Huyu Binti Kwa kusema hivi anaweza kukamatwa?

Huyu Binti Kwa kusema hivi anaweza kukamatwa?

Samia anapitia haya kwa sababu ya aina ya uongozi wa Magufuli ulivyokuwa ila kama Samia mtangulizi wake angekuwa ni Kikwete basi watu wasingemkataa sana Samia kiasi hiki.
Yeye Kama kiongozi angeweza kuchagua aina yake ya uongozi.
Msitafute mtu wa kumtupia lawama kwa makosa yake.
Mbona Magufuli alichagua kutovaa barakoa na Samia akaona siyo sahihi akavaa barakoa?
Mbona Magufuli alitumbua wazembe na yeye aliwaacha?
Mbona Magufuli hakuajiri au kupandisha mishahara kama Samia, na Samia alifanya tofauti na Magufuli?
Mbona Samia aliwalipa wafanyakazi waliotumbuliwa vyeti feki kwa huruma na ubinadamu wakati Magufuli alikataa?
Kwanini asiige na hayo yote?
 
Nyerere aliwahi kuwashauri CCM, akiwaambia mambo mengi then akasema "Je! Wananchi wanasemaje.....!?"

Machawa watakuja hapa na kusema huyu katumwa, lakini sio huyu tu, ni wengi wamesema....!

Na baadaye Nyerere alisema ikitokea siku mkaacha kusikiliza Wananchi, mkasema hili jambo ni la kwenu pekee.....! "Siku mtakuja kulia Machozi na asiwepo mtu wa kuwafuta Machozi.
 
Back
Top Bottom