe wao tu wakati Congo kuna wahamiaji kutoka kila nchi jirani, kuna sababu za msingi.
Nimekumbukaa Songea vijijini, wakati huo niko kwa bibi, kulikua na mnunua maharagee, yule jamaa km sio wa Burundi bas ni Rwanda, kuna siku ndo kaja kwa bibi kumuulizia baba mdogo couz alikua km msaidizi wake wa kumtafutia maharage pale kijijini.Mimi nilimfahamu zamani kama mtu wa upelelezi wa Rwanda, na nilikua nakutana nae sana bijampora na moclay, na niliwahi kuleta uzi hapa jukwaani kua maspy wa Uganda, Rwanda hua wanaingia Tanzania kama wafanyabiashara, na niliwahi kutoa hadi ushahidi kua Rwanda, uganda na burundi serikali hutoa mamilioni ya pesa kwa baadhi ya wanausalama wao na kuingia nchini hadi vijijini kununua mazao hasa ya chakula ili kulinda usalama wa chakula kwenye nchi zao na kama ukiacha kahama wanausalama hao wako hadi ifakara, kasulu, mpanda, sumbawanga, kibondo, mpeta, mbeya, kibaigwa na maeneo mengine mengi lakini huingia kama wajasiliamali, huo ndio ukweli
Mbona bibi yangu ana miaka 100 na ni mahiri kutumia AK47 na anaweza kulenga shabaha kwa kunyuma huku akikimbia akiilaza juu chini bunduki begani.Wawekezaji wengi Duniani wametumwa Idara za Upelelezi za nchi kubwa Duniani na wanapeleka Taarifa zote za kiupelelezi Kwa nchi hizo.
Mfano waChina wengi waliopo Afrika ni ama askari au wafungwa .
Mlishudia jinsi kada wa CCM na mwekezaji marehemu Hamza alivyokua mahiri katika kuitumia AK47
Nimekumbukaa Songea vijijini, wakati huo niko kwa bibi, kulikua na mnunua maharagee, yule jamaa km sio wa Burundi bas ni Rwanda, kuna siku ndo kaja kwa bibi kumuulizia baba mdogo couz alikua km msaidizi wake wa kumtafutia maharage pale kijijini.
Sasa kaja anaongea kiswahili japo hawezi sana, ila lafudhi yake ilikua tofauti kabisaa, sasa bibi akanambia nimpeleke aliko baba mdogo, tuko njiani akapigiwa cm, asianze kuongea kikwao, mie nkawa najiuliza lugha gan hii mbna sio ya makabila ya kitanzania.
Alipo maliza kuongea nkamuuliza lugha yenu inaitwajee hiyo maana hata sielewi ulichoongea, hakunijibu akabadilisha mada, mie nilikua cna mda wa kuhoji sana, alivomaliza ununuzi wake pale kijijini alisepaa zake.
trust me, intelligensia yetu ipo juu yao mbali. intelijensi nguvu yake ni pesa tu, kule kule Rwanda kuna wanyarwanda wenye sura za kitusi kabisa ambao wanaipeleleza nchi yao wenyewe na kuleta taarifa hata kwetu, cha muhimu ni pesa tu. pia, ukiwa na maadui wengi nchini kwako jiandae kuwa na raia wengi watakaofanya intelijensia kwa ajili ya majirani zako. wapinzani wa kageme ni wengi mno hata wa kabila lake la kitusi. ukiongea nao chap wanakuwa wanakuletea taarifa wakidhani kuna siku ataondolewa ili waishi kwa raha. nchi yetu ipo vizuri.
Unasifia na kuongeza uongo ili iwe nini! Eti hata rekodi ya mazungumzo ya simu yalichukuliwa tokea Rwanda! Kama huyo mbwa wenu ana uwezo huo mnaompa mbona kashindwa kumfanya chochote Kikwete pamoja na vitisho vyote alivyompa!Ndio dunia ilivo kuna mbinu nyingi za kufanya upelelezi kwa mfano ukiwa kigali kamwe huwezi kudivert call! Lakini ukiwa bongo divertion unafanya kama kawaida, ndio maana ulisikia magufuli hata samia wanawasifu ma IT wa Rwanda haikua bahati mbaya kabisa, kwenye teknolojia jamaa wako mbali, hata rekodi za mazungumzo ya simu ya viongozi wako yalichukuliwa kutokea Rwanda then magufuli akamwagiwa ndio akachanganyikiwa
Mungu ibariki RwandaKila nchi ina maspy kwenye nchi nyingine kwa Rwanda lazima awepo zaidi Tanzania maana ana maslahi mapana sana na nchi hii na zaidi pia Congo DR lazima asambae sana , ukumbuke kila mnyarwanda utaemuona Tanzania hata kama kazaliwa karagwe , muleba, biharamuro, geita, runzewe, nyakanazi, akivuka rusumo anakua na haki sawa na mnyarwanda aliezaliwa rwanda kura anapiga na documents nyingine nyingi anapata bure kabisa, na ndio maana kagame ana uraia wa uganda kamili na rwanda maana aliwahi kua head of intelligence wa uganda mapema kabisa kipindi museveni anaingia madarakani
Muhukuru bas walikuwepo hao, wale madereva wa makaa ya mawe.Yes hua wanafanya hivo na wako well organised, utawakuta songea mjini, mpitimbi, hanga mwanaster, litembo, makangawe, mbinga, tunduru, kitanda, mputa, mbambabey, utakula nao mbufu, mbelele na ugali wa muhogo vizuri wenzio wako kazini, kama ulisiki anasema amakuru, murakomeye, mumezemute, turaho alikua anaongea kinyarwanda ambapo lugha hiyo hufanana zaidi na kirundi, kihangaza, kiha na kinyankore na hao wote huelewana wakiongea inabaki tu mmoja huongea kwa kuvuta herufi na mwingine hufupisha herufi lakini wanaelewana vyema
Sina maana mbaya lakin JE, hiv USALAMA WA TAIFA wanaweza wakawa ni WAJINGA kiasi hiki??
Je kama hiz taarifa ziko waz namna hii humu mtaani na uchambuzi kama wafanyavyo wananchi hawa akina Arovera na chapwa24 and the likes, je wao hawako informed na kaz yao ni ku deal na information daily?
Hiv kabisaa UZALENDO umekosekana kila mahala kwa figure nyeti like wakuu wa vyombo vya usalama vyote???
Na kwa kufanya hivyo, kama wanafuata taratibu za nchi, hawajavunja sheria. Kununua na kuuza kwa halali ni biashara. Anafanya nani, hiyo ni suala lingineMimi nilimfahamu zamani kama mtu wa upelelezi wa Rwanda, na nilikua nakutana nae sana bijampora na moclay, na niliwahi kuleta uzi hapa jukwaani kua maspy wa Uganda, Rwanda hua wanaingia Tanzania kama wafanyabiashara, na niliwahi kutoa hadi ushahidi kua Rwanda, uganda na burundi serikali hutoa mamilioni ya pesa kwa baadhi ya wanausalama wao na kuingia nchini hadi vijijini kununua mazao hasa ya chakula ili kulinda usalama wa chakula kwenye nchi zao na kama ukiacha kahama wanausalama hao wako hadi ifakara, kasulu, mpanda, sumbawanga, kibondo, mpeta, mbeya, kibaigwa na maeneo mengine mengi lakini huingia kama wajasiliamali, huo ndio ukweli
Huwezi bila kuweka mifumo bora ya ulinzi wa mipaka.Lake zone,Western Zone na Kanda ya Ziwa Hawa watu wako wengi sana wamegeuza ni kwao ,na hisi watu wa uhamiaji wanachukua mlungula.