Huyu binti atakuja afe vibaya kwa ujinga wake ๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ

Una hakika gani kuwa anapata mimba na kuzichomoa? Huyo ni mpigaji tu
 
Mimi naona wewe ndio utakuja kufa vibaya kwa ujinga wako ! Binafsi umekiri unajua madhara ya kutotumia kinga halafu bado wewe unaona tatizo la mwanamke kuliko wewe?

Mwanamke mara nyingi huwa hana nguvu mbele ya mwaname kwenye maswala ya mahusiano hasa kwenye maswala ya matumizi ya kinga!

Mimi nadhani ulitakiwa kujionea huruma wewe kuliko yeye maana ni wazi kama ana virusi vya ukimwi ni lazima utavipata au umeshavipata maana wewe kwa ujinga wako umekubali kutotumia kondomu na kumsingizia mwanamke kuwa yeye ndio hatakiโ€ฆmbona hakuna sehemu umekataa kushiriki bila kondomu!

Halafu kwenye uzi mzima umejidanganya na kujilisha upepo plus kujifariji kuwa madhara atapata mwanamke tuu na wewe ukasahau au kujisaulisha kuwa wewe unaweza kuwambukizwa virusi vya ukimwi kwa ujinga wako!

Kwa hiyo usimsingizie mwanamke wewe ndiye utakuja kufa vibaya kwa ujinga wako na utampelekea virusi vya ukimwi mke wako nyumbani!
 


Mwisho wako ni mbaya kuliko wake, achana naye, utakuja kujuta.
 
Mkuu twende 27 years age siyo mdogo.

Japo kifikra bado mdogo sana kwa anayo yafanya
Huyo ni mtoto kama watoto wengine Bado yupo kwenye harakati za tamaa huyo. Aambiliku lakini ungekuwa na mshangazi. Mengi yanajielewa harafu matamu 6x6 yanaambilika.

Ila hivyo vitoto vya 29 kushuka chini tena ambayo havija zaa siku shauri...Bora hata single mothers maisha yamemchapa hawezi kukufanyia uhuni kama huo.

Nahisi huyo dogo anatumia udhaifu wako kukuchuna. Umeshawahi kwenda nae hospital kuthibitisha...?​
 
Mbona pesa mingi sana hizo miso next time njoo na 40k yako utazipata.

Yes ni zile za vidonge vitano.
 
Wewe na huyo mchepuko wako ni wauaji. Nendeni mkatubu.
 
Nikujibu tu kwa ufupi kuwa, kipindi naanza mahusiano na huyu binti tulipima kwanza kabla ya kushiriki chochote.

Na tulipima baada ya yeye kusema hapendi kutumia njia za uzazi wa mpango kwa sababu zina madhara.

Lakini pia kila mimba inapo nasaga tunapo enda kwa daktari ku-prove huwa lazima tupime tena afya zetu.

Kwa hiyo usalama wa afya yangu mimi nau-zingatia sana labda tu awe anagawa na kwingine peku peku ndiyo ataweza kuniambukiza, japo najua possibility ya yeye kuni-cheat ni ndogo sana sijawahi kuona hata dalili.

Lakini pia kuhusu kukataa kushiriki ngono na yeye kwa sababu ya yeye kukataa kinga nishafanya sana.

Yaani anakuja kwangu kunyanduliwa lakini akikataa kinga na mimi naigomea papuchi kabisa mpaka asubuhi anaondika sija mkugusa.

Ni wanaume wachache sana wanaweza kuigomea papuchi ila mimi mara kadhaa nilikuwa naweza japo kwa mbinde.

Lakini sasa ukweli ni kwamba siyo mara zote nitaigomea, kuna mda najizira tu kuwa atajua mwenyewe si hataki.

Ndiyo maana mimba ya tatu niligoma kumpa pesa ya MISO nikamwambia mimi siwezi kufanya huo ujinga kila mara kwa uzembe wako, kinga hutaki alafu kutoa mimba ndiyo unaona rahisi, nilimwogesha matusi ya kutosha maana nili-mind sana.

Ikabidi yeye ndiyo atoe hiyo 70k nikamtaftie MISO.

Huyu mwnamke akili yake ndiyo sifuri, hivi imagine mimi mwanaume ndiyo niko tayari kutumia kinga alafu yeye mwanamke ndiyo hataki, wakati kikawaida inakuwaga vise vesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ