Searching for the truth
JF-Expert Member
- Mar 22, 2022
- 903
- 1,851
- Thread starter
- #61
Yeah kweli kabisa.Ata ingekua million m sibishi ๐๐๐๐mambo ya sirini na uharaka kupigwa hakuepukiki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah kweli kabisa.Ata ingekua million m sibishi ๐๐๐๐mambo ya sirini na uharaka kupigwa hakuepukiki.
Nimeishia hapa kwa leosasahivi ashatoa mimba nne tu akiwa na mimi,
Kwa hiyo,anaetoa pesa ya kuua watoto ndo hana? Af anajisifu! Kambale kabisa na mdomo wake. Mwanaume kabisaaa! Basi tuWanawake wana siri kubwa sana, nilikuwaga sijui.
Tuwaone tu hivi kwa nje, ila matukio wanayo yafanya na kuyaficha kwenye mioyo yao yana tisha
Tulipima before any thing to happenBinti ana HIV anasubiri hadi uupate nae akuache.......acha UKUMA nenda kapime na achana na huyo MPUMBAVH mwenzako
Ni nne bwana zinahitajikaHata mimi najua kuwa wao hununua bei ya jumla kwa 15k nafikiri kwa tembe 5.
Ila wahuni wakija mtaani wanatupiga mpaka 100k kwa tembe 5 kisa tu ni haramu
Marehemu hawana baba?Bora single mother kuliko hawa mabinti aisee.
Hawa ni mama za marehemu sema tu watu hawajui
When I cumm I come to my senceNipinge tu kwa hoja.
Ila mimi nna experience hiyo kwamba mwanaume akiwa na upwiru huwa anaweza kufanya kitu cha hovyo kabisa.
Then akishapizi ndiyo anaanza kujutia
Kuna kubwa zake zenye tembe 5 hizo wanakaza 90k alafu tembe 4 ndo 70k.Ni nne bwana zinahitajika
1 or 2 week ni kama MC tu sema inakuwa nzito kiasiNa mnazikaga wapi? Mazishi wanahudhuliaga kina nani?
Mmh kuna watu majasiri uzazi unavyosumbua watu sahvi binti wa 27 anafanya upuuzi kama huu badae atakuja kumlilia nani akikosa watoto.Habari wana jamvi.
Niko na mahusiano ya part time (hayana malengo ya ndoa) sema tu tunapunguziana upwiru kwa sababu tunao wapenda wako mbali nasi.
Sasa bhana haka kabinti kana shida moja nayo ni hii "hakataki kabisa kutumia njia yeyote ya uzazi wa mpango kwa kigezo kwamba zina madhara".
Yaani kondomu anasema mafuta yake yana mdhuru, vidonge vya P2, sijui vijiti na contraceptive methods zote anasema zinaua kizazi, mara sijui atapata cancer.
Yaani ki-ufupi nikimwambiaga kuhusu njia za uzazi wa mpango au kuchukua tahadhari kwa njia za kisasa hatakagi kabisa na ana kasirika hapo hapo.
Kwa hiyo tukiwa na upwiru njia pekee tunazotumiaga ni mbili ambazo ni kalenda (kwake yeye) na kumwaga nje (liko juu yangu mimi).
Sasa hizi njia zote mbili zina risk, naweza nikasema kupata mimba kwa kutumia hizi njia ni 50/50, hazina uhakika wa asilimia 100 kabisa.
Mimi huwa najitahidi kumwaga nje nikikutana nae japo mara moja moja huwa nafeli maana nako siyo kazi rahisi ku-divert njia wakati wa utamu.
Kwenye kalenda hilo anajuaga mwenyewe mimi hata sifatiliagi.
Tatizo ni kwamba ghafla bin vuu anakwambia hazioni siku zake, na kimbilio pekee ni MISO PROSTOL.
Sasa hivi imeshatokea four times kila iki nasa ni kukimbilia MISO PROSTOL elfu sabini naliwa kila ikitokea.
Sasa mimi najiuliza huyu binti kati ya kutumia kondomu au njia yeyote ya uzazi wa mpango na sasahivi ashatoa mimba nne tu akiwa na mimi, kupi kuna madhara zaidi ?
Nishamwambia sana lakini hataki kunielewa sasa nilicho amua mimi ni kwamba nianze tu kumkwepa mdogo mdogo maana naona kama ana masiara na afya yake na maisha yake pia.
Unasema mafuta ya kondom yana madhara alafu unaenda kutoa mimba 4 si usenge huu aisee.
Hata leo nimetoka kumwambia kuhusu hilo amenijibu kuwa "hatokaa atumie njia yeyote ya uzazi wa mpango ya kisasa"
Nika mwambia kwa hiyo unavyotoa mimba ndiyo unafurahia na kuona hakuna madhara ? hana majibu.
Nashindwa kuelewa anashindwaje kuwa mjanja na mkubwa almost 27 years old.
NB : Suala la uzazi wa mpango linadhibitiwa na mwanamke zaidi, sisi wanaume ni wa kushirikishwa tu.
Ukifeli wewe mwanamke usidhani mwanaume nitaweza peke yangu, mwanaume akiwa na nyege uwezo wake wa kufikiri hushuka hadi asimia sifuri kabisa.
Nimestuka ndiyo maana naona bora nimkimbie mbali asinizoee kabisaIpo siku atakuua huku anacheka
Ujasiri wake mpaka unanitia kiwewe kabisa.Mmh kuna watu majasiri uzazi unavyosumbua watu sahvi binti wa 27 anafanya upuuzi kama huu badae atakuja kumlilia nani akikosa watoto.
Kwa hiyo,mtoto wa kiume hapo ndo shujaa!?Mmh kuna watu majasiri uzazi unavyosumbua watu sahvi binti wa 27 anafanya upuuzi kama huu badae atakuja kumlilia nani akikosa watoto.
๐๐๐Poleni sana , hayo mamiso mnayoyasema ni yale ya kuja kwenye delivery pack /box ?
Duh vitu vya bure mnapigwa mpka 70k ?
Basi kumbe nimeukalia utajiri ila sijui tu .
Karibuni Mbeya
Hana miaka 5 mbele atawakumbuka hao watoto anaoflash chooniMmh kuna watu majasiri uzazi unavyosumbua watu sahvi binti wa 27 anafanya upuuzi kama huu badae atakuja kumlilia nani akikosa watoto.
Kumbe ๐ซข๐ซข๐ซขPharmacist wamezi overate sana miso bei yake halisi ni buku hizo