chilumendo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,079
- 3,550
Dozi yake anatumiajeHata mimi najua kuwa wao hununua bei ya jumla kwa 15k nafikiri kwa tembe 5.
Ila wahuni wakija mtaani wanatupiga mpaka 100k kwa tembe 5 kisa tu ni haramu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dozi yake anatumiajeHata mimi najua kuwa wao hununua bei ya jumla kwa 15k nafikiri kwa tembe 5.
Ila wahuni wakija mtaani wanatupiga mpaka 100k kwa tembe 5 kisa tu ni haramu
Nitumie ipi unataka.Sasa kama kweli we ni mwanaume,huoni hufai? Mimba zako 4 zimetolewa,kwa pesa yako!! Yaani unashiriki mauaji ya wanao!
Af,kama njia ya za kupanga uzazi kakataa,si wewe utumie?
Hiyo ni issue nyingine sasa ๐ ๐ ๐Dozi yake anatumiaje
Duuh....Ukimnunulia hizo dawa anazitumia ukiwa unaona?
Je huwa unahakikisha ni kweli ana mimba au yeye ndio huwa anakwambia na akitoa anakuambia tayari?
Inawezekana wewe unamnunulia hizo dawa na yeye anaenda kuwauzia shost zake. Mjini kuna mengi.
Habari zako za uasherati usituletee humu ndani boya weye๐ฃ๐ฃHabari wana jamvi.
Niko na mahusiano ya part time (hayana malengo ya ndoa) sema tu tunapunguziana upwiru kwa sababu tunao wapenda wako mbali nasi.
Sasa bhana haka kabinti kana shida moja nayo ni hii "hakataki kabisa kutumia njia yeyote ya uzazi wa mpango kwa kigezo kwamba zina madhara".
Yaani kondomu anasema mafuta yake yana mdhuru, vidonge vya P2, sijui vijiti na contraceptive methods zote anasema zinaua kizazi, mara sijui atapata cancer.
Yaani ki-ufupi nikimwambiaga kuhusu njia za uzazi wa mpango au kuchukua tahadhari kwa njia za kisasa hatakagi kabisa na ana kasirika hapo hapo.
Kwa hiyo tukiwa na upwiru njia pekee tunazotumiaga ni mbili ambazo ni kalenda (kwake yeye) na kumwaga nje (liko juu yangu mimi).
Sasa hizi njia zote mbili zina risk, naweza nikasema kupata mimba kwa kutumia hizi njia ni 50/50, hazina uhakika wa asilimia 100 kabisa.
Mimi huwa najitahidi kumwaga nje nikikutana nae japo mara moja moja huwa nafeli maana nako siyo kazi rahisi ku-divert njia wakati wa utamu.
Kwenye kalenda hilo anajuaga mwenyewe mimi hata sifatiliagi.
Tatizo ni kwamba ghafla bin vuu anakwambia hazioni siku zake, na kimbilio pekee ni MISO PROSTOL.
Sasa hivi imeshatokea four times kila iki nasa ni kukimbilia MISO PROSTOL elfu sabini naliwa kila ikitokea.
Sasa mimi najiuliza huyu binti kati ya kutumia kondomu au njia yeyote ya uzazi wa mpango na sasahivi ashatoa mimba nne tu akiwa na mimi, kupi kuna madhara zaidi ?
Nishamwambia sana lakini hataki kunielewa sasa nilicho amua mimi ni kwamba nianze tu kumkwepa mdogo mdogo maana naona kama ana masiara na afya yake na maisha yake pia.
Unasema mafuta ya kondom yana madhara alafu unaenda kutoa mimba 4 si usenge huu aisee.
Hata leo nimetoka kumwambia kuhusu hilo amenijibu kuwa "hatokaa atumie njia yeyote ya uzazi wa mpango ya kisasa"
Nika mwambia kwa hiyo unavyotoa mimba ndiyo unafurahia na kuona hakuna madhara ? hana majibu.
Nashindwa kuelewa anashindwaje kuwa mjanja na mkubwa almost 27 years old.
NB : Suala la uzazi wa mpango linadhibitiwa na mwanamke zaidi, sisi wanaume ni wa kushirikishwa tu.
Ukifeli wewe mwanamke usidhani mwanaume nitaweza peke yangu, mwanaume akiwa na nyege uwezo wake wa kufikiri hushuka hadi asimia sifuri kabisa.
No.Mkuu sio kwamba anakupanga?
Kumbe Miso ndo hua mnauziwa bei hivo๐๐๐๐Habari wana jamvi.

Simtabirii hayo ila mara kadhaa namwambia hii kauli kuwa "wewe ni zero brain" maana huwezi kuogopa kondom kwa kisingizio kuwa mafuta yake yana madhara alafu kutoa mimba unaona simple tu, ni uwazimu flani hivi anao.Hana miaka 5 mbele atawakumbuka hao watoto anaoflash chooni
Hii ni ya kwanza humu kwani ?Habari zako za uasherati usituletee humu ndani boya weye๐ฃ๐ฃ
Kitu haramu wanatupiga sana hawa madaktari wa bongoKumbe Miso ndo hua mnauziwa bei hivo๐๐๐๐
Usije ukafanya kitu kama hicho ni laanaVijana vijanaโฆ Tunaemwabudu atusaidie wallah!!
Twende jukwaa la intelligence tukapimane IQBahati mbaya ID unayotumia inanheshima yake si ya kumiminia uji kihivyo,lakini!
Khaaa yani huyo anaewauzia hizo miso elfu 70 atakua tajiri sa hii.Kitu haramu wanatupiga sana hawa madaktari wa bongo
SawaKhaaa yani huyo anaewauzia hizo miso elfu 70 atakua tajiri sa hii.
Muwe mnakuja nawauzia hizo elfu kumi tu
Usijitoe wewe ni baba wa marehemu waine hiyo roho hata wewe itakuandamaSimtabirii hayo ila mara kadhaa namwambia hii kauli kuwa "wewe ni zero brain" maana huwezi kuogopa kondom kwa kisingizio kuwa mafuta yake yana madhara alafu kutoa mimba unaona simple tu, ni uwazimu flani hivi anao.
Yaani anaruka mkojo anakanyaga mavi
Tosha. Huyo mwanamke bora akimbie. Kama una nguvu ya kuua wanao! Na sasa ni dhahili we ndo unawaua. Maana kama unanunua wewe,unamlazimishaNo.
Huwa namfatia mimi namletea, simpagi hela