Huyu aliyebandika mabango ya Imani Upendo Miujiza ya mkutano wa dini Dar, achukuliwe hatua

Hayo mabango yamewekwa na kamati ya maandalizi ya Mkutano mkubwa wa Injili utaohubiriwa wahubiri wa CFAN, Christ for all Nation wakiongozwa na Daniel Kollenda. Mwinjilisti Daniel Kollenda amechukua kijiti toka kwa marehemu Reinhard Bonke. Mkutano huu unafanyika Jangwani kuanzia tarehe 10/10/2021
 
Mbona kuna wengine walichora na kuandika hadi kwenye mawe na miti,waanze hao kwenda kufuta maandishi na michoro huko barabarani kwenye mawe,miti,miamba
 
Pepo toooka, ushindwe na ulegeee.

Inamaana hutaki kipofu apate ujumbe wa mkutano wa injili.

Mbona mabango yenu kipindi cha uchaguzi hamlalamiki.
 
Hiki kiwango cha unafiki hakimithiliki. Yale mabango ya kampeni tena yanayotumia kodi zenu mbona hua hamyalalamikii?
 
Ndio uokoke sasa, si unajifanya jeuri hutaki kwenda kwenye mikutanonya Injili, sasa huna namna na mikutano inafanya 6 wakati mmoja dar nzima.. wana spika kali wakiongea gongo la mboto tegeta wanasikia..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…